88 NAIROBI. The 44 floor condominium Highrise

//
tapatalk_1530985899202.jpeg
IMG_20180714_084829.jpg
tapatalk_1523277029389.jpeg
 
Hapa watapita kimya kimya., they don't believe Nairobi is on a positive trajectory. 2022 what will be the look of the city in the Sun? I can only imagine.
Watu kama nyinyi ni wa ovyo kabisa, kila kitu unakichukulia kuwa mashindano yenu (Tz VS Ke) ya kupuuzi...
 
Karibu kwenye show apartment. Building the tallest residential tower in sub-Saharan Africa.
#groundbreaking
#site preparation


Height yake meter ngap?,the tallest residential tower is still Ponte city apartment in jobergy with 54flr and 173 M
 
nyinyi ndio watu wa kubadili last niliangalia Bagamoyo ujenzi ulikuwa uanza mwezi uliopita, umefika wapi? Pipeline je?
Was I to be quoted here really?. What has bagamoyo to do with me?. Mimi nilikuwa namjibu kaisari kwa kudai jumba husika ni mnara wa babeli. Hiyo inawahusu wadanganyika.
 
Nmeona nami Iyo. ..wacha wenye mapafu wawekeze pesa zao..
Lakini watu wengi hupenda kuishi kwenye nyumba za chini unagusa ground kuishi uko juu nayo yataka moyo
Yeah kuishi nyumba za chini uko na more freedom kama backyard na your own pool n.k. But mimi I prefer kuishi 40th floor
 
Hivi Jeshi la Zimamoto Nairobi linaweza kuzima moto Ghorofa ya 40 huko?
Times changed, fire firefighters spraying water into a building from outside ilipitwa na wakati when humans started building very tall towers. Do you think fire fighters in Dubai have ladders and water hoses that can get to the top floor 156 stories high? Google dry and wet riser systems.
 
Back
Top Bottom