Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 48,958
- 43,064
Ogopa majiMaji sijui yana siri gani, lorry pekee ni zito, ukiongeza na mchanga uliopakiwa maana yake uzito wa lorry unaongezeka, lakini ajabu maji yamelisomba...
Ogopa majiMaji sijui yana siri gani, lorry pekee ni zito, ukiongeza na mchanga uliopakiwa maana yake uzito wa lorry unaongezeka, lakini ajabu maji yamelisomba...
Wakenya wanavyojifanya wajanja Huwezi amini kama mtu mwenye akili anaweza kufanya this stupidity DrivingIngekuwa ni Tanzania haki ya Mungu huyu Dereva wa hili Lori ningegawana nae Majengo ya Serikali kwani ni mpumbavu sijapata kuona.
Yaani anaona kabisa mto umefurika na watu wa pande zote mbili wanamuonya asilipitishe lori lake ambalo pia lilikuwa limebeba nadhani mchanga na matofali ila kwa ujeuri wake akaendelea kutaka Kuvuka na hatimaye lori Kusombwa.
Inasikitisha na inakera mno tu.
View attachment 2975159
Maji sijui yana siri gani, lorry pekee ni zito, ukiongeza na mchanga uliopakiwa maana yake uzito wa lorry unaongezeka, lakini ajabu maji yamelisomba...
Maji sijui yana siri gani, lorry pekee ni zito, ukiongeza na mchanga uliopakiwa maana yake uzito wa lorry unaongezeka, lakini ajabu maji yamelisomba...
Poti Akili zako za Kufikiri umeziacha Chumbani kwa Mkeo au? Serikali katika huu Upuuzi wa Dereva wa Lori na hao Waliokufa inaingiaje? Sehemu zingine Hatarishi za Kijamii huwa pia tunasubiri Maelekezo ya Serikali / Mamlaka kutuongoza na kutusimamia? Unaniaibisha mno mwana Mkoa wa Mara ( Poti ) Mwenzako sawa Mkuu? Acheni wafe tu hakuna namna na GENTAMYCINE huwa sina Huruma kwa Wapumbavu wa Mfano wao na huyo Dereva wao pia.Demu hahusiki na mambo haya ya corporate constructive manslaughter Poti... nachojiuliza, hapo kwenye mafuriko, ni nani kiongozi wao aliyeruhusu barabara kutumika kwa hali ilivyokuwa? siilau serikali kuu kwa sababu moja tu- tuna devolved admistration Tanzania nzima hata na visiwani, yaani serikali kuu na serikali za mitaa.sasa huyo mkuu wa serikali za mtaa huo analo la kujibu na ikiwezekana awajibike kwa vifo vilivyo tokea hapo kama kweli vipo. Bado sijachemsha labda kama utaeleza uelewa wako kuhusu hiloneno la constrictive manslaughter au devolved admistration. Haya sio mambo ya jumla jumlka Poti.
Punguza jazba mkuuuSasa kwanini mwanzoni ulikuwa Ukiwatetea? Nachukia mno Watu wenye Unafiki Unafiki katika Masuala.
Absolutely Mkuu. Wakenya niliwaheshimu sana nikijua wana Akili na wanajua Kufikiri ila kwa hili kumbe nao ni Mapopoma tu.Wakenya wanavyojifanya wajanja Huwezi amino kama mtu mwenye akili anaweza kufanya this stupidity Driving
Ulinikera.Punguza jazba mkuuu
Matairi ndani yana upepo Mkuu....kwenye maji ni kama maboyaMaji sijui yana siri gani, lorry pekee ni zito, ukiongeza na mchanga uliopakiwa maana yake uzito wa lorry unaongezeka, lakini ajabu maji yamelisomba...
Upthrust Theory si ndiyo Mkuu au? Sikuwa vibaya sana katika Physics japo nilichukua Masomo ya wenye Akili kubwa ya Arts.Ukitambua meli na ma container 1000+ inaelea lakini coin ya 100/- inazama, ushangae vipi Lori kuzama? Ilmu ni uhuru, ufia dini na umbumbu ni laana!
Kumbe lile lorry lilikuwa juu ya bahari! au meli za kijijini kwenu ndio zina matairi!. Hujui hata ku relate situation.Ukitambua meli na ma container 1000+ inaelea lakini coin ya 100/- inazama, ushangae vipi Lori kuzama? Ilmu ni uhuru, ufia dini na umbumbu ni laana!
Jiulize meli Ina uzito gani na bado inaelea kwenye majiMaji sijui yana siri gani, lorry pekee ni zito, ukiongeza na mchanga uliopakiwa maana yake uzito wa lorry unaongezeka, lakini ajabu maji yamelisomba...
Ni mara ya pili naona video ya namna hii kutoka Kenya. Sijawahi kujua why huwa hawajifunzi.Wakenya wanavyojifanya wajanja Huwezi amini kama mtu mwenye akili anaweza kufanya this stupidity Driving
Wapumbavu na Washamba huwa na muda wa Kujifunza Kitu au Lolote lile Mkuu?Ni mara ya pili naona video ya namna hii kutoka Kenya. Sijawahi kujua why huwa hawajifunzi.
Kumbe lile lorry lilikuwa juu ya bahari! au meli za kijijini kwenu ndio zina matairi!. Hujui hata ku relate situation.
Unazidi kujivua nguo kila dakika, nazidi kukudharau sana. Hujui nimeshaona lorry likivuka kwenye maji mengi kwenye barabara ya lami ndio maana nikajenga hoja yangu.
Umekalia kufia dini tu wewe mpuuzi, nani anayetangaza dini hapa, nikutupe kwenye dustbin kabisa.
Kuna mmoja kapona amepanda juu ya mtiHivi kwa Utaalam wako Mkuu unadhani kati ya hao Raia unaowaona Wamezama Majini Mtoni kutakuwa na Aliyepona hapo?
Zisingeelea hiyo Gari isingebebwa coz Ina mzigo mzito, maji hayajasukuma gari, ila maji yamebeba gar,Kwa nini sasa hizo tairi hazijaisaidia gari kuelea??
Kuna mmoja anaonekana kwenye mti amevalia nguo nyekundu karibu na mwisho wa video.Hivi kwa Utaalam wako Mkuu unadhani kati ya hao Raia unaowaona Wamezama Majini Mtoni kutakuwa na Aliyepona hapo?
Ingeweza kupita kama barabara ingekuwa ni ya lami,lakini ikiwa ni ya mchanga kila tairi linapokanyaga maji yanafukua chini yake,kwahiyo kinachofuata ni gari kupoteza muelekeo...Maji sijui yana siri gani, lorry pekee ni zito, ukiongeza na mchanga uliopakiwa maana yake uzito wa lorry unaongezeka, lakini ajabu maji yamelisomba...