Kuchanganya dawa na pombe

namba moja tuu

Senior Member
May 4, 2017
162
142
Habari ndugu zangu wana JF health

Katika mihangaiko yangu leo nimepata offer na mshangazi mmoja hivi.... sasa nipo kwenye dozi ya malaria natumia sindano artmether injection (ARH-A) sasa kama kawaida mjishangazi huo unataka tunywe pombe je ntapata madhara gani wakati huo huo nipo kwenye dozi leo ni siku ya nne nachoma sindano hizo za ant- malaria

Natanguliza shukrani zangu
 
Duuh utakufa kijana na utatuchia huo mshangazi... joking mkuu.

Ngoja wataalamu waje ila pombe na matumizi ya dawa huwa si rafiki sana
 
Back
Top Bottom