zawadi

  1. Mjanja M1

    Video: Mpenzi pokea zawadi

    Watakuwa kabila gani hawa?
  2. Roving Journalist

    Aliyempa Rais Magufuli zawadi ya jogoo atua na jogoo mwingine, amkabidhi Waziri Bashungwa Bungeni

    Waziri wa Ujenzi Innocent Bashungwa amekabidhiwa jogoo ikiwa ni ishara ya kumpongeza kwa juhudi kubwa za urejeshaji wa mawasiliano ya Barabara katika eneo la Tingi – Kipatimo na Barabara Kuu inayounganisha mikoa ya Dar es Salaam, Pwani, Lindi na Mtwara. Zawadi hiyo imetolewa leo Mei 29, 2024 na...
  3. Pfizer

    Aliyempa Hayati Rais Magufuli zawadi ya jogoo atua na jogoo wa Waziri Bashungwa bungeni

    Waziri wa Ujenzi Innocent Bashungwa amekabidhiwa jogoo ikiwa ni ishara ya kumpongeza kwa juhudi kubwa za urejeshaji wa mawasiliano ya Barabara katika eneo la Tingi – Kipatimo na Barabara Kuu inayounganisha mikoa ya Dar es Salaam, Pwani, Lindi na Mtwara. Zawadi hiyo imetolewa leo Mei 29, 2024 na...
  4. amadala

    Ulishawahi kupewa zawadi hewa mbele za watu?

    Hello Wadau wa JF! Weekend ipo vipi pande hizo? Binafsi ipo poa nimeshapata breakfast ya chapati za kusukuma, rosti la maini na kachai ka maziwa pembeni. Kwa wale wapenzi wa Korean Drama Leo nimerudi 2016 naangalia Shopaholic Luis. Kwenye 1 2 3 nimekumbuka siku ya sherehe yangu kaka yangu...
  5. M

    Mke atumia meseji za Mume wake na Mchepuko kuandaa keki ya Birthday

    Ungekuwa wewe ungefanya nini kama mwanaume, chhkulia ni mbele za watu. Tena mkeo unamuita stupid mbele kwa mchepuko.
  6. M

    Kevin Nashon fundi wa mpira nina zawadi yako nitafute

    Hapa nchini kama tukiacha majungu na unafiki kiungo Kevin Nashon hafanani na kiungo yoyote yule mkabaji, kwa wale walioangala semi final leo baina ya Yanga na Ihefu watakubaliana na mimi kuwa dogo huyu ni fundi hasa lakini haheshimiki, hana bahati. Mzamiru Yasin ambaye ni kiungo punda hakabi...
  7. Ushimen

    Zawadi imesababisha ugomvi na wife, leo nimenasa wakuu

    Wakuu..... Sina haja ya kuanza na salam, maana nimevurugwa. Ipo hivi..... Kwasasa nimehamishiwa Dar kikazi. Sasa one time nilialikwa na mwanangu Tupa niende kwenye pare ya kutimiza miaka 10 ya ndoa na mke wake, so kuna mambo kadhaa nilijifunza pale nami nikaondoka nayo. Sasa skumoja nikiwa...
  8. Stephano Mgendanyi

    Hafidh Ameir (Mtoto wa Rais Samia) Apokea Zawadi ya Rais Samia Suluhu Hassan Kutoka UWT Katika Mdahalo wa Wanawake na Muungano

    Hafidh Ameir, Mbunge wa Viti Maalum (Zanzibar) na Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwanamke Initiative Foundation (MIF) ameshiriki katika Mdahalo wa Kitaifa wa Wanawake na Muungano ulioandaliwa na Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) leo tarehe 25 Aprili, 2024 Jijini Dar es Salaam Mhe. Wanu...
  9. Ritz

    Washukiwa wa shambulio la kigaidi la "Crocus" wanasema kwamba walikuwa wakisafiri kwenda Kiev kupokea zawadi waliyoahidiwa

    Wanaukumbi. MPYA: 🇷🇺🇺🇦 Washukiwa wa shambulio la kigaidi la "Crocus" wanasema walikuwa wakisafiri kwenda Kiev kupokea zawadi waliyoahidiwa - RIA Washtakiwa katika kesi ya shambulio la kigaidi huko Crocus walisema wakati wa mahojiano kwamba baada ya shambulio hilo walikuwa wakielekea Kiev kwa...
  10. Kabende Msakila

    Watanzania tumpe zawadi gani Jesca Magufuli?

