punguzeni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Elli

    Asante Serikali ya CCM kwa kupunguza bei ya Vinywaji, punguzeni na bei ya mafuta

    Kongole kwa Serikali sikivu, imetukumbuka kwenye Kutii kiu yako slogan! Na wapenguza pakubwa kweli kwa Vinywaji vyote kuanzia Wine 🍷 hadi juice 🧃. Wanajua hii nchi kipaumbele chetu ni starehe, kwahio hawawezi kufanya KAZI masuala ya msingi kama mafuta, bei ya umeme, miundo mbinu, Ada za vyuo...
  2. C

    Swiss Airline punguzeni ubaguzi

    Hizi ndege za wenzetu usipokua ngozi nyeupe, wanakunyali kama nnya. 1. Nilikua naenda Barcelona (BCN), Spain kwa ajili ya Holiday. Sasa ile kuingia tu nikaagiza maji daah, huyo air hostess ananipotezea 2. Kumbuka hela yenyewe ya tiket nimejibana zaidi ya mwaka, nikaona usinitanie nikanyanyuka...
  3. Suley2019

    Waziri Mkuu Majaliwa: Watoa huduma za fedha punguzeni riba ili wananchi wengi watumie huduma za fedha zilizo rasmi

    Waziri mkuu Kassim Majaliwa ametoa wito kwa watoa huduma za kifedha wapunguze gharama za upatikanaji wa huduma za fedha zikiwemo riba na ada ili wananchi wengi watumie huduma za fedha zilizo rasmi. Wito huo umetolewa leo (Jumatano, Novemba 22, 2023) wakati anafungua Wiki ya Huduma ya Fedha...
  4. Q

    NSSF Mwanza punguzeni urasimu mnawasumbua wateja wenu

    Kuna urasimu mkubwa sana kwenye ofisi za NSSF Mwanza ukilinganisha na mikoa mingine, bila kuwa na ndugu au jamaa anayekujua faili lako la mafao linaweza kuzungushwa hata mwaka mzima. Mimi na wafanyakazi wezangu tuliacha kazi siku moja kwenye kampuni binafsi mimi nikiwa branch ya Mwanza...
  5. RaiaMbishi

    Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

    Binafsi nimekuzwa na kulelewa na mzazi mmoja ambaye ni mama, sijawahi pata hata mapenzi ya baba nilipokuwa mwana. Kulea mtoto binafsi bila msaada wowote ilikua ngumu sana kwa mzazi wangu lakini alijifunga shuka kiunoni na kutosalimu amri ya uvivu. Kwakweli malezi ya mzazi mmoja pekee yana...
  6. Strong and Fearless

    Wanaume punguzeni chips mayai

    Inashangaza sana siku hizi kuona wanaume wengi (sio wote) wanakula sana chips mayai. Hii inapelekea wanakuwa wavivu, uwezo wao wa kufikiri unakuwa mdogo, hawajitumi, tena kitandani ndio performance zero kabisa. Mwanaume inabidi ule ugali wa dona na sio chips mayai, jamani.
  7. OKW BOBAN SUNZU

    Simba Sc punguzeni mbwembwe za jezi, tunaoumia ni Uto

    Waziri Masauni akiwa na kibegi Jama kwenye hizi Mbwembwe tunaoumia ni Uto. Mpaka ifike ijumaa mtakuwa mmetuacha na vidonda vya tumbo
  8. polokwane

    Serikali badala ya kuendelea kuumiza wananchi kwa kodi na kupandisha gharama za vitu muhimu hebu punguzeni Matumizi ya hovyo Serikalini

    Nchi hii pesa zinatumika hovyo sana, swala la usimamizi wa matumizi ya fedha za serikali ni tatizo kubwa sana nchi hii. Kuna matumizi ya hovyo sana kwenye fedha za umma ndio maana inaonekana kama fedha hazitoshi na kila siku wananchi wanapandishiwa gharama za maisha. Gharama za kugharamia...
  9. JanguKamaJangu

    Ummy Mwalimu: Wataalamu wa afya punguzeni semina, wananchi wapate huduma vituoni

    Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amewataka wataalamu wa afya nchini kupunguza semina ili kuwa na muda zaidi wa kutoa huduma bora za matibabu kwa wananchi. Waziri Ummy Mwalimu ameyasema hayo leo Julai 10, 2023 katika ziara yake Mkoani Simiyu wakati akizungumza na viongozi wa Mkoa huo chini ya Mkuu...
  10. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Cherehani Aishauri Serikali - Punguzeni Kodi Zinazowabana Wanunuzi wa Tumbaku

    MBUNGE CHEREHANI AISHAURI SERIKALI IPUNGUZE KODI ZINAZOWABANA WANUNUZI WA TUMBAKU Mbunge wa Jimbo la Ushetu Emmanuel Cherehani ameiomba serikali kuendelea kupunguza kodi zinazowabana wanunuzi wa tumbaku nchini ili wakulima wa zao hilo waendelee kupata faida kubwa. Mheshimiwa Cherehani...
  11. T

