Ophthalomolgy

namba moja tuu

Senior Member
May 4, 2017
162
142
Napenda kusomea ophthamology and surgery naomba kama kujua kama baadae unaweza kujiendeleza na pia kwa nchi yetu wagonjwa wa namna hii wapo wengi kama wa maalaria
 
Hizo specialization tofauti, au unaxungumzia level gani mkuu.???wagonjwa ophta ni wengi mno ila surgery inatakiwa uwe hardcore
 
sijakuelewa wewe jamaa unataka nini!! kwanza umekosea spelling; inaandikwa hivi "ophthalmology" na iyo ingine tena hii hapa "malaria". Kwa kukosea huko tu ushanitia wasiwasi juu ya uwezo wako!! Halafu unaulizia eti baadae unaweza kujiendeleza... aaarrggghh!!! Hivi unajua ni baada ya kusoma medicine for 5 years then ndio unaspecialize kwenye hizo surgery, opthalmology, obs amd gyne, radiology, dental, pediatric na nyinginezo for 4 years!!?? sasa baadae ya kujiendeleza ulokua unaiongelea ni baadae gani wakati hapo ndo huwa watu tunaspecialize!! Halafu unaulizia wagonjwa tena kwenye surgery dept.??? You don't have medical personality.... Mimi nakushauri ukawe mwalimu tu
 
asante mkuu inaonekana ww unajua sana hongera ako
 
Back
Top Bottom