wavuvi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Offshore Seamen

    Wizara ya Uvuvi itoe kipaumbele kwa Wavuvi Wadogo na wa kati

    Mwaka jana wizara ya uvuvi kwenye bajeti ilitenga pesa kwa ajili ya kusaidia uvuvi , na likatoka tangazo la watu wanaotaka mikopo kwa ajili ya uvuvi waandike majina yaende Makao Makuu Dodoma. Majina yalienda na mpaka leo hakuna mrejesho, wiki iliyopita wizara imeandaa semina na mafunzo kwa...
  2. Makonde plateu

    Mimi nasimama na Bashe, Mpina alikuwa katili na amewapa umasikini wavuvi wengi sana

    Mpina leo hii ndiyo ujifanye mwanaharakati wa kuikosoa serikali? Hivi ninyi wanasiasa acheni unafiki acheni kuwachezesha Shere waTanzania au kisa mnawaona waTanzania mburula? Mpina kipindi ni waziri tunajua madudu yako uliyoyafanya kwa wavuvi wale wa ziwa Victoria mpaka ikafikia hatua...
  3. Nyankurungu2020

    Bashe unaumiza Watanzania kwa faida zako binafsi. Luhaga Mpina alisimamia Sheria, hakutia umasikini wavuvi

    Luhaga mpina alisimamia sheria ya Bunge. Sheria zipo wazi kabisa pamoja na kanuni zake. Sasa kama hairuhusiwi kuvua kwa nyavu haramu kwa nini waziri asisimamie sheria? Ila wewe umejitoa fahamu. Umeshindwa kulinda maslahi ya mlaji nafaka sasa watanzania wanahangaika. Maharage yamekuwa ni anasa...
  4. Determinantor

    Wavuvi Kempu kufungwa Januari 23, 2023

    Taarifa zilizopo ni kwamba kile kijiwe pendwa kitafungwa rasmi tarehe 23 January 2023. Hakuna sababu zilizotolewa kufungwa kwa hiki kijiwe. Kituo kinachofuata ni wapi?
  5. Rashidi Jololo

    Serikali ya CCM imetutapeli Wavuvi pesa za mradi wa IFAD, mabilioni ya Samia YAYEYUKA

    Wanabodi, kama ilivyokuwa katika awamu ya mwisho ya Kikwete, vilianzishwa vikundi na vyama vya ushirika na kukopeshwa mamilioni ya shilingi bila riba. Baada ya utawala wa Magufuli kuingia, vikundi na vyama hivyo vya ushirika vikafutiliwa mbali na kutokomea na kodi zetu. Mchezo huo ni kama...
  6. GENTAMYCINE

    RC wa Kagera Chalamila hizo Milioni 10 za Rais Samia kwa Wavuvi Waokoaji ni za kuwapa Wagawane au Wafunguliwe Akaunti Benki?

    Rais Samia alipotoa hizo Pesa Tsh Milioni 10 alisema wazi kabisa kuwa ni Asante kwa Wavuvi kwa Uokoaji wa Manusura wa Ajali ya Ndege Mkoani Kagera ya Precision Air na hakusema kuwa Wafunguliwe Akaunti Benki kama ulivyofanya Wewe. Kwanini unakuwa na Kiherehere sana Wewe? Na kama kweli nia yako...
  7. J

    Kisiasa: Kilichofanywa na Wavuvi Bukoba ndio inayoitwa "Nguvu ya Umma"

    Duniani kote Nguvu ya Umma ikiwa kazini vyombo vingine vyote husubiri pembeni automatically. Wavuvi wa Bukoba mmetufundisha kitu kikubwa. Mungu wa mbinguni awabariki sana!
  8. S

    Wavuvi: Hii habari ya Sangara/Sato kuhifadhiwa na chloroform ni ya kweli

    Akihojiwa na Sexless , mvuvi (jina kapuni) amesema "Sato na Sangara wana minofu mikubwa kutokana na maumbo yao. Mara nyingi wamekuwa wakioza wanaposafirishwa toka Mwanza mpk mikoa mingine kwa kuwagandisha na barafu". "Lkn maji ya kuoshea maiti (chloroform) yakitumika samaki hao hufika popote...
  9. Jimbi

    Mikopo ya wavuvi Bil. 20 tulizoambiwa na Bwana Waziri zimepotelea wapi?

