Kwanini wanasema SUPER GRO

namba moja tuu

Senior Member
May 4, 2017
162
142
Kuna baadhi ya watu wanaosifia SUPER GRO na wengine kutoisifia kwa utendaji wake wa kazi kua ni mbovu

Ningependa kukaribisha maswali kuhusu SUPER GRO.

Karibuni....
 
Je kimsingi super gro ni mbolea ya majani au ni wetting agent/surfactant?
Au ina vyote?

Kama jibu likiwa ina vyote, kipi kina matokeo zaidi, mbolea au surfactant?
 
Ok SUPER GRO ina vyote nikimanisha kua ni:

1: Surfactant
2: Weting agent
3: Fertilizer

Matokea bora zaidi ni kutumika kama fertilizer kwakua ina virutubisho vyote vya udongo na mmea so ikiwa inaruhusu unyevu pia maji kuingia kwenye mmea na udongo + zile virutubisho na madini inakua na matokea mazuri zaidi kama mbolea.

Nawasilisha mkuu kama nimekujibu
 
Unawezaje kuitambua feki na og mana kuna uwezekano wa watu kuuziwa sabuni yamaji wakaambiwa ni SuperGro
 
Bei yake ni shilingi ngapi nakwanini ukienda kwene maduka ya pembejeo huikuti.? Yn nikama inauzwa kwa connection
 
Je kimsingi super gro ni mbolea ya majani au ni wetting agent/surfactant?
Au ina vyote?

Kama jibu likiwa ina vyote, kipi kina matokeo zaidi, mbolea au surfactant?
Safi sana, hiyo aya yako ya kwanza ndio jibu. Hata kwenye label yake wameandika kwamba ni surfactant/wetting agent. Kazi yake kuu ni kuharibu surface tension ya matone ya maji au mchanganyiko wa viuatilifu ili kueneza vizuri katika majani.

Mengine yote ni marketing gimmicks tu, hakuna uhalisia wowote. Ili kuthibitisha hili tafuta eneo la shamba lisilo na rutuba kabisa halafu nyunyiza hio superglo, nakuhakikishia hakuna kitakachobadilika.

Pia hio superglo inafanana kabisa na sabuni fulani hivi za maji kwa halufu, rangi na jinsi inavyotoa povu ukikoroga baada ya kuchanganya na maji.

Kwa kifupi hawa watu wa superglo huwa nawafananisha na wauzaji wa bidhaa za oriflame na forever living. Wanachokifanya ni false marketing, madai yao yote juu ya superglo ni uongo.
 
Safi sana, hiyo aya yako ya kwanza ndio jibu. Hata kwenye label yake wameandika kwamba ni surfactant/wetting agent. Kazi yake kuu ni kuharibu surface tension ya matone ya maji au mchanganyiko wa viuatilifu ili kueneza vizuri katika majani.

Mengine yote ni marketing gimmicks tu, hakuna uhalisia wowote. Ili kuthibitisha hili tafuta eneo la shamba lisilo na rutuba kabisa halafu nyunyiza hio superglo, nakuhakikishia hakuna kitakachobadilika.

Pia hio superglo inafanana kabisa na sabuni fulani hivi za maji kwa halafu, rangi na jinsi inavyotoa povu ukikoroga baada ya kuchanganya na maji.

Kwa kifupi hawa watu wa superglo huwa nawafananisha na wauzaji wa bidhaa za oriflame na forever living. Wanachokifanya ni false marketing, madai yao yote juu ya superglo ni uongo.
Kweli mkuu, hawana tofauti na foreva living

Kwasababu GNLD ndo wazalishaji na wanaenda kwa mfumo wa networking, na ndo sababu hii supergro huikuti kirahisi kwenye maduka ya pembejeo.

Swali jingine, je kuna bidhaa nyingine unayoijua inayofanya kazi kama surfactant ama wetting agent tofauti na super gro kwa hapa Tanzania?
 
Ok SUPER GRO ina vyote nikimanisha kua ni
1:Surfactant
2:Weting agent
3:Fertilizer
Matokea bora zaidi ni kutumika kama fertilizer kwakua ina virutubisho vyote vya udongo na mmea so ikiwa inaruhusu unyevu pia maji kuingia kwenye mmea na udongo + zile virutubisho na madini inakua na matokea mazuri zaidi kama mbolea
Nawasilisha mkuu kama nimekujibu
Mkuu sorry kwa kukuharibia naomba piga picha label yake iweke hapa ili watu waone ni kitu gani hasa wananunua. Hakuna analysis yoyote kuonesha kwamba hio ni mbolea kwa maana ya nitrogen, potassium, phosphorus n.k.

Kuhusu surfactant kufanya maji kupenya kwenye udongo, effect ni yake ni ndogo sana kiasi cha kuitwa haipo tu. Soil structure nzuri yenye mchanganyiko mzuri wa silt, sand, organic matter, na kiasi kidogo cha clay, granular soil structure inatosha kabisa katika kufanya maji yapenye kwa urahisi. Weka hio surfactant kwenye clay soil hakuna matokeo yoyote, udongo utafunga na kuzuia maji yasipenye.
 
Kweli mkuu, hawana tofauti na foreva living

Kwasababu GNLD ndo wazalishaji na wanaenda kwa mfumo wa networking, na ndo sababu hii supergro huikuti kirahisi kwenye maduka ya pembejeo.

Swali jingine, je kuna bidhaa nyingine unayoijua inayofanya kazi kama surfactant ama wetting agent tofauti na super gro kwa hapa Tanzania?
Sawa kabisa, GNLD wanafanya biashara zao kwa mtindo wa nertwork marketing.

