mamilioni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GENTAMYCINE

    Yaani akina Okra, Baleke na Wengineo wanawadai Mamilioni bila aibu mnamzawadia Aziz K haya Mamilioni

    Klabu ya Yanga imempatia kiungo wao mshambuliaji, Stephane Aziz Ki na mkewe wake, Hamisa Mobetto Sh50 milioni kama zawadi katika sherehe yao. Hilo limebainishwa na Mtendaji Mkuu wa Yanga, Andre Mtine wakati wa sherehe ya aga dimba ya Aziz Ki na Hamisa iliyofanyika katika Ukumbi wa Super Dome...
  2. A

    Kosa Dogo Ambalo Hupelekea Wakurugenzi Wa NGOs Kutumia Mamilioni Ya Fedha…

    Mashirika yasiyo ya Kiserikali (NGOs) ambayo yamesajiliwa kwa mjibu wa sheria ya mwaka 2002 ya Mashirika yasiyo ya Kiserikali, mashirika hayo yanawajibika kufanya marejesho ya taarifa za shughuli zake pamoja na taarifa zilizo kaguliwa na kuidhinishwa na mkaguzi aliyesajiliwa na Bodi ya Wahasibu...
  3. Hamumu

    Mzee alivyotukosesha mamilioni ya Mjerumani

    Hapooooo.... Nadhani tuko fresh bhandugu. Leo nimewiwa kuwapa stori hii ambayo hadi kesho sitokaa nisahau kisa hiki cha aina yake. Kuna siku nilikuwa kwa mganga wa jadi katika harakat za kuiseti mipango iende kama ninavyotaka (kulingana na imani yangu), nilikutana na jamaa mmoja wa umri kati...
  4. mirindimo

    Aina 10 za biashara zinazotapeli mamilioni ya Watanzania na wastaafu

    1. Watch Videos and Get Paid (Angalia Video Youtube na Ulipwe) Hakuna pesa inakuja kwa kutizama wananzengo tufanyeni kazi jamani. •Mara nyingi, wanakutaka uweke hela kwanza kabla wao hawajakulipa •Wanakupa points ambazo huwezi kuzitoa, points zinazo onekana kama pesa •Mwisho wa siku, umepoteza...
  5. GENTAMYCINE

    Kwanini wengine Wakifa Rais Samia hawapi Mamilioni ya Shilingi kama alivyofanya kwa huyu Sheikh Muhammad Idi?

    Mufti wa Tanzania Sheikh Abubakar Zuber amekabidhi kiasi cha Tsh Milioni 20 za rambirambi kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan kwenda katika familia ya marehemu Sheikh Muhammad Idd. Mufti Abubakar Zuber amekabidhi Milioni 20 kwa Mwakilishi wa familia...
  6. M

    JK hakwepi lawama kwa jinsi CCM ilivyogeuka kikundi cha watu wachache badala ya kuwa chama cha mamilioni ya wanachama

    Naam, hili wala halina ubishi. Katika watu ambao hawawezi kukwepa lawama katika kuvuruga chama cha Mapinduzi na hatimaye kuiweka nchi katika sintofahamu na kupelekea nchi kukosa muelekeo ni huyu JK. 1. BIFU LAKE BINAFSI NA EL LILIVURUGA CCM. Kila mtu anakumbuka jinsi EL alivyokatwa katika...
  7. Carlos The Jackal

    Mkumbusheni Rais Samia, Mungu atamkasirikia na kumpa Kisogo endapo ataendelea Kugawa mamilioni Kwa Hawa Manabii Feki!!

    Ikiwa ni Mungu pekee Ndiye agawaye Mamlaka Kwa watu. Ikiwa ni Mungu pekee ndie anahitaji Mtawala kuyatenda yaliyo mapenzi yake. Katika Dunia hii ambayo Shetani na Mawakala zake wako kwenye vita Kali dhidi ya Kanisa. Basi Mtawala yoyote yule ambaye Mkono wake utachangamana na BABELI katika...
  8. Davidmmarista

    Mamilioni ya Wamarekani wamearifiwa kujiandaa kwa hali ya hewa ya majira ya baridi

    Mamilioni ya Wamarekani wamearifiwa kujiandaa kwa hali ya hewa ya majira ya baridi. Jimbo la West Virginia limejiunga na majimbo mengine matano kutangaza hali ya dharura. Baadhi ya picha zimesambaa kwenye mitandao ya kijamii ikionesha ndege zimefunikwa na theuji na kusabisha safari 2,000 za...
  9. L

    Kama michango ya kununua gari tu imemshinda Lissu kuitimiza. Sasa ni vipi atakusanya mamilioni ya pesa kwa ajili ya Uchaguzi na kujenga Chama?

