Baada ya kufanyiwa Misa Kanisani General Ogolla atolewa Kwenye Jeneza na kuzikwa akiwa na sanda tu

wakristo na mbwembwe zao za kuzika wanajikutaga wanamvalisha Hadi miwan marehemu cku ya mazikooo
Mkuu,
Kila jamii ifanye vile wanavyoona inafaa. Hizi ni imani tu, tamaduni tofauti tu. Hata hao wakristo wanashangaa kuona mwanandani, kuweka mbao nk ila sio issue coz ndivyo wenzetu mnavyoamini.

Kule kijitonyama wenzetu wanachoma hadi majivu, vipi na wao tusemeje. Ni imani tu, wala hazina impact kwa marehemu coz yeye hajui lolote mnalomfanyia.
 
Hakikaa mkuu
 
Ulichoongea Sasa Na Kuzikwa Kama Muislam
Umekula Nini Leo
Kilichofanyika yule General kaburi limechimbwa futi 4 akavalishwa nguo za kawaida akatolewa kwenye sanduku na kulazwa.Waislamu hawana nguo nyingine usipokuwa sanda pia mwili unawekwa kwenye mwandani (chumba naweza kuita hivyo) Wengine wanaweka pale juu mbao au nyasi kama mbao hamna ni tofauti kabisa na alivyozikwa General.Sema huyo jamaa anatumia free Wifi Hapo Lumumba Kila kinachomjia kichwani hachuji anapost tu.
 
Mkuu,
Kila jamii ifanye vile wanavyoona inafaa. Hizi ni imani tu, tamaduni tofauti tu. Hata hao wakristo wanashangaa kuona mwanandani, kuweka mbao nk ila sio issue coz ndivyo wenzetu mnavyoamini.

Kule kijitonyama wenzetu wanachoma hadi majivu, vipi na wao tusemeje. Ni imani tu, wala hazina impact kwa marehemu coz yeye hajui lolote mnalomfanyia.
Una akili sana
 
Kwani biblia inasemaje kuhusu mazishi?
Waislamu tunazika na Sanda na sio uchi kama mdau anavyodanganya hapo juu au ni mtoto asiejua kitu
Ni bora kuuliza

Pia amezikwa ndani ya masaa 72 kwa matakwa yake pia wana familia wamefanya hivyo
Mnaowazungusha mwezi mzima ni makosa na sio matakwa ya familia wala dini wala marehemu

Mungu awarehemu waliotangulia mbele ya haki
 
Mkuu,
Kila jamii ifanye vile wanavyoona inafaa. Hizi ni imani tu, tamaduni tofauti tu. Hata hao wakristo wanashangaa kuona mwanandani, kuweka mbao nk ila sio issue coz ndivyo wenzetu mnavyoamini.

Kule kijitonyama wenzetu wanachoma hadi majivu, vipi na wao tusemeje. Ni imani tu, wala hazina impact kwa marehemu coz yeye hajui lolote mnalomfanyia.
Ni kweli kila jamii inafanya kufuatana na mila zao
 
Back
Top Bottom