Zoom Saturday
Watch Tanzania inakualika kushiriki Mkutano wa Zoom utakaofanyika Disemba 18, 2021 (Jumamosi) kuanzia saa 10 kamili hadi 12:30 jioni.
Mada: Mjadala wa Kitaifa juu ya ukuaji wa Sekta ya Madini na mchango wake katika maendeleo ya Wananchi
Muda ukifika utaweza kujiunga na kushiriki...
Waliahaonyesha wazi kuwa wao wana ubabe na hawataki kubembeleza mtu.
Wana imani kuwa wana nguvu ya umma itawapa backup na walishaonyesha mapema.
Wanataka tume huru na katiba mpya kwa ngivu kupitia nguvu ya umma.
Hata wakikaribishwa ili kujumuika na wanasiasa wenzao ili kuonyesha mshikamano...
KUELEKEA MWAKA 2030 KATIBA UWE NI MJADALA WA KITAIFA.
Ni mara chache sisi WanaCCM kujitokeza kuandika haya hadharani hasa Kwa kuwa misingi ya Chama chetu ni kusemana ndani. Lakini nineona hili leo niliseme hadharani ili kumuunga Mhe Rais kuendelea kulijenga Taifa.
Ninatambua Makada wengi...
Mnalalamika hovyo kila kona eti Rais wa JMT, mama Samia hajatekeleza ahadi ya kuleta umoja wa kitaifa. Hii yote ni kwa sababu Mbowe na wenzake wanatuhuma za kupanga njama za kutekelwleza ugaidi na walikamatwa na kufikishwa mahakamani
Je, mlitaka kama kweli wanahusika na njama hizo...
Kama kuna kada inajua kudharauliwa basi ni ualimu.
Wakuu wa Shule katika halmashauri ya Arusha Dc wamepewa vinyago vya nyani ili kuongeza kiwango cha ufaulu baada ya shule zao kufanya vibaya katika mitihani ya kitaifa ya kidato cha 2, cha 4 na cha 6 mwaka jana.
Hii imekaaje kitaalamu?
Rais,
M/wa kwanza wa Rais
M/wa pili wa Rais.
Ikitokea Rais kaitwa kuwatumikia malaika nani anapanda kuwa Rais?
1. Kama atapanda No 2 kuwa Rais na No 3 kuwa M/wa kwanza wa Rais.Ni yupi mwenye mamlaka ya kumteua M/wa pili wa Rais.
2. Shughuli za baraza la wawakilishi ni yupi atahusika.
3. Rais...
Dar es Salaam. Baraza la Mitihani Tanzania (Necta), limemtaja mwanafunzi aliyehitimu shule ya msingi St Anne Marie iliyopo mkoani Dar es Salaam, Eluleki Evaristo Haule kuwa ndiye aliyeibuka kinara katika matokeo ya mtihani ya Darasa la Saba 2021.
Akitangaza matokeo hayo leo Jumamosi Oktoba 30...
Ubalozi wa Tanzania nchini China umetia saini makubaliano na kampuni ya JD.com ya China, ambapo Tanzania itaanzisha duka la kitaifa kwenye tovuti ya JD.com, na kuuza bidhaa zake bora kwa wateja wa China. Hii ni hatua nyingine ya China kuzisaidia nchi za Afrika kuongeza mauzo ya bidhaa zao nchini...
Kumradhi kwa kila mtu naomba nisionekane nimetukana ila huu ni mtazamo wangu tu.
Kila kitu ni uzoefu. I mean kila kitu ili kifanyike kwa usahihi mkubwa panahitajika uzoefu. Hii ni law of nature in doing things.
Watu wengi hulalamika kuhusu mwenendo wa Tanzania kisiasa, kielimu, nk.
Watu...
Nipo nyumbani kwenye luninga nafuatilia sherehe za kuzima mwenge huko Chato. Jambo la ajabu ni kuona bendi ya TOT ambayo ni mali ya CCM ikitumika ili hali ni sherehe ya kitaifa.
Kutumia kodi zetu kuwalipa Tot ili hali ni mali ya CCM ni kukosa busara za kisiasa. Abadani haya mambo yanatakiwa...
Ms. Jesca Kishoa, Mbunge
Kwa mujibu wa IMF takribani fedha zaidi $1 trillion zilitengwa mahususi kama mpango wa dharula wa kuwezesha kifedha zaidi ya nchi 90 zilizoathirika na UVIKO-19. Mpaka sepemba 2021, IMF kupitia Rapid Credit Facility (RCF) na Rapid Financing Instrument (RFI) imeidhinisha...
Ninachosikitika ni kuwa hizi chanjo ambazo baadhi ya watu watazipa nchi zitaenda kuua herd immunity ambayo watanzania wengi kama sio wote nchini tulikuwa tumeipata kwa muda wa takribani miaka miwili.
Kwa wasiojua, herd immunity kwa lugha ya kawaida huitwa Kinga Kundi, hii ni aina ya kinga...
17 September 2021
Unguja, Zanzibar
Makamu wa Kwanza wa Rais wa akutana na Balozi wa Marekani kujadili GNU na maendeleo ya Zanzibar
Makamu wa Rais wa Kwanza wa Zanzibar Mh. Othman Masoud Othman amekutana na Mh. Balozi wa Marekani nchini Tanzania Mh. Donald Wright na kufanya mazungumzo...
Nimewaona jana watu kutoka nchi za kibeberu wakiwa pale mahakama ya Kisutu kufuatilia kesi ya Freeman Mbowe.
Niliwaona pia viongozi wa vyama vya upinzani wakiongozwa na James Mbatia kadhalika viongozi wa juu wote wa Chadema na hata viongozi wachache wa CCM walikuwepo.
Ndio nauliza hii kesi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.