    Ndugu zangu Watanzania, Kujenga chama siyo lelemama,siyo kazi nyepesi wala rahisi wala kazi ya Mzaha mzaha.kujenga chama na kuwafikia wanachama na kutafuta wanachama wapya na kueneza sera ,itikadi ,misimamo na ajenda za chama Ni kazi Ngumu sana. Ni kazi ya jasho na Damu,ni kazi ya kujitoa na...
  10. Waufukweni

    Katibu wa NEC, Issa Gavu akabidhi vifaa vya mamilioni Chwaka

    Mwakilishi wa Jimbo la Chwaka na Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (NEC) Oganaizesheni, Issa Gavu, amesema Serikali ya Awamu ya Nane chini ya Rais Dk. Hussein Ali Mwinyi imefanikisha maendeleo makubwa kupitia utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi Mkuu wa CCM. Akizungumza Desemba 14...
  11. Rorscharch

    Tunatumbukiza Mamilioni Kwenye Harusi, Lakini tunashindwa changia matibabu ya wagonjwa na tunashindwa kujichanga kwa shughuli za maendeleo ya pamoja

    Nimekuwa nikifuatilia kwa makini jinsi desturi ya kuchangia na kufanya sherehe kubwa, hususan harusi, inavyozidi kushika kasi hapa nchini. Kinachoshangaza zaidi ni kwamba ule wigo wa kuomba michango sasa umepanuka kiasi cha kutisha. Leo hii, mtu ambaye jina lako halijui vizuri anaweza kukuomba...
  12. L

    Kama Kocha Fahdu analipwa mamilioni kwa mpira huu basi viongozi wa Simba mjitafakari sana

    Sijaona uwezo wa kocha kabisa na kunifanya niamini kweli Simba inae kocha, tulicheza na Pamba tukashambuliwa hivi hivi Kama sio uhodari wa kipa Camara Leo Bravos alikuwa anatudhalilisha. Kwanza Fahdu hajui kupanga kikosi kabisa zaidi ya kubahatisha, pili timu inacheza kwa kiwango cha chini mno...
  13. Eli Cohen

    Hivi ile movie ya kibongo iliyokuwa inapigwa promo Azam kwamba ina budget ya mamia ya mamilioni, iliishia wapi? Box office yake ilikaa vizuri?

    Wakuu hivi ile filamu ya kitanzania iliyojulikana kama Eonii ambayo ilipigiwa sana Promo na watu kuifananisha na movie za hollywood imeishia wapi? Soma pia: EONII 2023 movie ya kwanza kali ya Technology Tanzania, kama Hollywood vile
  14. nipo online

    Wakala wa Voda amedukua laini yangu na kuiba mamilioni

    Picha imeanza hivi alipita wakala hapa maskani akidai anaweza kuiwezesha laini na kua five G yani hata niwe kijijini mimi nitatamba tu. Nikampa simu yangu ili aapdate mafaili kama alivyoniambia, alivyomaliza hakutaka nimpe hela akasema yeye anapewa kwa kamisheni. Akaondoka mara tu nikapiga...
  15. Nifah

    Mahakama yamtia hatiani Harmonize, atakiwa kuilipa mamilioni CRDB!

    Msanii wa muziki wa kizazi kipya Rajabu Abdukahali Ibrahim almaarufu Harmonize ametiwa hatiani na mahakama kuu divisheni ya biashara tarehe 2 mwezi huu wa 8 kwa kushindwa kulipa kikamilifu mkopo wa kiasi cha shilingi milioni 300 alizokopa katika benki ya CRDB mwaka 2019. Mkopo huo uliokuwa na...
  16. LIKUD

    Kilaza ni wimbo utakaowafungua wazazi wenye vipato vya kawaida, wanaohangaika kulipa mamilioni ili kusomesha watoto Shule ya Kiingereza

    Is it coincidence? Au dunia imeamua KUNIKUTANISHA na watu wenye mtazamo kama wangu? Au dunia imeamua kuni - prove right kuhusu mtazamo wangu kuhusu English Mediums za Tanzania? Only God knows, hivyo ndivyo unavyoweza kusema but all in all, watu wameanza kuamka sasa. Back to the topic 👇👇...
  17. L

    Picha Bora ya Rais Samia Iliyogusa mioyo ya mamilioni ya Watanzania

    Ndugu zangu Watanzania, Wakati Taifa likiendelea kutabasamu na kusikika kwa kelele za shangwe, nderemo na vifijo zinazotokana na ushindi wa Timu ya Yanga ambayo licha ya refarii kukataa magoli ya wazi kabisaaa ,lakini imefanikiwa kuendelea na pale ilipoishia Msimu ulioisha kwa kumchakaza vibaya...
  18. L

    Rais Samia Analipeleka na kuliongoza Taifa katika Njia Sahihi na yenye kuleta Matumaini kwa Mamilioni ya Watanzania

    Ndugu zangu Watanzania, Ni hatari sana kuwaongoza watu na kuwapeleka katika njia ambayo haiwapi matumaini ya maisha na wala haionyeshi kuleta unafuu wa maisha kwa watu wala uhakika wa kutimiza ndoto zao au kuinuka kiuchumi. Njia ambayo muda wote watu wanaona giza mbele yao,hawaoni wanakokwenda...
Back
Top Bottom