    Vyama vya Ushirika wa Kuweka na Kukopa punguzeni sherehe

    Vyama vya ushirika wa kuweka na kukopa punguzeni sherehe. Mnazo sherehe nyingi kuliko kubuni mikakati mbali mbali ya kuondokana na umaskini. Angalia mabenki wanavyowashangaa. Kila mwaka sherehe sijui jukwaa la ushirika la wapi, umoja wa afrika mashariki, umoja wa vyama vya afrika, umoja wa...
  12. GENTAMYCINE

    Wahaya, Wanyiramba, Waha, Wanyaturu, Warangi, Wakerewe na Wanyamwezi mlioko Msibani Masaki kwa Mkono punguzeni Ulafi

    Chakula kimepikwa kwa ajili ya Wazanaki (na hasa Sisi Wafiwa GENTAMYCINE nikiwemo) cha Kushangaza Makabila tajwa katika Kichwa changu cha Habari yenye Washamba wengi kila mkiletewa Chakula cha Msiba mnataka Kuongezewa Sahani zingine kwani mmekuja Kula hapa Masaki nyumbani kwa Marehemu Wakili...
  13. B

    Wanawake punguzeni makasiriko. Mjitathimini kama nyie hamna kasoro

    Leo nataka kuongea na wanawake wote popote mlipo. Kwa nini siku zote ktk mahusiano au ndoa lawama ni kwa wanaume tu? Wanawake wote wanaolalamika juu ya wanaume eti ni mbwa, hawaridhiki hata uwafanyie kitu gani bado atakusaliti. Niwaambie tu kuwa siyo kweli nyie mnaolalamika ni kuwa too much...
  14. Joannah

    Punguzeni kuwanga jamani

    Jamani kwema? Hebu fikiria Kuna mtu anaingia chumbani anafunga mlango,anazima taa,anajifunika shuka,lastly anafumba na macho kabisaaaaa !!Sasa najiuliza ni kupenda Sana giza au Aina Fulani ya kuwanga? Jamani Raha ya kuwa wawili chumbani muonane.. Idd Mubarak.
  15. BARD AI

    Shamsa Ford: Punguzeni kuniomba fedha

    Mwigizaji Shamsa Ford amesema watu wamekuwa wakimpigia simu na kumtumia ujumbe kwenye akaunti zake za mitandao ya kijamii kumwomba fedha. Nyota huyo alisema kuna mtu aliomba amsaidie Sh milioni 22 akamalizie nyumba yake, akisema yeye hana fedha kwani anapambana na mikopo ili maisha yake...
  16. S

    Wanawake mkipata wapenzi wapya punguzeni "show off" kwenye "status za WhatsApp"

    Story iko hivi.... Nilikua na mpenzi wangu ambae tulidumu kwenye mahusiano kwa takribani miezi 6 lakini tulipishana tu Kiswahili kdg tu na nilijaribu kuzungumza nae lakini nikaona kama mwenzangu bado kanuna flani na wakati tunazungumza mimi nilikua nimesafiri kikazi kwa muda wa mwezi mmoja so...
  17. Mamujay

    Matajiri punguzeni Tambo mnatuua kisaikolojia vijana

    Elon Musk Jana amenipa hasira Sana ,yani kumbe sio wakina Diamond tu ,mo nawengine wengi kumbe mpaka majuu aisee punguzeni dozi hii matajiri mtatuua na mawazo
  18. K

    Ushauri: Serikali punguzeni kodi kwenye manunuzi ya Nyumba

    Kuna wanaoshangaa kwanini nyumba za NHC zina bei sana kulinganisha na kujenga nyumba yako hii ndiyo sababu Tuchukulie NHC wamejenga nyumba kwa 1 Tsh 100M. Inabidi waongeze faida yao mfano 10% halafu kodi ni 18% Hivyo nyumba ya tsh 100M inabidi iuzwe tsh 128M. Wakati nyumba ile ile ukijenga wewe...
  19. DR HAYA LAND

    Msiyokuwa na kazi kuelekea 2023 punguzeni kucheza dili za hatari

    Hakuna watu wanacheza Dili za hatari Kama Ma-jobless, that's why wengine wamekataa kuajiriwa na kulipwa ujira wa kijiko wa laki sita hadi Saba. Hii ni kwasababu wanacheza dili za hatari.
  20. BARD AI

    Mufti Mkuu asema "Punguzeni dhambi mvua zinyeshe"

    Mufti wa Tanzania, Sheikh Abubakar Zubeir amewaasa Watanzania kupunguza na kuacha kabisa kutenda dhambi na badala yake wamrudie Mwenyezi Mungu ili kuwaepusha na adha ya ukame ulioikumba nchi. Amesema kukosekana kwa mvua, uwepo wa ukame na kukauka kwa maji ardhini ni ishara kwamba watu wanatenda...
Back
Top Bottom