Search results

  1. namba moja tuu

    Naomba ushauri juu ya afya yangu

    Ni takribani wiki sasa inapita napatwa na dalili hizi 1. Muwasho sehemu za siri kwenye uume na pumbu zinapata zinapata vipele flani havijai maji ila nikivikuna vitamu sana nasikia raha sana mpaka natoka michubuko. 2. Muwasho matakoni karibia na msingi najikuna sana mpaka matako yamechubuka. 3...
  2. namba moja tuu

    Naomba ushauri katika hili, mawasiliano ya huyu mwanamke yananichanganya

    Ni takribani mwezi sasa nipo kwenye mahusiano na bidada mmoja wa kuvalia miwani na mwenye artifical (kajichubua kiasi) colour wakuvalia vikuku na urembo wa kutosha ila kuna vitu ambavyo simuelewi kila simu yake ikipigwa anatoka nje kabisa au tukiwa chumbani anatoka sebuleni kuongea maongezi...
  3. namba moja tuu

    Nahitaji kupata mkopo(loan)

    Habari wa JF Naomba nisiwachoshe, kama kichwa kinavyojieleza naomba kujuzwa kama kuna Taasisi,mtu binasfi au mashirika yanayotoa mkopo hata kwa riba nafuu nipo tayari Maisha yangu binafsi Ni mfanyakazi katika kituo flani cha afya mtu binafsi Naomba msaada wenu
  4. namba moja tuu

    Ni muda wa kuipongeza TBC sasa

    Inawezekana vyombo vingine venye kutuonesha matangazo ya mpira (Kombe la Dunia) vimeshindwa kwasababu tofauti, ila TBC wamejitahidi kuturidhisha kwenye kipindi hiki cha hali ngumu ya upatikanaji wa maji na umeme kwa wakati. TBC oyeeeeee, TBC safiiiiiiii!
  5. namba moja tuu

    Mke wangu kaona picha za utupu nilizokuwa natumiana na mwanamke mwingine

    Habari wana jamvi Natumaini kichwa cha habari kinajieleza ni takribani kama siku ya pili leo mke wangu amekuwa mkali kila nikijisogeza nyumbani ni story za kunichamba na kunitukana baada ya kuona utupu wangu(bakora yake) nikimtumia jimama na jimama likitumia papuchi yake naakua mtu ninaeshinda...
  6. namba moja tuu

    Kuchanganya dawa na pombe

    Habari ndugu zangu wana JF health Katika mihangaiko yangu leo nimepata offer na mshangazi mmoja hivi.... sasa nipo kwenye dozi ya malaria natumia sindano artmether injection (ARH-A) sasa kama kawaida mjishangazi huo unataka tunywe pombe je ntapata madhara gani wakati huo huo nipo kwenye dozi...
  7. namba moja tuu

    Nyama inayofunika jicho kutetema

    Habari watu wa JF, Naomba kupewa ufafanuzi kwanini nyama iliyofunika jicho ya juu huwa inatetema kwa muda mara kadhaa imekua ikijirudia. Hii au inamaana gani kutokea hivi au ni tatizo pia? Natanguliza shukrani karibu.
  8. namba moja tuu

    Kwanini wanasema SUPER GRO

    Kuna baadhi ya watu wanaosifia SUPER GRO na wengine kutoisifia kwa utendaji wake wa kazi kua ni mbovu Ningependa kukaribisha maswali kuhusu SUPER GRO. Karibuni....
  9. namba moja tuu

    Uhusiano kati ya Presha kupanda na nguvu za kiume

    Kupungua nguvu za kiume Uhusiano wa matatizo ya nguvu za kiume na presha ya kupanda ni mkubwa sana. Kwa nini kuna uhusiano mkubwa? Presha ya kupanda husababisha damu ndogo sana kutiririka ndani ya uume. Uume unatakiwa upokee damu ya kutosha tena yenye kuja kwa nguvu au kasi ili uweze kusimama...
  10. namba moja tuu

    Maumivu ya viungo, mifupa na misuli

    CHANZO CHA MAUMIVU YA MIFUPA NA VIUNGIO (shingo,mgongo,miguu,misuli kuvuta) WATU GANI WANAKUA KATIKA HATARI HII 1:wenye umri mkubwa 2:wana michezo 3:uzito mkubwa 4:wana gym 5:watoto wenye upungufu wa madini chuma na vitamini SABABU YA MAUMIVU HAYO Umri unavyozidi kusogea au kukosa madini flani...
  11. namba moja tuu

    Nakaribisha maswali kuhusu Tiba lishe na mfumo mzima wa Maisha katika kujikinga na magonjwa

    Habari Wana jamvi karibuni tuweze kujadili namna vipi ya kujikinga na magonjwa yasio ambukizwa kupitia lishe na mfumo mzima wa maisha
  12. namba moja tuu

    Jinsi ya kuverify simu yangu na game FIFA 21

    Habari Wana JF naomba kuelekezwa jinsi ya kufanya phone verification kwenye game la FIFA 21
  13. namba moja tuu

    Naomba kujuzwa taratibu za kujiunga Vyuo Vikuu Huria

    Napenda kufahamishwa taratibu za kujiunga na Vyuo Vikuu Huria Nchini. Sent using Jamii Forums mobile app
  14. namba moja tuu

    Joto kwa mtoto wa miaka miwili

    Habari wataalam kuna mtoto wa miaka miwilina miezi mitatu joto lake LA mwili halipungui amepata dawa za malaria na UTI lakini joto bado naomba kujuzwa tatizo ni mini hasa joto ndo linachanganya sana.
  15. namba moja tuu

    Nijuzeni kuhusu Amo training centre Tanga

    Habari za muda huu wana jamvi, Naomba kujuzwa dondoo za chuo tajwa hapo juu kwa anaekijua
  16. namba moja tuu

    Majibu na kauli za mke wangu yamenichosha

    kauli zake "nimechochola kuzaa na wewe" "nimebugi kuzaa na wewe" "najuta kuzaa na wewe" pia mwezi wa uliopita alisema hata nikimuacha nisije nikamsumbua kuhusu mtoto"naomba umsahau mpaka mtoto" hii ni kauli yake tena sasa nimechukua jukumu la kuachana nae kilichotokea sasa!!!!ananiomba msamaha...
  17. namba moja tuu

    LAINI YA WAKALA

    habari zenu wakuu natafuta laini za uwakala naombeni kujua bei zake mahali zinapopatikana natanguliza shukrani
  18. namba moja tuu

    Ophthalomolgy

    Napenda kusomea ophthamology and surgery naomba kama kujua kama baadae unaweza kujiendeleza na pia kwa nchi yetu wagonjwa wa namna hii wapo wengi kama wa maalaria
  19. namba moja tuu

    guiding book ya diploma nacte2017/2018

    msaada jamani mbona siioni
  20. namba moja tuu

    NACTE muda ndo huu umefika wenye dondoo za hapa na pale na jinsi ya kuchagua vyuo njooni mtujuze

    wale wadau wa nacte muda ndo huu umefika wenye dondoo za hapa na pale na jinsi ya kuchagua vyuo njooni mtujuze
Back
Top Bottom