mtaa

MTAA Super (Motor Trades Association of Australia Superannuation Fund) is an industry superannuation fund established to serve the motor trades and allied industries.
Created in 1989, it has become one of Australia’s largest super funds. As at 2019, MTAA Super has more than $12 billion funds under management and represents more than 200,000 members and more than 50,000 active employers.MTAA Super is a public offer fund and allows membership to all Australians.
MTAA Super was named SuperRatings 7 year platinum performer for 2003-2010. In 2020, the fund was again awarded Platinum Rating by SuperRatings, who named MTAA Super a “best value for money” super fund.

View More On Wikipedia.org
  1. U

    Ni marufuku mwanaume kuwa kwenye mahusiano na mwanamke mnayetokea mazingira sawa

    Ni Marufuku mwanaume kuwa na mahusiano na mwanamke mnaeishi mtaa mmoja, mnafanya kazi office moja, mnasoma darasa moja, mnaishi nyumba moja, ni mbaya. Ni sheria kutoka jandoni hio, hakikisha unarina asali ya mbali, hiyo ya maeneo yako iache watu wa mbali waifate.
  2. BigTall

    KERO Wakazi wa Mtaa wa Mshikamano -Mbezi Louis (Dar) hatuna huduma ya maji na Mamlaka zipo kimya

    Huku Mbezi Louis maeneo ya Mtaa wa Mshikamano Jijini Dar es Salaam hakuna maji ni mwezi sasa (Hadi muda naandika andiko hili Februari 10, 2024). Mara chache yanayoka usiku mwingi, Watu wanasumbuka kuamka mida hiyo na kukuta maji yanayotoka ni machafu balaa. Imagine kukaa mwezi mzima maji...
  3. Mohamed Said

    Kumbukumbu Zangu za Mtaa wa Kipata (Mtaa wa Kleist Sykes)

    KUMBUKUMBU ZANGU: MTAA WA KIPATA (SASA MTAA WA KLEIST SYKES) Nimefika Mtaa wa Kipata leo majira ya asubuhi. Siku zote nifikapo Gerezani na kupita mitaa yake kumbukumbu nyingi za utotoni hunijia. Nyumba za ndugu na jamaa nilizokuwa nazijua, nyumba za kuezekwa na madebe na mjengo wa vyumba sita...
  4. Mohamed Said

    Mtaa wa Ali Mwinyi Tambwe

    MTAA WA ALI MWINYI TAMBWE Mtaa huu uko Kinondoni Block 41. Nani huyu Ally Mwinyi Tambwe? Ana mchango gani katika historia ya Tanzania? Ally Mwinyi picha yake ya zamani kabisa katika picha zake chache katika historia ya Tanganyika ni picha iliyokuwa katika Maktaba ya Picha ya Sykes. Picha hii...
  5. Suley2019

    Kiongozi wako wa Mtaa alikuahidi nini? Je, ametimiza?

    Salam ndugu zangu, Mwaka mwingine wa uchaguzi wa Serikali za Mtaa umefika. Ni wazi kwamba viongozi wetu tulionao walitoa ahadi mbalimbali Uchaguzi uliopita tukawaamini na kuwapa nafasi. Vipi kiongozi wa Mtaa wako ametimiza ahadi au ndiyo atakuja kuomba nafasi nyingine? Kwa upande wangu...
  6. Suley2019

    Unayajua majukumu ya Viongozi wako wa Mtaa? Je, wanayatimiza?

    Salaam Wakuu, Mwaka huu ni mwaka wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Watu wengi tunauchukulia poa Uchaguzi wa hivi kwa kutokuelewa hasa umuhimu na majukumu ya Serikali za Mitaa. Kabla ya kufika Uchaguzi Je unayajua majukumu ya viongozi wako wa Mtaa kama Wenyeviti, Madiwani na Watendaji? Je...
  7. Jugado

    Mtaa gani ni hatari kutembea usiku wa manane Arusha mjini? Maana jana nilizunguka Ungalimited usiku mnene na hamna kitu nimefanywa!!

    Mitaa ipi mingine ni hatari? Nimetia timu Arusha Kwa wiki moja from jiji la panyaroad nikaona nikatembee mitaa ya Ungalimited saa saba usiku nione machalii wana jipya gani.... Nikiwa nimetupia nguo nyeusi, buti la jeje na boshori huku Kila saa nikigusa gusa kiuno as if nina paja la kuku kumbe...
  8. R

    Anayoyaeleza John Mnyika kuhusu CCM kupaka rangi ofisi ya mtaa wa Saranga na kuigeuza ofisi ya chama yana ukweli? Tumefikishwaje hapa?

    Kuna habari nyingine siwezi kuziamini hadi nipate ufafanuzi kutoka upande wa pili. Nimeona clip inasambaa ikieleza kwamba katika jimbo la Ubungo chama cha mapinduzi kimebadili matumizi ya ofsi ya mtaa na kuipaka rangi cha chama kisha kuifanya ofisi ya chama. Anadai TAKUKURU wameambiwa wakakaa...
  9. Mohamed Said

    Bi. Azza bint Abdulkheir apewa mtaa kilwa kivinje

    Nyumba ya Bi. Azza bint Abdulkheir ilikuwa Zawiyya ya Tariqa Qadirriya lakini nyumba hii pia ilikuwa kituo cha wanachama wa TANU katika kupigania uhuru wa Tanganyika. Mwalimu Julius Nyerere alikuwa akiwa Kllwa hii ndiyo nyumba aliyokuwa akifikia na kulala. Bi. Azza bint Abdulkheir kakumbukwa...
  10. Zanzibar-ASP

    99% ya Wazanzibar ni washika dini, kila mtaa kuna nyumba ya ibada, utiriri wa walevi, mateja, malaya na mashoga!

