Mbunge wa Geita Vijijini Mh. Musukuma amehojiwa na chombo cha habari na kueleza kwamba wavuvi wa Ziwa Victoria waliombwa rushwa na Luhaga Mpina, wakati akiwa Waziri wa Uvuvi, walipomnyima, basi alivunjavunja mitumbwi yao na kuchoma nyavu zao.
Baadhi wanakiri kumpa rushwa Luhaga Mpina. TAKUKURU...
Inauma sana kuona sekta nzima kilimo,uvuvi na ufugaji kuwa sehemu inayotumika vibaya sana na kuachwa nyuma sana hapa kwetu.
Kitu kinacho niumiza ni pale tanzania ina umiliki mkubwa wamaeneo ambapo asilimia kubwa inashikiliwa na wakulima sana na wafugaji.
Kitu kilichonifanya kueleza haya ni...
Tamasha kubwa litakalojulikana kwa jina la Wavuvi Festival &Culture Tourism Tanzania liko njiani kufanyika kwa siku mfululizo jijini Dar es Salaam likiwa ni la kwanza katika historia ya nchi.
Kwa mujibu wa mratibu wa tamasha hilo, Alphone Mkama, Wavuvi Festival litafanyika kwenye Ufukwe wa Coco...
Mkoani Geita Wavuvi wawili yaani James Jonas na Rocky Kamala ambao ni wakazi wa kijiji cha Nyandago kata ya Butundwe mkoani Geita.
Wamefariki dunia huku mmoja akiokolewa baada ya Mtumbwi walio kuwa wakisafiria katika ziwa Victoria kusombwa na kimbunga cha upepo mkali uliyopelekea mtumbwi huo...
Mkuu wa wilaya ya Nkasi Mkoani Rukwa Peter Lijualikali amekamata risasi zaidi ya 1500 ambazo zimevuliwa na wavuvi wa kijiji Cha korongwe kata ya korongwe wilayani humo. Lijualikali amesema tayari kamati ya ulinzi na usalama inafanyia kazi swala hilo ili kutambua nani aliziweka risasi hizo katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.