Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 15,407
- 33,261
Hao raia mbona kama vilaza wanashindwa kuruka .
Umeongea mengi lakini ukweli ni Tairi kuwa na upepo kama mdau alivyokwisha elezea. Zaidi tembelea mtandaoni ukajifunze.Sababu ninayoiona mimi hapa ni tofauti na hii uliyoandika, hilo lorry kutembea juu ya mchanga wa mtoni ndio sababu yake kuanguka na kuzama.
Kwasababu licha ya uzito wa lorry, lakini kawaida nature ya mchanga haiwezi kuhimili kitu kizito { mchanga unamomonyoka kirahisi} hivyo tairi za lorry zikakosa balance zilizohitaji chini ya maji ili ziendelee kujishika chini na lorry kuendelea na safari, ndio maana lorry likasogezwa mpaka kwenye kingo ya mto na hatimaye kuanguka.
■ Hapa ni sawa na wewe ukiwa unazama mahali, lazima utafute kitu chenye kuendana na uzito wako ili kikupe support usichukuliwe na maji, lakini ukijishika kwenye kitu kisicho na uzito sawa na wako, lazima utazama.
Sababu uliyoitoa wewe ningeiamini endapo hilo lorry lingekuwa linatembea juu ya barabara ya lami pamoja na huo uzito wake, kisha nione kama lingezama, au kama unao huo mfano niwekee hapa niuone.
Mkuu,Maji sijui yana siri gani, lorry pekee ni zito, ukiongeza na mchanga uliopakiwa maana yake uzito wa lorry unaongezeka, lakini ajabu maji yamelisomba...
Nimekupata, ngoja wafe ndio Akili ziwaingiePoti Akili zako za Kufikiri umeziacha Chumbani kwa Mkeo au? Serikali katika huu Upuuzi wa Dereva wa Lori na hao Waliokufa inaingiaje? Sehemu zingine Hatarishi za Kijamii huwa pia tunasubiri Maelekezo ya Serikali / Mamlaka kutuongoza na kutusimamia? Unaniaibisha mno mwana Mkoa wa Mara ( Poti ) Mwenzako sawa Mkuu? Acheni wafe tu hakuna namna na GENTAMYCINE huwa sina Huruma kwa Wapumbavu wa Mfano wao na huyo Dereva wao pia.
Wewe ndie mwenye akili zaidi ya wote waliochangia huu uzi. BIG Up.Ingeweza kupita kama barabara ingekuwa ni ya lami,lakini ikiwa ni ya mchanga kila tairi linapokanyaga maji yanafukua chini, yake kwahiyo kinachofuata ni gari kupoteza muelekeo...
Yaani unataka Watu wapoteze muda kuwaokoa Wapumbavu wa Kujitakia Shida na Umauti wa wazi wazi Wenyewe Mkuu?Hizi simu hizi, watu hawaokoi wako bize kurekodi tukio 😂😂
Na nina uhakika huko huko Juu akitulia na Kukaguliwa vizuri lazima tu atakuwa Aliukweka ( Alikunya ) kwani Kifo hakina Commando.Kuna mmoja kapona amepanda juu ya mti
Atakuwa Mshabiki wa Simba SC huyo.Kuna mmoja anaonekana kwenye mti amevalia nguo nyekundu karibu na mwisho wa video.
Upthrust Theory si ndiyo Mkuu au? Sikuwa vibaya sana katika Physics japo nilichukua Masomo ya wenye Akili kubwa ya Arts.
Traction contact is reduced to almost zero. So the buoyacy takes placeMaji sijui yana siri gani, lorry pekee ni zito, ukiongeza na mchanga uliopakiwa maana yake uzito wa lorry unaongezeka, lakini ajabu maji yamelisomba...
Ingekuwa ni Tanzania haki ya Mungu huyu Dereva wa hili Lori ningegawana nae Majengo ya Serikali kwani ni mpumbavu sijapata kuona.
Yaani anaona kabisa mto umefurika na watu wa pande zote mbili wanamuonya asilipitishe lori lake ambalo pia lilikuwa limebeba nadhani mchanga na matofali ila kwa ujeuri wake akaendelea kutaka Kuvuka na hatimaye lori Kusombwa.
