shaka hamdu shaka

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ojuolegbha

    DC Shaka awabana 2 uuzaji wa ardhi ya kijiji, Wengine 48 watafutwa na Jeshi la Polisi

    DC Shaka awabana 2 Wengine 48 watafutwa na Jeshi la Polisi Jeshi la Polisi wilayani kilosa limewatia mbaroni watu wawili akiwemo Mwenyekiti wa Kitongoji cha Msowero A, Petro Sanga (Paroko) mwenzake, Awadh Ngajime kwa tuhuma za kuuza ardhi (eneo la mlima) mali ya kijiji cha Msowero, wilayani...
  2. N

    Kwanini Mzanzibar Shaka Hamdu Shaka ni Mkuu wa Wilaya bara, na Zanzibar hakuna Mtanganyika anayeongoza?

    Mnakubali vipi Mzanzibari kuongoza Bara, Tuanze na Shaka hamdu Shaka mkuu wa wilaya ni Mzanzibari mbona Zanzibar hakuna mtanganyika anayeongoza?
  3. CM 1774858

    Kilosa: DC Shaka Hamdu akutana na kufanya kikao maaalum na Jeshi la Polisi kuelekea Kilosa yenye maendeleo endelevu

    Mkuu mpya wa Wilaya ya Kilosa Mheshimiwa Shaka Hamdu Shaka leo akiambatana na Wajumbe wa Kamati ya Ulinzi na Usalama, amefanya kikao kazi na viongozi wa Jeshi la Polisi. Viongozi hao wa Jeshi la Polisi waliongozwa na ACP Hassan Maya, Afisa Mnadhimu wa Polisi, Mkoa Morogoro, Mkuu wa Polisi...
  4. CM 1774858

    CWT mnaomvimbia kichwa Rais jifunzeni unyenyekevu wa Shaka Hamdu Shaka mtafika mbali vyeo ni dhamana ya muda Tu

    Shortly, Tumesikitishwa sana na hawa vijana wenzetu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) walioamua kuidhalilisha taasisi nyeti ya Urais Tanzania huenda kwa kujua au kutokujua, Nikweli, Tunafahamu Rais hufanya UTEUZI kwa mtu yeyote anayedhani anaouwezo wa kumsaidia katika kutekeleza majukumu yake ya...
  5. saidoo25

    Shaka Hamdu Shaka alikosea wapi kwenye Uenezi hadi kutupwa nje?

    SHAKA HAMDU SHAKA, Mwenezi Mstaafu wa CCM ametupwa nje ya nafasi hiyo na kupewa Mwana Mama Sophia Mjema. Shaka alikosea nini hadi akatupwa nje ya tuliambiwa mwanzo yeye ni kipenzi sana cha Mama Samia. Tunaofahamu Makosa ya Shaka hebu tusaidiane tupate uelewa. Maana Katibu Mkuu Chongolo yeye...
  6. voicer

    CCM imeruka maji ikakanyaga tope. Sophia na Shaka ni "light materials" majukwaani!

    Inawezekana laana za "wabaya"sasa zimeanza kufanya kazi yake ndani ya CCM hii.kama mmefikia kujiita Chawa wa Taifa! Halafu mnaamini Kwamba Sophia atakuwa bora majukwaani,katika kipindi ambacho Siasa za majukwaani zinaenda kuanza rasmi. Na kwamba atamzidi Shaka aliyekuwepo? Ambaye hata yeye...
  7. L

    Namuona Shaka Hamdu Shaka akienda kumsaidia Rais wetu Samia Serikalini

    Ndugu zangu Watanzania, Kwanza nawapongeza Sana viongozi wote wa chama changu cha CCM waliochaguliwa kuingia kuiunda na kuikamilisha safu ya juu ya uongozi wa chama chetu,Ni safu yenye kuleta matumaini kwetu wanachama,Ni safu ya ushindi,uchapa kazi na uzalendo ,Ni safu iliyojaa viongozi...
  8. B

    Mwenezi wa CCM Ndg. Shaka na Mkutano mkubwa na Waandishi wa Habari Januari 12, 2023

    Katibu wa NEC- Itikadi na Uenezi wa CCM Ndugu Shaka Hamdu Shaka leo Jumamosi Januari 14, 2023 Saa 11 Jioni atakuwa na Mkutano na Waandishi wa Habari katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM Lumumba Jijini Dar es Salaam. #CCMImetimia #KaziIendelee
  9. CM 1774858

    Shaka: CCM imetimia kazi inaendelea. Maandalizi ya Mkutano Mkuu yamefikia 99%, wajumbe tembeeni vifua mbele

    Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, imempitisha Rais Dk. Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea uenyeki wa CCM katika uchaguzi wa Chama utakaofanyika Desemba 7, mwaka huu jijini Dodoma. Akizungumza na waandishi wa habari baada ya kumalizika kwa kikao cha NEC kilichoketi leo Desemba 6, 2022 Shaka...
  10. TrioNeTwork

    Shaka: Rais Samia ameua ndoto za wasaka Urais wote kwa kazi nzuri na kubwa anazozifanya kwa ubunifu na uhodari wake

