GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,852
- 109,552
Ingekuwa ni Tanzania haki ya Mungu huyu Dereva wa hili Lori ningegawana nae Majengo ya Serikali kwani ni mpumbavu sijapata kuona.
Yaani anaona kabisa mto umefurika na watu wa pande zote mbili wanamuonya asilipitishe lori lake ambalo pia lilikuwa limebeba nadhani mchanga na matofali ila kwa ujeuri wake akaendelea kutaka Kuvuka na hatimaye lori Kusombwa.
Inasikitisha na inakera mno tu.