    Ukifika Zanzibar na kujitambulisha wewe ni mhubiri au muumini thabiti wa dini fulani (tofauti na dini inayotawala zaidi pale Zanzibar) umekuja kwa shughuli ya kueneza habari njema kwa watu wote, unaweza usipewe hata nyumba ya kulala wageni haijarishi una pesa kiasi gani mfukoni. Lakini ukisema...
  11. B

    DOKEZO Ubovu wa barabara za mtaa Luis kata ya Mbezi

    Wadau kulingana na taswira ya jiji la Dar es Salaam kwa sasa, eneo la Mbezi Luis, ni eneo ambalo limekaa kimkakati katika kukuza uchumi wa Dar es Salaam na nchi kwa ujumla, cha kushangaza miundombinu yake ni mibovu sijapata kuona. Kuna mtaa unaitwa Luis, leo ni karibu mwezi mzima, wananchi...
  12. Nyafwili

    Katika mtaa wa huzuni, penzi langu na house girl

    PENZI lilianza kumea kivuli cha utata mkubwa baada ya Baba yangu mdogo kuwa na njaa ya kimapenzi pindi tu alipo fiwa na mke wake wa ndoa, akaona fursa. Ugomvi kati yangu na baba ukawa jukwaa la mapambano ya hisia kali zenye mvutano wa hapa na pale...... House girl ambaye tulizama naye kwenye...
  13. Mohamed Said

    Mtaa wa Mwalimu Kihere Tanga

    MTAA WA MWALIMU KIHERE TANGA Mwenye historia ya Mwalimu Kihere atuwekee hapa. ''Al Jamiatul Islamiyya Fi Tanganyika haikuwa na jingine isipokuwa kumuomba Idd Faiz Mafungo asafiri kwenda Tanga na kupata fedha zaidi kutoka huko. Mwalimu Kihere alikuwa tayari amekusanya fedha hizo na alikuwa...
  14. BARD AI

    Kwa hali ya Miundombinu ya Barabara na Maji hapo Mtaani, Utamchagua tena Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wako?

    Tanzania inatarajia kufanya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwaka 2024 ambapo kwa mujibu wa Muongozo, Serikali za Mitaa zimeanzishwa kwa mujibu wa Ibara ya 145 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977. Madhumuni ya kuwepo kwa Serikali za Mitaa ni kupeleka madaraka kwa wananchi...
  15. econonist

    IDF yawataka Viongozi wa Hamas wajisalimishe

    Jeshi la Israel Leo jumatano limefanikiwa kuingia kwenye Hospitali ya Al Shifa , na kuanza operesheni ya kuwamaliza masalia wa Hamas na Viongozi wao. IDF imeingia hospitalini hapo ikiwa pamoja na madaktari na watafsiri wa lugha ya kiarabu. Jeshi Hilo limesema litawasaidia watoto wa changa kwa...
  16. A

    DOKEZO Nani alitoa Kibali cha Ujenzi kwa anayejenga Eneo la Mkondo wa Maji katika Mtaa wa Kibugumo, Kigamboni?

    Baadhi ya sisi Wakazi wa Mtaa wa Kibugumo Wilaya ya Kigamboni pembezoni na ilipo Sheli ya Puma hapa Dar es Salaam kuna mwekezaji ameziba njia ya maji hali ambayo imetufanya tunaoishi maeneo ya karibu na eneo hilo kuingiwa na hofu endapo mvua kubwa zikinyesha basi mambo yanaweza kuwa mabaya zaidi...
  17. N

    Tusitetee ujinga, Vijana wengi wa Kawe wamekuwa na dharau kubwa kwa wanajeshi kwa kuwa wamekaa nao mtaa mmoja, kinachofanyika sasa ni kuleta heshima

    Tusitete ujinga, Vijana wengi wa kawe wamekuwa na dharau kubwa kwa wanajeshi kwa kuwa wamekaa nao mtaa mmoja, kinachofanyika sasa ni kuleta heshima Unakuta kijana yupo kijiweni anatambia wenzake kuwa anaweza kuwa mudu wanajeshi, vijana uhuni umekuwa mwingi kiasi kwamba kuna beach zilizopo kule...
  18. FRANCIS DA DON

    Transformer la umeme mtaa wa Livingstone na Lindi lageuka kitega uchumi kwa wafanyakazi wa TANESCO

    Hilo transformer kila siku TANESCO wanapigiwa simu, wakija wanataka pesa kulitengeneza fuse yake, wanaitegesha tegesha kihuni huni tu ili ifanye kazi kidogo, ikifika kesho yake inazima tena, ukiwapigia simu wanakuja ila wewe uliyewapigia inabidi uwape pesa watengeneze, wanachokonoa chokonoa fuse...
  19. Leoboyka

    Natafuta kazi ya utendaji mtaa au kijiji

    Habari ya muda huu. Natafuta kazi ya afisa mtendaji mtaa au kijiji popote nchini nina cheti cha form four na form six.
  20. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Ntate Katika Mkutano wa Utekelezaji Ilani ya CCM Mtaa wa Maganga, Temeke.

    MBUNGE JANEJELLY NTATE KATIKA MKUTANO WA USOMAJI WA TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA ILANI YA CCM MTAA WA MAGANGA, TEMEKE Mbunge wa Viti Maalum, Mwakilishi wa Wafanyakazi Nchini anayetokea Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Janejelly James Ntate leo tarehe 07 Oktoba, 2023 ameshiriki katika Mkutano wa kusoma...
Back
Top Bottom