    Wakuu, kwa muda mrefu kulijitokeza GENGE hapa likijinasibu na kusifu kwamba Rais Samia ametoa bilioni 20 kwaajili ya kuwakopesha vikundi vya Wavuvi. Baada ya kuwafuatilia vijana wetu ambao wanajishughulisha na kazi za uvuvi katika maeneo mbali mbali, tumebaini HAKUNA KIKUNDI CHOCHOTE...
  10. Dr Msaka Habari

    Changamoto za wavuvi kutafutiwa ufumbuzi

    MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana amepokea malalamiko 13 ya wavuvi wa samaki katika Ziwa Victoria ikiwemo utitiri wa kodi pamoja na mateso wanayoyapata wavuvi wanapokuwa ziwani. Kinana ameyasema hayo leo Septemba 5, 2022 wakati...
  11. L

    Wavuvi wa Laos wavua samaki kwa kutumia nyavu za jadi zilizotengenezwa kwa mbao

    Tarehe 25 mwezi Agosti mwaka 2022, Visiwa vya ForThousand, Laos, wavuvi wa huko walivua samaki kwa kutumia nyavu za jadi zilizotengenezwa kwa mbao karibu na maporomoko ya Khone yaliyoko kwenye sehemu ya Mto Mekong.
  12. saidoo25

    Wavuvi Kanda ya Ziwa walia na Waziri Ndaki

    Wavuvi wa Kanda ya Ziwa wamemtuhumu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mashimba Ndaki kwa kitendo chake cha kushindwa kufika maeneo ya wavuvi kuwasikiliza ikiwemo visiwani na badala yake anaishia ziara Mwanza anaishia mjini na kuongea wa Wafanyabiashara wakubwa wa samaki na wenye viwanda huku wavuvi...
  13. figganigga

    Ridhiwani Kikwete apongeza Serikali kwa kuwanajengea Gati za Kupokelea Boti na majahazi na kuwawezesha Wavuvi wa Pwani ya Bahari

    Naibu Waziri wa Ardhi ambaye pia ni Mbunge wa Chalinze amepongeza juhudi zinazofanywa na Serikali kuhakikishia wananchi wanaoishi katika Wilaya za Pembezoni mwa Bahari ya Hindi za kuhakikisha kuwa wanajengewa Gati za Kupokelea Boti na majahazi na kuwawezesha Wavuvi kwa kuwapatia Vifaa vya...
  14. Lady Whistledown

    Mwenyekiti wa Chama cha Wavuvi nchini asema kuporomoka kwa bei ya Samaki kutasabisha uvuvi haramu

    Mwenyekiti wa Chama Cha Wavuvi Nchini, Bakari Kadabi amesema Kuporomoka bei ya samaki kutapelekea kufilisi mitaji yao na kuchochea uvuvi haramu kwasababu italazimika wavuvi wahakikishe wanapata samaki wengi ili wapate kipato kikubwa Aidha, ameiomba Serikali kuingilia kati mabadiliko ya bei za...
  15. L

    Wavuvi wa Vietnam watupa nyavu kubwa

    Wavuvi wa Quy Nhơn, Vietnam, wanatupa nyavu kubwa za bluu-kijani kwenye vitanda vya mwani.
  16. B

    Zanzibar Wavuvi wapewa Boti za Kisasa, Bara kulikoni?

    Rais wa Zanzibar ameonekana akigawa maboti mapya kwa ajili ya wavuvi wa huko kuachana na majahazi. Jambo la kheri kabisa! Hata hivyo kwanini zoezi hili ni kwa Zanzibar tu? Si kuwa kwa uwiano wa watu huku bara tulistahili mengi zaidi? Kweli Zanzibar kumenoga.
  17. chiembe

    TAKUKURU mko wapi? Mbunge Musukuma asema wavuvi Kanda ya Ziwa walioombwa rushwa na Luhaga Mpina wako tayari kutoa ushahidi

    Mbunge wa Geita Vijijini Mh. Musukuma amehojiwa na chombo cha habari na kueleza kwamba wavuvi wa Ziwa Victoria waliombwa rushwa na Luhaga Mpina, wakati akiwa Waziri wa Uvuvi, walipomnyima, basi alivunjavunja mitumbwi yao na kuchoma nyavu zao. Baadhi wanakiri kumpa rushwa Luhaga Mpina. TAKUKURU...
  18. chizcom

    Wakulima, wavuvi na wafugaji walitakiwa kuwa ndio matajiri hapa Tanzania ila ndio wamekuwa masikini

    Inauma sana kuona sekta nzima kilimo,uvuvi na ufugaji kuwa sehemu inayotumika vibaya sana na kuachwa nyuma sana hapa kwetu. Kitu kinacho niumiza ni pale tanzania ina umiliki mkubwa wamaeneo ambapo asilimia kubwa inashikiliwa na wakulima sana na wafugaji. Kitu kilichonifanya kueleza haya ni...
Back
Top Bottom