udhibiti

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BARD AI

    Democrats wafanikiwa kutetea udhibiti wa Bunge la Seneti

    Democracts wamefanikiwa kupata viti 50 vya Wabunge huku chama anachotokea Donald Trump, Republican wakibaki na viti 49. Rais Joe Biden amesema amefurahishwa sana na matokeo hayo huku akiwataka Wabunge wa Republicans kufanya uamuzi wa kujua wao ni nani kwenye siasa za Marekani. Pamoja na...
  2. P

    Waziri wa Fedha, Tanzania haihitaji kukopa, udhibiti wa mapato yetu uongezwe na wezi wanyongwe!

    Iwapo ripoti za Mkaguzi mkuu wa fedha za serikali CAG ziatakaposoma upigaji 0.001, na pesa haitoshi ktk kuendesha nchi, hapo ndipo twaweza kwenda kukopa Waziri wa fedha unasini mikopo ya bilioni 500, huku upotevu na wizi wa kodi zetu ni zaidi ya bilion 700, maana yake ni nini.? Form four felia...
  3. Sildenafil Citrate

    Tanzania yaanza udhibiti wa Ebola mipakani

    Serikali ya Tanzania imeanza kuimarisha mifumo ya ufuatiliaji katika mipaka ya nchi na viwanja vya ndege kupitia mikakati sita ili kudhibiti mlipuko wa ugonjwa wa Ebola uliotangazwa nchini Uganda jana usiingie nchini. Jana Uganda ilitangaza mlipuko huo baada ya watu sita kufariki huku mgonjwa...
  4. imem2022

    SoC02 Udhibiti wa taka ngumu ngazi ya kaya, maeneo ya biashara na uzalishaji katika usimamizi wa mazingira

    Utangulizi` Mazingira ni jumla ya ardhi, maji, hewa na kila kilichopo ndani yake, mwanadamu akiwa sehemu ya mazingira anawajibu mkubwa katika usimamizi wake. Aidha, mwanadamu ana mchango mkubwa sana katika uzalishaji wa taka ikiwemo taka ngumu na aina mbalimbali za taka katika mazingira. Taka...
  5. D

    SoC02 Udhibiti mahiri wa miradi ya Taifa ni Bora kuliko kumpa muwekezaji

    Mara kadhaa tumekuwa tukiona mali zilizokua chini ya serikali hapo nyuma zikikabidhiwa kwa wawekezaji kwa mikataba mbalimbali kuhakikisha zinaleta matunda kwa taifa. Unadhani ni kwanini miradi na ardhi iliyokuwa ikisimamiwa na serikali badae hukabidhiwa kwa wawekezaji? Naam JIBU ni kwamba...
  6. Lady Whistledown

    Bunge la Seneti la Marekani lapitisha Muswada wa Udhibiti wa Bunduki

    Bunge la Seneti limepitisha mswada wa udhibiti wa bunduki nchini humo, kwa kura 65 dhidi ya 33, kufuatia mfululizo wa matukio ya mauaji katika maeneo mbalimbali nchini humo kuhusishwa ununuzi na umiliki holela wa silaha Mswada huo utalazimika kupitishwa katika Baraza la Wawakilishi kabla ya...
  7. The Sheriff

    Ulinzi wa Taarifa Binafsi ni haki ya msingi kwa kila mtu; usimamizi sahihi wa ulinzi huo ndio mfumo fanisi wa kuilinda haki hiyo

    Haki za Kidigitali kimsingi ni haki ya binadamu katika enzi hizi za mtandao. Kwa mujibu wa Umoja wa Mataifa, kuwatenganisha binadamu na mtandao ni ukiukaji wa haki hizi na ni kinyume na sheria za kimataifa. Kadiri tunavyoendesha maisha yetu mtandaoni - kununua, kushirikiana kijamii na...
  8. The Sheriff

    Alama za kutambua aina za maudhui ya filamu na umri sahihi wa mtazamaji

    Kuna namna nyingi sana mtoto wako anaweza kufikia maudhui tofauti kwa kupitia vipindi vya televisheni na filamu kwa urahisi. Watoto wa kizazi hiki wamekuwa na fursa nyingi zaidi za kutazama maudhui yasiyofaa. Uelewa wa mzazi kuhusu aina za filamu na vipindi vya TV au video za mtandaoni ni...
  9. Wimbo

    Udhibiti wa taarifa za Ikulu ni muhimu sana

    Mh. Mama yetu Samia Rais Wa Jamuhiri ya muungano wa Tanzania Salaam; Kama wengi wanavyoeleza urais taasisi kubwa na nyeti sana yapo mambo ambayo yanafanyika kutokana na maendeleo ya kitecnologia ambayo kwa umuhimu Wa Taasisi hiyo yanaharibu. Kikao cha majuzi cha kuwafunda baraza la mawaziri...
  10. K

    Mwendokasi wa madereva wa magari ya umma

    Wengi ni mashahidi jinsi magari ya umma hasa za Serikali yanavyoendeshwa kwa kasi bila hatua yeyote kuchukuliwa. Magari kama V8, Landcruiser hardtop yanaendeshwa kwa spidi inayozidi kilomita 200 kwa saa huku askari wa barabarani akisimama pembeni mwa barabara na kuangalia tu na hata kuipigia...
  11. Analogia Malenga