    SHAKA ANAANZA KWA KUSEMA KUWA, RAIS SAMIA NI KIOO KINACHOAKISI THAMANI YA TANZANIA NA WATANZANIA, KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka, amesema Rais Samia Suluhu Hassan ni kioo kinachoakisi utu na thamani ya Watanzania. Shaka ameyasema hayo leo...
  11. CM 1774858

    Shaka Hamdu Shaka mgeni rasmi " The Big Praise Concert " FPCT Kurasini

    Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka kuwa mgeni rasmi kwenye tamasha la " The Big Praise CONCERT " FPCT KURASINI kesho tarehe 20|11|2022 kuanzia saa 8 mchana, Shaka ataambana na baadhi ya viongozi wa Chama na Serikali katika kuunga mkono jitahada...
  12. Vugu-Vugu

    DC Jokate Mwengelo na Shaka Hamdu Shaka katika kongamano la kumpongeza Rais Samia kwa uchapakazi uliovunja rekodi zote

    Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa(NEC) ya Chama Cha Mapinduzi(CCM) Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka, akizungumza wakati wa kongamano maalum la kumpomgeza Rais Samia Suluhu Hassan, kwa kazi nzuri anayoifanya ya kuwatumikia Watanzania katika maendeleo, ambalo limeandaliwa na Jukwaa Jamii Mpya...
  13. Jabali la Siasa

    Shaka Hamdu Shaka amempongeza Rais Samia kwa kutembelea nchi 22 kwa awamu 25 kwa muda mfupi ndio sababu ya kuimarika huku kwa Uchumi wa Tanzania

    Dar es Salaam KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa(NEC) ya Chama Cha Mapinduzi(CCM) Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka amempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kazi kubwa na nzuri anayoifanya kwa Taifa ikiwemo kufungua matumaini mapya, furaha na mwanga wa maendeleo kwa wananchi. Shaka ametoa...
  14. Jabali la Siasa

    Shaka: Wenzetu wa vyama rafiki njoo tumuunge mkono Rais Samia kwani maendeleo anayofanya hayana jina la Chama chochote

    KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka, amesema ni jukumu la Watanzania wote kumuunga mkono Rais Samia Suluhu Hassan kutokana na kazi kubwa anayoifanya kuleta maendeleo nchini. Shaka ameyasema hayo leo Oktoba 30, 2022 Msalato mkoani Dodoma alipokuwa...
  15. World light

    Shaka Hamdu Shaka atunukiwa TUZO ya heshima na Uchapakazi uliotukuka

    Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Fatma Mwasa, akimkabidhi Tuzo ya heshima kama kiongozi kijana wa mfano Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Shaka Hamdu Shaka wakati wa uzinduzi wa msimu wa kilimo kimkoa zilizofanyika Wilaya ya Kilosa Oktoba 4, 2022
  16. CM 1774858

    MOROGORO: Shaka Hamdu Shaka mgeni rasmi uzinduzi wa msimu mpya wa kilimo 2022|23

    Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Ndg Shaka Hamdu Shaka kufanya uzinduzi wa msimu wa kilimo 2022-2023 na kushuhudia ugawaji wa ardhi katika mashamba yaliyorejeshwa wilaya ya Kilosa Mkoani Morogoro. Mtakumbuza katika msimu huu wa kilimo Rais Samia ameongeza bajeti ya kilimo kwa zaidi ya bilioni...
  17. Jabali la Siasa

    Shaka: Zaidi ya wanachama milioni 2 wamejitokeza kuomba kuteuliwa kugombea nafasi mbalimbali

    Ni dhahiri kabisa CCM ndio Chama kinachoongoza kwa kupendwa na kuaminiwa zaidi na Watanzania walio wengi. Ushahidi wa wazi ni idadi hii kubwa ya Wananchi wanaotaka kukiongoza chama hiki pendwa zaidi kusini mwa jangwa la Sahara. #KARIBU CCM CHAMA CHA WAJANJA WAADILIFU
  18. CM 1774858

    Shaka afurahishwa na DIT kuhamisha magari 1,000 kutoka mfumo wa mafuta kwenda wa gesi. Ampongeza Rais Samia kwa kutoa TZS 100BL kwa ajili ya CNG

    CCM YAPONGEZA JITIHADA ZA RAIS SAMIA KUIWEZESHA DIT KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka, amesema Chama Cha Mapinduzi kimeridhishwa na hatua zinazochukuliwa na Serikali chini ya Rais Samia Suluhu Hassan katika kuiwezesha Taasisi ya Teknolojia ya...
  19. OffOnline

    Je, tumfikirie Shaka kwenye nafasi ya juu? Huenda ndio kijana mwenye ushawishi zaidi Tanzania

    Wasalaam, Hebu pitia video hizo zote then njoo u-comment,Huyu kijana naona anastahili nafasi ya juu hapo baadae, Je, Wewe unaonaje? === Tazama, huu ni usiku ila vijana wanagoma kumruhusu kijana huyu aondoke
Back
Top Bottom