Mke wangu kaona picha za utupu nilizokuwa natumiana na mwanamke mwingine

namba moja tuu

Senior Member
May 4, 2017
162
142
Habari wana jamvi

Natumaini kichwa cha habari kinajieleza ni takribani kama siku ya pili leo mke wangu amekuwa mkali kila nikijisogeza nyumbani ni story za kunichamba na kunitukana baada ya kuona utupu wangu(bakora yake) nikimtumia jimama na jimama likitumia papuchi yake naakua mtu ninaeshinda mtaani tu ana maneno makali hivyo nakaa nje mpaka usiku mnene then narudi kulala na asubuhi natoka mapema sana kuepusha kelele(mayowe)

Kiukweli nimepatikana wana jamvi. Je, nifanyaje ili atulie? Nakuwa nashida nje kama ndege yani
 
Habari wana jamvi
Natumaini kichwa cha habari kinajieleza ni takribani kama siku ya pili leo mke wangu amekua mkali kila nikijisogeza nyumbani ni story za kunichamba na kunitukana baada ya kuona utupu wangu(bakora yake) nikimtumia jimama na jimama likitumia papuchi ake naakua mtu ninaeshinda mtaani tu ana maneno makali hivyo nakaa nje mpaka usiku mnene then narudi kulala na asubuhi natoka mapema sana kuepusha kelele(mayowe)
Kiukweli nimepatikana wana jamvi je nifanyaje ili atulia nakua nashida nje kama ndege yani
Punguza kisha baadae achana na uzinzi mdogo wangu. Muombe msamaha mkeo au mtafuta mama mtu mzima anayejiheshimu hapo mtaani kisha msimulie kila kitu na yeye ataenda kuongea na mkeo.
 
WANAUME WA DAR MNASHIDA SANA UNAMTUMIAJE MTU PICHA ZA UTUPU WAKO ITOSHE KUSEMA "BAHARIA UMEUMALIZA MWENDO R.I.P"
 
Kwangu me ningekudharau kingese sana me wakujipiga picha za utupu kwangu ni gosha tu,me waukweli wanafanya mambo yao huko nje wanamalizana kabisa akija nyumbani heshima na adabu lakini mambo ya kubaki na vielelezo vya ushangingi wako ni utoto.......cheers to wachepukaji
 
Habari wana jamvi
Natumaini kichwa cha habari kinajieleza ni takribani kama siku ya pili leo mke wangu amekua mkali kila nikijisogeza nyumbani ni story za kunichamba na kunitukana baada ya kuona utupu wangu(bakora yake) nikimtumia jimama na jimama likitumia papuchi ake naakua mtu ninaeshinda mtaani tu ana maneno makali hivyo nakaa nje mpaka usiku mnene then narudi kulala na asubuhi natoka mapema sana kuepusha kelele(mayowe)
Kiukweli nimepatikana wana jamvi je nifanyaje ili atulia nakua nashida nje kama ndege yani
Mtake radhi wanawake mungu amewajaalia moyo wa kusahau kuna siku waifu alifanikiwa kufungua simu yangu akasima sms kibao
Aisee ilikuwa kesi kubwa
 
Wasio elewa kirefu cha MILF ni Mom I Would Like to F**k.

Mleta uzi wewe boya..huwa tuna leave no marks..tunafuta kila kitu.

#MaendeleoHayanaChama
 
kwangu me ningekudharau kingese sana me wakujipiga picha za utupu kwangu ni gosha tu,me waukweli wanafanya mambo yao huko nje wanamalizana kabisa akija nyumbani heshima na adabu lakini mambo ya kubaki na vielelezo vya ushangingi wako ni utoto.......cheers to wachepukaji
Formula kuu ya mchepukaji yeyote makini ni kuwa na namba mbadala ambayo haijulikani nyumbani. Na ni mwiko kwa mchepuko kujua namba yako kuu. Nyumbani ni sehemu ya amani, moja ya amani hizo ni kuweza kuacha simu yake pasi na kuwa na shaka kuwa kuna madudu yataonekana.
Na siku zote kabla ya kurudi nyumbani unapaswa kukagua kila kitu kuanzia simu mpaka maungo yako.

Wewe mtuma picha za uchi na kukamatwa ni BOYA. Baki njia kuu na kupiga nyeto huna uwezo wa kuwa na mchepuko.
 
Habari wana jamvi
Natumaini kichwa cha habari kinajieleza ni takribani kama siku ya pili leo mke wangu amekua mkali kila nikijisogeza nyumbani ni story za kunichamba na kunitukana baada ya kuona utupu wangu(bakora yake) nikimtumia jimama na jimama likitumia papuchi ake naakua mtu ninaeshinda mtaani tu ana maneno makali hivyo nakaa nje mpaka usiku mnene then narudi kulala na asubuhi natoka mapema sana kuepusha kelele(mayowe)
Kiukweli nimepatikana wana jamvi je nifanyaje ili atulia nakua nashida nje kama ndege yani
Mwana kulitafuta mwana kulipata , ndoa sio maigizo. Huwa nawaambia watu stay truthfulness kwenye ndoa yako na Wala usiwe na mawazo Hasi juu ya mwenza wako.
Anyway muombe msamaha ila mmmmmh jiandae kuchapiwa,akili za wanawake wanazijua wenyewe.
 
Habari wana jamvi
Natumaini kichwa cha habari kinajieleza ni takribani kama siku ya pili leo mke wangu amekua mkali kila nikijisogeza nyumbani ni story za kunichamba na kunitukana baada ya kuona utupu wangu(bakora yake) nikimtumia jimama na jimama likitumia papuchi ake naakua mtu ninaeshinda mtaani tu ana maneno makali hivyo nakaa nje mpaka usiku mnene then narudi kulala na asubuhi natoka mapema sana kuepusha kelele(mayowe)
Kiukweli nimepatikana wana jamvi je nifanyaje ili atulia nakua nashida nje kama ndege yani

Wewe nadhani humo kichwani mwako hazimo kabisa! Ndiyo uchafu wako huo wa kutuletea humu? Nenda kajadiliane na huyo mke wako kitu cha kufanya!
 
kwangu me ningekudharau kingese sana me wakujipiga picha za utupu kwangu ni gosha tu,me waukweli wanafanya mambo yao huko nje wanamalizana kabisa akija nyumbani heshima na adabu lakini mambo ya kubaki na vielelezo vya ushangingi wako ni utoto.......cheers to wachepukaji
Ile mama ni mchepuko typical tulikua katika sex story
 
Back
Top Bottom