    #COVID19 'Lockdown’ za Covid sio suluhu-Kituo cha udhibiti wa magonjwa Afrika(CDC)

    Kirusi kipya cha Omicron kilisababisha ongezeko la maambukiziImage caption: Kirusi kipya cha Omicron kilisababisha ongezeko la maambukizi Kituo cha uchibiti na kuzuwia magonjwa cha Afrika (Africa CDC), kimesema sheria kali ya kukaa nyumbani au ‘lockdown’ sio tena njia bora ya kukabiliana na...
  12. Frumence M Kyauke

    TMDA sheria ya udhibiti wa bidhaa za tumbaku

    Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) imekasimishwa na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto jukumu la kudhibiti bidhaa za tumbaku kuanzia tarehe 30 Aprili, 2021 kupitia Tangazo la Serikali Na. 360. Kifungu cha 12 cha Sheria ya Udhibiti wa Bidhaa za Tumbaku, Sura 121...
  13. F

    Udhibiti wa Ujenzi wa Miradi ya Maendeleo Katika Nchi ya Kufikirika (isiyokuwepo kiuhalisia)

    Mheshimiwa Rais Chokambaya Bin Mwaminifu wa Jamhuri-ya-Mazuzu amefanya uamuzi mgumu kwa nia ya kuokoa fedha za serikali yake katikati ya upinzani mkali wa wadau wa sekta ya ukandarasi. Katika kikao cha Baraza la Mawaziri, alitangaza uamuzi wake huo kama ifuatavyo:- Ili kudhibiti matumizi ya...
  14. Superbug

    Naomba serikali ituruhusu tulime bangi Ila tuuze nje na kuwe na udhibiti

    Naiomba serikali ituruhusu tulime bangi Ila tuuze nje Mimi ni mkulima wa mahindi na mpunga Nina jumla ya hekta 290 Ila za mahindi ni 150. Kilimo cha mahindi kimenitia hasara Sana na kwa mwaka huu mbolea imepanda mno mfuko wa kilo 50 unauzwa laki na ishirini nahisi naenda kufilisika. Ila...
  15. Tindo

    Waziri Simbachawene tunataka vitambulisho vya taifa, udhibiti wa maoni ya watu mtandaoni utakuja mwisho

    Ndugu yetu Simbachawene, inaonekana majukumu yako yamekushinda, sasa hivi umerukia utoaji wa maoni ya wananchi mitandaoni. Ungetuonyesha kwanza ukamilikaji wa vitambulisho vya taifa kwa wananchi wote wenye kustahili, kisha ndio utake kuwafurahisha hao waliokuwa cheo kwa kudhibiti maoni ya...
  16. W

    Serikali idhibiti mfumuko wa bei

    Hali ya bei za bidhaa inadhidi kuwa tete. Bei ya petrol, dizel imeongezeka kwa kiasi kikubwa. Zaidi ya sh 40 kwa lita. Bei ya mafuta ya kula lita 5 kwa 50,000. Yaa 10,000 kwa lita. Kama inawezekana hata jeshi la polisi litumike kama ambavyo imewezekana sehemu tofauti. Nakumbuka msako wa...
  17. PendoLyimo

    UCSAF yatakiwa kudhibiti mfumo wa taratibu za manunuzi na usambazaji wa vifaa vya TEHAMA shuleni

    UCSAF YATAKIWA KUDHIBITI MFUMO WA TARATIBU ZA MANUNUZI NA USAMBAZAJI WA VIFAA VYA TEHAMA MASHULENI Naibu Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Mhandisi Kundo Mathew ameitaka taasisi ya mawasiliano ya Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF) kuimarisha na kusimamia ipasavyo taratibu za...
  18. msigazi

    Jinsi Serikali inavyotakiwa kudhibiti mfumuko wa bei

    JF nawasalimia kupitia jina la jamhuri, Nachukua nafasi hii kuleta nasaha zangu kwenu ikiwezekana serikali izipate. Kuna jambo ambalo nimewaza ni kwanini vitu huwa vinapanda bei bila mpangilio nikagundua kuwa kuna shida kwenye wasimamizi wa bishara. Kwenye wizara ya viwanda inatakiwa ipitie...
  19. Ally MO98

    SoC01 Udhibiti wa posa chafu kwa Wanawake

    Posa ni kitu chenye thamani ambacho hutolewa katika familia ya mwanamke na kundi la watu wenye lengo la kuthibitisha uwepo wa ndoa kutoka kwa mwanaume. Katika karne hii ya 21, kundi la wazandiki wa kindoa hutumia mwanya huo kutokana na sababu za wanawake wenye msimamo kutokukubali kuingiliwa...
  20. Linguistic

    Hizi Marathon zinaendeshwa chini ya mamlaka gani na kwa udhibiti wa nani?

    Wakuu habarini za machweo. Kwa muda mrefu nimeona utitiri wa hizi mbio zinazoitwa za marathon ambazo zimeibuka kwa kasi sana kipindi. Sina upingamizi na hizi mbio zao ila ninachotaka kukisema ni kwamba regulation ya hizi marathon is very important. Zinaendeshwa chini ya mamlaka gani na kwa...
Back
Top Bottom