Zawadi imesababisha ugomvi na wife, leo nimenasa wakuu

Ushimen

JF-Expert Member
Oct 24, 2012
37,732
87,146
Wakuu.....
Sina haja ya kuanza na salam, maana nimevurugwa.
Ipo hivi.....
Kwasasa nimehamishiwa Dar kikazi.
Sasa one time nilialikwa na mwanangu Tupa niende kwenye pare ya kutimiza miaka 10 ya ndoa na mke wake, so kuna mambo kadhaa nilijifunza pale nami nikaondoka nayo.
Sasa skumoja nikiwa downtown mitaa ya posta, nikatimba kwenye duka moja lilikua lina maua mengi mazuri nikaona si-mbaya nikachukua moja nimpelekee waifu (nami nionekane Jigga kwa Bionce).
Siku zikayoyoma, hatimae jana nikarejea mkoani kwa mapumzuko na familia as usual.
Hakika watoto walifurahi sana kuniona, basi waifu akapokea begi akalipeleka chumbani.
During the time nikajisahau kuungia chumbani nikawa bize sebleni na watoto tuna cheza kwa furaha (baba kaja you know....)
Sasa nilipo stuka naingia chumbani nakuta waifu analia na kwikwi juu, nami nikauliza kulikoni mpenzi wangu??
Akanijibu kwamba hilo ua nimepewa zawadi na spea tairi huko Dar....
Basi nikamkatalia na kumwambia hilo ua ni lakwake nilinunua nimfanyie sapraiz kama nilivyo ona kwenye paree ya braza Tupa na mkewe.
Sasa wakuu ebu nipeni mbinu za kivuta mkali wenu leo yamenifika, waifu haelewi kabisa na mbaya zaidi anasema mbona sijawahi kumletea zawadi ya ua??
Na anaona iweje tangu nihamishiwe Dar kikazi ndio nimejifunza mambo ya kuleta zawadi za kihuni??
Nilipo mwambia ni sapraiz, ndio kwanza hanielewi kabisa wakuu.

Nimemaliza
 
Kuna sikio linahitaji kuzibuliwa kama yale mawili hayajakusikia baada ya kumpa maelezo
FB_IMG_17147961942185800.jpg
 
Akupige na mwiko ufe, furushi wewe😂😂😂
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom