Dereva Mzembe asababisha vifo vya watu 10 baada ya lori kusombwa na maji kwenye mto uliofurika

Huu mchezo wa kutaka kulaumu serikali kila saa bila kuangalia wajibu wetu utatuua wa Africa sanaa, yan wew unaona hio barabara ilivyo hivo na maji bado unataka watu waje waweke magogo kuifunga usipite ? Umekuwa kuku wew ? Kwamba huwez tumia akili kuona hapo hapapitiki ? Mamlaka hazina kosa hapo, ni upuuzi wa waliokuwepo hapo
Hebu niambie maana ya neno constructive manslaughter na occupiers liability katika sheria. Kama huyajui kaaa kimya. Ujinga kila sehemu bila kujua kinacho ongelewa. Ndio maana hatujui namna ya kujikwamua tulipo kwama hata kufuata mkondo wa maji tunashindwa.
Kama unajitambua ... Serikali zalima ilaumiwe perid.
Nani alijenga hiyo barabara, hicho kipande cha mafuriko (kipande cha ardhi yalipotokea hayo mafuriko) kinamilikiwa na nani kama sio serikali ( Iwe ya mtaa au kuu?) nani anahusika kukifanyia maintance? nani ni incharge wake kunapotokea mafuriko?
Unajiita Beberu, lakini Beberu huwa hafanyi ujinga kama wako. Kwa sisi tulio ishi na Beberu huko kijijini tunajua uwezo wake wa kung'amua kama mbuzi jike ana mimba au la ili asipigiwe miti kwa kunusa mkojo tu. Na wewe unajiita Beberu ili hali hata kunusa mkojo ni shida. Wapi na wapi ndugu yangu?
 
Hebu niambie maana ya neno constructive manslaughter na occupiers liability katika sheria. Kama huyajui kaaa kimya. Ujinga kila sehemu bila kujua kinacho ongelewa. Ndio maana hatuji namna ya kujikwamua tulipo kwama hata kufuata mkondo wa maji tunashindwa.
Kama unajitambua ... Serikali zalima ilaumiwe perid.
Nani alijenga hiyo barabara, hicho kipande cha mafuriko (kipdande cha ardhi yalipotokea mafuriko) kinamilikiwa na nani kama sio serikali ( Iwe ya mtaa au kuu?) nani anahusika kukifanyia maintance? nani ni incharge wake kunapotokea mafuriko? Unajiita Beberu, lakini Beburu huwa hafanyi ujinga kama wako. Kwa sisi tulio ishi na Beberu huko kijijini tunajua uwezo wake wa kung'amua kama mbuzi jike ana mimba au lau ili asipigiwe miti kwa kunusa mkojo tu. Na wewe unajiita Beberu ili hari hata kunusa mkojo ni shida. Wapi na wapi ndugu yangu?
Kwetu mabeberu pia mafuriko yanatokea,
Maji kujaa darajani sio kitu cha mara ya kwanza kutokea dunian, na raia wanajua hatari na wanasubiri maji yatoke kisha wanaendea na safari

Unaposema uilaumu serikali kisa inamiliki hio daraja na kipande, na unamuacha mtu aliepitisha gari kwa utashi wake (hajatumwa na mtu) ni sawa na kuwalaumu warusi waliotengeneza bunduki iliyomuua Karume,

U have responsibilities, wew sio mtoto kila kitu tukuambie, litakuwa taifa la vilaza hilo,

Na kingine, Mabeberu hatuna michezo ya kipuuzi ya kuilaumu serikali kila saa kama wajamaa, tunaamini hatma ya maisha yetu ipo mikononi mwetu sio mikononi kwa mtu alietengeneza daraja
 
"Ipo siku itaikumbuka kauli yangu..." Pigia mstari maneno hayo... serikali lazima iwajibike period.
Mark my word.
Itawajiba kwa "contributory negligence" kwa kutolifunga hiko daraja. Dereva ana utalaam gani wa kujua nguvu za maji hapo?

sikiliza Majirani wanavyosema kuhusu serikali yao kuanzia dakika ya pili na kuendelea halafu uje useme yako:
View: https://youtu.be/leRALScYuhA?si=3WtmpJal123Bwjfn
 
Kwetu mabeberu pia mafuriko yanatokea,
Maji kujaa darajani sio kitu cha mara ya kwanza kutokea dunian, na raia wanajua hatari na wanasubiri maji yatoke kisha wanaendea na safari

Unaposema uilaumu serikali kisa inamiliki hio daraja na kipande, na unamuacha mtu aliepitisha gari kwa utashi wake (hajatumwa na mtu) ni sawa na kuwalaumu warusi waliotengeneza bunduki iliyomuua Karume,

U have responsibilities, wew sio mtoto kila kitu tukuambie, litakuwa taifa la vilaza hilo,

Na kingine, Mabeberu hatuna michezo ya kipuuzi ya kuilaumu serikali kila saa kama wajamaa, tunaamini hatma ya maisha yetu ipo mikononi mwetu sio mikononi kwa mtu alietengeneza daraja
I stand to be corrected , but mimi najua Beberu ni Mbuzi dume ambaye kazi yake ni kunusa papuchi na mikojo ya mbuzi jike kujua kama wanataka kupigwa miti au la...
 
Dereva mpumbv ,abiria aliyowabeba wapumbv,watu waliyokaa pembeni nao wapumbv, hapo wote wamejaaa wapumbv

Ova
 
Back
Top Bottom