Ndio ipo ingawa jina nimesahau. Inatengenezwa/sambazwa na kampuni fulani hivi ya Kenya inayoitwa agrichem kama sikosei.
 
Wahumi hawa na biashara zao za network marketing nawaona Neolife international wana ipromote bidhaa yao
Maduka ya pembejeo zinakatazwa ndo maana uzikuti ila ukihitaji muuzaji anamtafuta mhusika anakuuzia ila madukani hazitakiw kabisa ni utopolo
 
Mkuu sorry kwa kukuharibia naomba piga picha label yake iweke hapa ili watu waone ni kitu gani hasa wananunua. Hakuna analysis yoyote kuonesha kwamba hio ni mbolea kwa maana ya nitrogen, potassium, phosphorus n.k.

Kuhusu surfactant kufanya maji kupenya kwenye udongo, effect ni yake ni ndogo sana kiasi cha kuitwa haipo tu. Soil structure nzuri yenye mchanganyiko mzuri wa silt, sand, organic matter, na kiasi kidogo cha clay, granular soil structure inatosha kabisa katika kufanya maji yapenye kwa urahisi. Weka hio surfactant kwenye clay soil hakuna matokeo yoyote, udongo utafunga na kuzuia maji yasipenye.
Ila kwenye ya mmea kiukweli inafanya kazi mahususi as wetting agent, hili hata mimi ni shuhuda.
 
Yes kwenye mmea na si udongo. Kwenye udongo wamechukua sifa yake kama wetting agent na kuikuza zaidi kama inaweza kufungua udongo, hii ni aina ya marketing ya kihuni kukuza sifa ya kitu fulani kuliko uhalisia.
 
Wengi mmetema cheche za kutosha ila kila kitu kinahitaji UTAFITI na MAJARIBIO kama hujaitumia super gro kwa kufuta utaratibu ndipo utabaki kusema watu wanaipromo lakini ukishatumia kwa kufuata utaratibu na kuijaribu utaona matokea yake

Kuhusiana na kutokuuzwa kwenye pembejeo ni kulingana mfumo wa biashara wa kampuni inavyosambaza bidhaa zake kwahiyo sio kila kitu kinakua katika mfumo wa biashara uliozoeleka

Kampuni nyingi zinazalisha bidhaa ikiwemo tajwa hapo juu kama gnld kwa upande wangu nasisitizi kua uwe wakala wa hiyo kampuni au usiwe bidhaa yoyote lazima uichunguze na kuijua pia ufanyie majaribio(ikiwezekana) wewe unaweza sema haifai kwa kuhadithiwa na watu ila wenzako waliotumia redhanded wameona manufaa yao
 
Sawa kabisa, GNLD wanafanya biashara zao kwa mtindo wa nertwork marketing.

Ndio ipo ingawa jina nimesahau. Inatengenezwa/sambazwa na kampuni fulani hivi ya Kenya inayoitwa agrichem kama sikosei.
Jee vipi kuna hii inaitwa Nutriplant organic fertilizer ubora wake ukoje
 
Siifahamu kwa kweli kama ninavyoifahamu superglo. Kwa mujibu wa Google inaonekana ni organic fertilizer yenye micro na macro nutrients zote. Kwa jinsi ya ufahamu wangu hii ni kama booster nyingine isipokuwa tu ni organic. Na booster zote mara nyingi zinatumika kama supplimental fertilizers zikienda sambamba na mbolea ya kawaida ya kuweka ardhini.

Hivyo basi hata kama unataka fanya kilimo hai(organic farming), ni vyema kama ukatanguliza samadi ya kutosha chini ili kupata mavuno sawa na ya kutumia mbolea za chumvi chumvi. Kwa kuhitimisha ili kupata uhakika wa mavuno ya juu uitumie tu kusindikiza mbolea za kawaida iwe samadi au chumvi chumvi.
 
Mimi Kama mkulima nasema kutumia supergro ni kujiongezea mzigo wa gharama za uzalishaji.

Yaani mtengenezaji aseme hii no soap additive chemical na Wizarani isajiliwe hivyo we muuzaji uje useme ni mbolea.

Ukishindwa kutumia akili yako Kuna watakao kusaidia kwa kutumia hela zako.
 
Wengi mmetema cheche za kutosha ila kila kitu kinahitaji UTAFITI na MAJARIBIO kama hujaitumia super gro kwa kufuta utaratibu ndipo utabaki kusema watu wanaipromo lakini ukishatumia kwa kufuata utaratibu na kuijaribu utaona matokea yake

Kuhusiana na kutokuuzwa kwenye pembejeo ni kulingana mfumo wa biashara wa kampuni inavyosambaza bidhaa zake kwahiyo sio kila kitu kinakua katika mfumo wa biashara uliozoeleka

Kampuni nyingi zinazalisha bidhaa ikiwemo tajwa hapo juu kama gnld kwa upande wangu nasisitizi kua uwe wakala wa hiyo kampuni au usiwe bidhaa yoyote lazima uichunguze na kuijua pia ufanyie majaribio(ikiwezekana) wewe unaweza sema haifai kwa kuhadithiwa na watu ila wenzako waliotumia redhanded wameona manufaa yao
Mpiga zomari
 
Hakuna mbolea hapo na ndio maana hata mamlaka ya mbolea Tanzania haijaisajiri na Wala hawaitambui.Ukienda kwenye tovuti ya mamlaka ya mbolea utakuta mbolea za maji nyingi lakini super agro haipo,itoshe kusema wapo kijanja janja ni ndio maana inauzwa kinyemela na kwa connection.
 
Back
Top Bottom