Naomba kujuzwa taratibu za kujiunga Vyuo Vikuu Huria

Napenda kufahamishwa taratibu za kujiunga na Vyuo Vikuu Huria Nchini.

Sent using Jamii Forums mobile app

Siyo lazima nchini. Unaweza hata kusoma vyuo vikuu huria vya nchi nyingine... ukiwa hapahapa Tanzania. Wewe tu na bidii yako.

The Open University Of Tanzania
Tanzania

Uingereza
 
vipi kuhusu uwezekano wa kuhudhuria huko chuoni hasa kwa nchi ya nje

Back
Top Bottom