Inasikitisha na inakera mno tu.
View attachment 2975159
The reason is, the traction is reduced to almost zero. So the buoyacy effect takes place.Ingekuwa ni Tanzania haki ya Mungu huyu Dereva wa hili Lori ningegawana nae Majengo ya Serikali kwani ni mpumbavu sijapata kuona.
Yaani anaona kabisa mto umefurika na watu wa pande zote mbili wanamuonya asilipitishe lori lake ambalo pia lilikuwa limebeba nadhani mchanga na matofali ila kwa ujeuri wake akaendelea kutaka Kuvuka na hatimaye lori Kusombwa.
Inasikitisha na inakera mno tu.
View attachment 2975159
Probably, wale wengine wakifika sehemu yenye korongo habari yao imekwishaNa nina uhakika huko huko Juu akitulia na Kukaguliwa vizuri lazima tu atakuwa Aliukweka ( Alikunya ) kwani Kifo hakina Commando.
Uhai hauna repair mkuu, waokolewa hata kama ni wapumbavu.Yaani unataka Watu wapoteze muda kuwaokoa Wapumbavu wa Kujitakia Shida na Umauti wa wazi wazi Wenyewe Mkuu?
Walifariki 9 na baadhi kuokolewa na kuna wengine hawajapatikanaHivi kwa Utaalam wako Mkuu unadhani kati ya hao Raia unaowaona Wamezama Majini Mtoni kutakuwa na Aliyepona hapo?
Wapuuzi sana, dereva alikuwa kasimamisha gari ila kuna jingine likapita ndio huyo akaamua kuiga, wengi wa walikuwa nyuma walipandia Hilo gari hapohapoKwangu Mimi Dereva na Waliopanda ( hata kama Wamekufa ) wote ni Wapumbavu tu na wala sioni Aibu kuwaita hivi.
Mbona hushangai meli kueleaMaji sijui yana siri gani, lorry pekee ni zito, ukiongeza na mchanga uliopakiwa maana yake uzito wa lorry unaongezeka, lakini ajabu maji yamelisomba...
Umesomea chuo gani udereva? Mbona inafahamika maji yakiwa na kina cha 30 Centimetre(urefu wa rula) yanaweza kuondosha gari! ...maana matairi ya gari yanakuwa kama Boya kwenye majiMaji sijui yana siri gani, lorry pekee ni zito, ukiongeza na mchanga uliopakiwa maana yake uzito wa lorry unaongezeka, lakini ajabu maji yamelisomba...
HahahahaaaMaji sijui yana siri gani, lorry pekee ni zito, ukiongeza na mchanga uliopakiwa maana yake uzito wa lorry unaongezeka, lakini ajabu maji yamelisomba...
Acheni Wafe mnawaonea Huruma ya nini? Hivi ilihitaji Degree hapo kujua kuwa Maji hayo ya Mto ni mengi na Hatarishi Kwao? Wala sisikitiki kwa huko Kuzama na Kufa Kwao kwani kwa 100% ni kama vile Walishapanga kuwa wanataka Kufa katika Mafuriko hayo labda ili wakapumzike na Maisha magumu waliyonayo duniani.Wapuuzi sana, dereva alikuwa kasimamisha gari ila kuna jingine likapita ndio huyo akaamua kuiga, wengi wa walikuwa nyuma walipandia Hilo gari hapohapo
Huu mchezo wa kutaka kulaumu serikali kila saa bila kuangalia wajibu wetu utatuua wa Africa sanaa, yan wew unaona hio barabara ilivyo hivo na maji bado unataka watu waje waweke magogo kuifunga usipite ? Umekuwa kuku wew ? Kwamba huwez tumia akili kuona hapo hapapitiki ? Mamlaka hazina kosa hapo, ni upuuzi wa waliokuwepo hapoUzembe Ni Mamlaka husika kutoifunga hiyo barabara Kwa mafuriko. Constructive manslaughter/ corporate manslaugher inawahusu Kama kweli tupo serious Na uhai wa watu