Kwa wafuatiliaji mtakubaliana na mimi kuwa kauli ya Rostam imezua mijadala sehemu mbali mbali. Kauli yake ni moja ya issue sensitive zinazotugusa sisi masikini.
Tanzania si kisiwa , ni kati ya kundi la chi zilizoko bara letu la Africa .bara ambalo linastruggle kutumia rasilimali zake kwa...
Kamati ya Mdundo wa Kitaifa iliyoundwa hivi karibuni na Waziri Tamaduni Sanaa na Michezo Mohamedi Mchengrwa imepokea maoni Kutoka kwa Wadau mbalimbali wa muziki ikiwemo watayarishaji wa muziki, watunzi, watangazaji wa vyombo vya habari pamoja wasanii wa ngoma za asili lengo ni kupata vionjo...
CCM IWEKE KUMBUKUMBU YA JPM NA SIO TAIFA!!!
Kuna wito unatolewa na wabunge na makada wa ccm kuwa Rais mwendazake John P. Magufuli atengewe sikukuu ya kitaifa kuenzi mchango wake kwa taifa,hoja ikiwa kwamba amefanya mambo mengi sana mazuri kiasi cha kumuwekea siku maalum ya kumkumbuka ambayo...
Ninawasalimu kwa jina la chama pendwa CCM.
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza ni kwamba hili jambo limenitafakarisha sana. Tukumbuke mara baada ya uhuru waasisi wa taifa walipambana sana kujenga umoja wa kitaifa kwa mbinu nyingi na juhudi kubwa.
Kiswahili kilitumika na kinaendelea kutumika...
Na Mwandishi Wetu, WMJJWM, Pwani
Serikali imezindua Mwongozo wa Kitaifa wa Uanzishaji na Uendeshaji Majukwaa ya Uwezeshaji Wanawake Kiuchumi wenye lengo la kuleta ufanisi wa utekelezaji wa majukwaa haya ikiwa ni pamoja na kuyafanya yajulikane ngazi zote hapa nchini.
Akizungumza katika uzinduzi...
nipende kuchukua fursa hii kuipongeza sana serikali ya Tanzania KATIKA jitihadaa zake za kuhakikisha kila Mtanzania anapata elimu angalau ya sekondari ili kufukuza ujinga ,hii Ni baada ya kuifanya ELIMU ya msingi na sekondari kuwa bure, lakini ELIMU ya Tanzania bado haijafanikiwa kumkomboa...
Watoto wa mitaani, ni watoto ambao wanaishi mitaani, nje ya makazi ya kawaida. Kempe Ronald Hope, (2005) anatoa maana ya Mtoto wa Mitaani kama ifuatavyo: “Mtoto wa Mtaani, ni msichana au mvulana ambaye hajafikia umri wa utu uzima, ambapo mtaa (ikijumuisha makazi yasiyokaliwa, maeneo yenye...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi ametangaza Siku ya Mwaka Mpya wa Kiislamu kuwa Sikukuu ya Kitaifa Zanzibar.
Dkt. Mwinyi ametangaza siku ya Jumatano ya Julai 19, 2023 sawa na Mwezi Mosi Muharram kuwa siku ya mapumziko Kitaifa Zanzibar ili...
Bei ya mafuta imepanda sana, mishahara ni midogo sana na bidhaa zote sokoni zimepanda kwa kila mtu duniani wakiwemo hata polisi traffic.
Polisi wanazidisha ugumu wa hali hii kwa njia ya kutafuta makosa kwa wenye magari na wasafirishaji wa abiria na mizigo, hali inayosababisha gharama kubwa za...
Bila kupoteza muda,
Halmashauri ya Jiji la Tanga imeongoza kwa Kukusanya mapato kwa Asilimia 113% na kuyapiku majiji ya Dsm,Dodoma na Mwanza.
Mambo yanazidi kwenda kwa Kasi sana 👇
---
WAZIRI wa TAMISEMI Innocent Bashungwa ametoa taarifa ya mapato kwa mikoa ya Tanzania Bara katika mwaka wa...
Baada ya hasara ya kuporwa jengo kibabe ukumbi wa mziki, kuharibiwa mashamba, kufungiwa account zake. Kufunguliwa mashitaka na kubaki hoi.
Mambo ya haki za watu kama maswala ya Arthi, Migogoro ya wafugaji, ukosefu wa Ajira, Wabunge vitimaalumu, haki za watumishi, Sera za kiuchumi, mfumuko wa...
UTANGULIZI.
Ujamaa nitakaojikita nao ni (UBUNTU).
Rejea (Kamusi ya karne ya ishirini na moja 21 Toleo jipya uk wa 555)
Ubuntu ni mfumo katika jamii unaowawezesha wanajamii kuishi kwa kushirikiana katika kila jambo.
Ninaye rafiki yangu niliyepotezana naye muda mrefu kutokana na safari yangu...
UTANGULIZI
Makala hii inajikita katika kuangalia namna Bora ya kuwa na umoja na ushirikiano wa kitaifa wenye tija Bila kumuathiri mtu au kikundi chochote Cha Watu katika nchi yetu! Ingawa mara nyingi tunaambiwa hakuna mabadiliko yasiyo na maumivu hata hivyo Kwa njia hizi zikitumika ipasavyo...
Wafanyakazi wa Kituo cha Mavumbuzi ya Vifaa vya Kilimo cha Kitaifa waliendesha kutoka mbali trekta ya umeme aina ya ET1004-W mjini Luoyang, mkoani Henan, katikati ya China.
Katika miaka hii ya hivi karibuni, Kituo cha Mavumbuzi ya Vifaa vya Kilimo cha Kitaifa kimetengeneza chip ya kwanza ya...
Taifa lolote duniani ni lazima liwe na siri na siri hizo lazima zilindwe hata kwa damu. Yes sio kila kitu unapokuwa kiongozi unapaswa kukiongea hata kama unachosema ukweli ila kikatiba na kimuongozo kama mtunza siri wa wa kwanza ktk taifa hupaswi kusema nini unakijua au kinaendelea ktk taifa...
Nijuavyo mimi, katika nchi hii wapo watu ambao huabudu siku za Ijumaa, wengine Jumamosi na wengine Jumapili.
Ukifuatilia mikutano mingi ya kisiasa utagundua wanaopewa kipaumbele ni Wanaoswali siku ya Ijumaa na wanaosali siku ya Jumapili. Wanaosali jumamosi nimewahi kuona kama mara 2 hivi...
Chama tawala nchini Nigeria kimemchagua kiongozi wake wa kitaifa Bola Tinubu kuwa mgombea wake wa urais kwa uchaguzi ujao wa 2023 ambapo atashindana na kiongozi wa upinzani Atiku Abubakar kumrithi Rais Muhammadu Buhari katika Uchaguzi Mkuu wa Februari 2023
Katika kura za mchujo Tinubu (70)...
Ulianza na Singida United ikabuma ukaibukia DTB ambayo imebadili jina na kuwa Singida nini sijui.
Unafanya kitu kizuri ila kitakucost.
Mpira kwa Afrika ni mchezo wa wahuni tu. Viongozi wahuni, wachezaji wahuni, ukiwa close na wahuni watakuzingua tu.
Huku mtaani watu wanachuki na wewe kutokana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.