Nijuzeni kuhusu Amo training centre Tanga

Umechaguliwa kozi gani

Kiko hospital ya Rufaa bombo

Wana dental

wana maabara nursing kati ya hizi mbili moja sina uhakika

Na hiyo kozi ya AMO
 
ivi kwenye ili jukwaa niliechaguliwa AMO TANGA nipo peke angu au mnanitenga hamnitendei haki wanajukwaa hili
 
Back
Top Bottom