Hafidh Ameir (Mtoto wa Rais Samia) Apokea Zawadi ya Rais Samia Suluhu Hassan Kutoka UWT Katika Mdahalo wa Wanawake na Muungano

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
May 16, 2020
1,994
961
Hafidh Ameir, Mbunge wa Viti Maalum (Zanzibar) na Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwanamke Initiative Foundation (MIF) ameshiriki katika Mdahalo wa Kitaifa wa Wanawake na Muungano ulioandaliwa na Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) leo tarehe 25 Aprili, 2024 Jijini Dar es Salaam

Mhe. Wanu Hafidh Ameir kwa niaba amepokea zawadi ya UWT kwa Rais wa JMT Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan iliyokabidhiwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi ambaye alikuwa ndiye mgeni rasmi katika Mdahalo wa Kitaifa wa Wanawake na Muungano.

#WanawakeNaMuungano
#UWTImara
#JeshiLaMama
#KaziIendelee

WhatsApp Image 2024-04-25 at 19.32.22.jpeg
WhatsApp Image 2024-04-25 at 19.32.22(1).jpeg
WhatsApp Image 2024-04-25 at 19.32.23.jpeg
WhatsApp Image 2024-04-25 at 19.32.23(1).jpeg
WhatsApp Image 2024-04-25 at 19.32.23(2).jpeg
WhatsApp Image 2024-04-25 at 19.24.36.jpeg
WhatsApp Image 2024-04-25 at 19.24.35.jpeg
WhatsApp Image 2024-04-25 at 19.24.35(1).jpeg
 
Back
Top Bottom