Waziri wa TAMISEMI, Mohamedi Mchengerwa ametangaza kuongeza muda wa Kamati za rufani za Wilaya wa kupokea, kusikiliza na kutoa uamuzi wa rufaa iliyowasilishwa kwa muda wa siku mbili zaidi kutoka November 13, 2024 na sasa rufaa zitapokelewa, kusikilizwa na kutolewa uamuzi hadi November 15,2024...
Wiki iliyopita siku ya Jumamosi, Watoto waliporudi nyumbani walileta taarifa ya kushtua kuwa Shule ya Msingi Ubungo National Housing (NHC) inauzwa, na wazazi tunahitajika kufika shuleni leo Jumanne kwa ajili ya kikao kilichopangwa. Hali hii ilisababisha taharuki miongoni mwa wazazi. Tulipofika...
CCM: TAMISEMI IPUUZE MAKOSA MADOGO MADOGO, KUKUZA DEMOKRASIA
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimeiomba Wizara ya Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), kuwaelekeza wasimamizi Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, kupuuza makosa madogo madogo yaliyotokea, ili kuruhusu wagombea wengi...
CCM: TAMISEMI IPUUZE MAKOSA MADOGO MADOGO, KUKUZA DEMOKRASIA .
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimeiomba Wizara ya Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), kuwaelekeza wasimamizi Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, kupuuza makosa madogo madogo yaliyotokea, ili kuruhusu wagombea...
Wakuu,
Kazi kweliweli, huku Nchimbi anawaambia TAMISEMI walegeze kamba Demokrasia yetu bado changa, huku wanasema kila kitu kipo byeeee! Tuendelee kunywa mtori nyama tutazikuta chini :BearLaugh: :BearLaugh: :BearLaugh:
=====
Serikali kupitia Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za...
KITUO cha Ubia Kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPPC) kimeendesha Mafunzo kwa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI)
Mbunge wa Jimbo la Mpanda Mjini, Mhe. Sebastian Simon Kapufi amezungumza na kuchangia mada wakati wa Mafunzo ya kuwajengea uwezo...
1. Kumuengua mgombea kisa Hana shughuli ya kiuchumi ni upumbavu wa hali ya juu Kuna wazee walio na umri wa miaka 60 na kuendelea ambao wengi wao hawana majukumu ya kiuchumi ya kuzalisha mali je hawapaswi kugombea?
2. Kama makosa ya kujaza form yameonekana kuwa sugu kwanini msingetoa semina...
Chama cha Mapinduzi (CCM) na Serikali yake wamekuwa na utaratibu wa kutengeneza tatizo na kulitatua wao wenyewe ili waonekane wema kwa Wananchi na tasisi za ndani na nje ya nchi
Pia soma
CCM: TAMISEMI itambue demokrasia yetu ni changa, ipuuze makosa madogomadogo katika hatua ya rufaa uchaguzi...
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, ametoa wito kwa TAMISEMI kuhakikisha haki na nafasi za kugombea zinalindwa kwa kuzingatia demokrasia, licha ya kuwepo kwa mapingamizi mbalimbali ya awali.
Akizungumza katika mkutano na wahariri wa vyombo vya habari...
Chama cha Mapinduzi kimetoa wito kwa Ofisi ya Rais-TAMISEMI ambayo inaratibu Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kutanguliza mbele haki ya Kidemokrasia na kupuuza Makosa madogo yaliyojitokeza kwa Wagombea wakati wa Ujazaji Fomu za Uteuzi
"Wapo Wanaccm waliowekewa mapingamizi, wapo wa ACT, wapo wa CHADEMA, na majibu ya mapingamizi yalitoka, lakini kwa hatua za rufaa kwa maelekezo ya Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi ambaye ni Rais wa Tanzania nilipofanya naye mazungumzo, ambacho tumekiona wapo wagombea wengi sana wa vyama...
Wakuu,
Wakienda kukata rufaa wanakuta ofisi zimefungwa! Imekuwa kama mchezo wa paka na panya!
====
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR TAMISEMI), Mohamed Mchengerwa amesema wagombea wa uchaguzi wa Serikali za mitaa ambao hawakutendewa haki, bado wanayo...
Wakuu,
Kwahiyo wale walioenguliwa kwa kigezo hiki wanakuwa ndio wamerudi kwenye kinyang'anyiro au ndio wameondolewa hivyo hivyo kwa uonevu?
====
Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR TAMISEMI) imesema ujasiriamali ni kazi halali inayotambulika kiserikali, si sawa kutumika...
Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) imesema ujasiriamali ni kazi halali inayotambulika kiserikali, si sawa kutumika kuwaengua wagombea kwenye uchaguzi wa Serikali za mitaa.
Hayo yamesemwa leo Jumanne, Novemba 12, 2024 na Mwanasheria wa Tamisemi, Mihayo Kadete wakati...
Mwenyekiti mpya wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Dodoma, Aisha Madoga, ameahidi kupambana kuhakikisha wagombea wa chama hicho walioenguliwa katika uchaguzi wa serikali za mitaa wanarejeshwa, akisisitiza kwamba watafanya hivyo bila woga hata kama hawatapendelewa na mamlaka...
TAARIFA KWA UMMA
Chama cha ACT Wazalendo kimeendelea kupokea taarifa zinazoonesha wagombea wetu mbalimbali Nchini hawajateuliwa kwa sababu zisizo na mashiko kwa mujibu wa Kanuni za Uchaguzi. Mchakato huu wa kuwatengua wagombea unakwenda kinyume na misingi ya haki, uwazi na usawa wa kidemokrasia...
Salaam Wakuu,
Tanzania inaelekea kufanya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Novemba 27, 2024. Kwa sasa joto la uchaguzi huo limezidi kupanbda na Wagombea wengi wapo kwenye hatua za kurejesha fomu zao ili kupitishwa kugombea nafasi walizokusudia.
Imekuwa kawaida kwa Chaguzi zilizopita kupita nje ya...
Kwanini hawa watu hawataki kubadilika? Waliyofanya 2019 na 2020 kwao yalikuwa mazuri? Tanzania inatoka wapi na inaelekea wapi?
Mambo haya yanachagizwa kwa kiasi kikubwa na aina ya uongozi uliopo. Kwani kina Mkapa na Kikwete walishindwa kufanya haya? Kwanini iwe sasa? Ni kwanini watu tunakosa...
Mkurugenzi wa Itifaki, Mawasiliano na Mambo ya Nje wa Chama cha Maendeleo na Demokrasia (CHADEMA), John Mrema amedai kuwa fomu za wagomea wao zimechezewa:
"Kilosa kule mkoani Morogoro wagombea wetu (wa uchaguzi wa serikali za mitaa) wameenguliwa bada ya fomu zao kuchezewa, wasimamizi wamesahau...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.