    TeamJf, Salaam na hongereni sana kwa mfungo MTUKUFU na QARESMA! Nimefuatilia mazungumzo ya binti wa hayati John Joseph Pombe Magufuli katika kumbukizi ya kifo cha baba yake nimegundua ni MTU bright sana. Anaonekana kuwa MTU wa kaliba ya baba yake (seriousness, appearance, na word build-up)...
  11. GENTAMYCINE

    Shehena ya Zawadi kutoka kwa Wamarekani ikiwafanya Wanaume watakaoitumia wasipende 'Kubong'oa' hovyo nami nitakuwa naitumia Kunakotukuka

    Na nasikia majaribio yake yanaanza kwa Wakazi wa Dar es Salaam na ninachoshukuru hasa GENTAMYCINE kuwa tayari nimeshahama Dar es Salaam tokea tarehe 18 Februari, 2024 na sasa nakula zangu tu Kipupwe cha Mapinga nikiwa na Makomandoo wa Kiharaka hivyo hiyo Shehena ya wasiwasi kwa Team Kuzalisha...
  12. Jamii Opportunities

    Teacher Training Coordinator at Project Zawadi March, 2024

    Position: Teacher Training Coordinator Overview Project Zawadi’s mission is to ensure Tanzanian children and youth have access to a quality education. Project Zawadi (PZ) is a small non-profit organization that provides support via three programs: Student Support, School Support (Model...
  13. Roving Journalist

    Rais Yoweri Museveni ampa zawadi Rais Samia ikulu ya Zanzibar

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, Rais Yoweri Museveni wa Uganda na Rais William Ruto wa Kenya wakiangalia picha ya Viongozi wa Nchi mbalimbali za Afrika wakati Rais Museveni alipomkabidhi Rais Samia zawadi hiyo baada ya mazungumzo yao Ikulu ndogo Tunguu Zanzibar...
  14. UKWAJU WA KITAMBO

    NGWEA - ZAWADI

    NGWEA - ZAWADI ___________________ JEAH! MOJA KWA MOJA TOKA CHAMBER NGWEA NA EAST ZOO YOU DOJO KAYA FELOO VERSE 1 __________ UZURU WAKO WA TABIA UMBO NA SURA NDO ULIONIFANYA SOMETIMES NISHINDWE HATA KULA / NIMESHASUMBUKA SANA MPAKA KUKUPATA ULISHANITUKANA SANA LAKINI TAMAA...
  15. Stephano Mgendanyi

    Zawadi Pekee kwa Rais Samia ni Wanawake Kuingia Nafasi za Maamuzi Wenyeviti Serikali za Mitaa katika Mitaa 564 Dar es Salaam

    Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wanawake (UWT) Mkoa wa Dar es salaam Ndugu. Mwajabu Mbwambo, ameshiriki katika mkutano wa waandishi wa habari uliondaliwa na katibu mkuu Uwt Taifa Ndugu Joketi Mwegelo. Ukiwa na lengo la kuwahabarisha wanawake katika kuelekea siku ya wanawake duniani kuendelea kumuunga...
  16. Webabu

    Tatizo la Netanyahu ni zawadi kwa Hamas

    Baada ya kumsoma sana Benjamin Netanyahu kuhusiana na vita vyake na Hamas na matatizo ya nyumbani kwake nimemuelewa sana.Naataka niwafahamishe na wenzangu waone tatizo liko wapi. Kwa ujumla Benjamin Netanyahu ameelewa kuwa baada ya miezi 4 kuelekea mwezi wa tano hakuweza kufikia malengo ya vita...
  17. Pridah

    Zawadi yangu ya Valentine kwa mwenyekiti wa kataa ndoaw

    Huwa siwaelewi watu wanaowapinga team kataa ndoa na Atheist sababu kufanya hivyo ni kama kupangiana jinsi ya kuishi hapa duniani na hiyo sio sawa kwani kila mtu ana haki ya kuishi na kuamini anachoamini ilimradi havunji sheria wala kubughudhi wengine. Kataa ndoa sio kitu kipya na ukweli hawa...
  18. I

    Wachezaji wa Ivory Coast, Nigeria na Afrika Kusini wapewa zawadi nono na serikali zao.

    Pesa, nyumba na heshima zinatolewa kwa wanasoka kutoka Ivory Coast na Nigeria, baada ya mchujo wa fainali ya Kombe la Mataifa ya Afrika Jumapili. Kila mchezaji katika kikosi kilichoshinda cha Ivory Coast ataweka mfukoni $82,000 (£65,000) zaidi ya shilingi milioni mia mbili za kitanzania na...
  19. N

    Kuna watu wakatili aisee; nilishuhudia mgeni rasmi akitoa zawadi ya mfuko wa pipi tu

    Ni mwaka jana tu katika mahafali ya darasa la saba sehemu fulani niliyoalikwa na mkuu wa shule huyo ambaye ni rafiki yangu mzuri. Tumetulia mara mgeni rasmi kafika na suti yake kuuubwa. Yamefanyika yaliyofanyika hadi muda wa kukaribishwa yeye ukafika. Akaongea vizuri kwa kutoa rai murua kabisa...
  20. B

    Wateja Benki ya CRDB kuzawadiwa zawadi za Sh. Milioni 470 kampeni ya Benki ni SimBanking

    Dar es Salaam. Tarehe 31 Januari 2024: Katika jitihada zake za kuhamasisha matumizi ya mifumo ya kidijitali nchini, Benki ya CRDB imezindua msimu wa tatu wa kampeni ya ‘Benki ni SimBanking’ na kutenga jumla ya zawadi zenye thamani ya Shilingi milioni 470 mamilioni kwa wateja wake mwaka huu...
Back
Top Bottom