Joto kwa mtoto wa miaka miwili

namba moja tuu

Senior Member
May 4, 2017
162
142
Habari wataalam kuna mtoto wa miaka miwilina miezi mitatu joto lake LA mwili halipungui amepata dawa za malaria na UTI lakini joto bado naomba kujuzwa tatizo ni mini hasa joto ndo linachanganya sana.
 
Kwanini amepewa dawa za malaria bila kupimwa damu?

Mpe kapol (paracetamol ya watoto)

Punguza nguo alizovaa ikiwezekana abaki na chupi pamoja na vest.

Apelekwe hospitali.
 
Kikawaida dawa ya kupewa mtoto kama huyo ni Paracetamol syrup tu, ili kushusha joto,
Ila madactali wanakua na hofu na malaria na kuamua kutoa ant-malaria.

But naamin hana malaria, shida ni mchango- siujui vizur dawa zake kwan mm ni doctar pia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli but Ear infection huwa inakua cleared kwa antibiotic hiyo aliyopewa kwa ajili ya UTI, so uyo mtoto hana infection yoyote.

Huko hospital unapo pasema ndio wametoka huko huko.

But ni sawa kama wakienda kufanya check up upya.
Angalia masikio yake yana hali gani. Ear infection kwa watoto ni mbaya na hujui kama anaumwa sijui. Nendeni hospitali kwa uchunguzi zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanini amepewa dawa za malaria bila kupimwa damu?

Mpe kapol (paracetamol ya watoto)

Punguza nguo alizovaa ikiwezekana abaki na chupi pamoja na vest.

Apelekwe hospitali.
dalili ya animonia.nimeona sana kwa watoto wadogo.tatizo kuwashindika nguo nyingi wakizani wanawakinga baridi.wapate wataalamu wa toto sio hospitali za wakina juma na john kasikia mwili unauma kakimbilia kupima malaria.wakati kila siku tunayo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom