mchumba wangu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    Natafuta mwanamke awe mchumba wangu.

    Habari za saa hizi. Mimi ni kijana naishi dar. Umri 32. Natafuta mwanamke kwa nia ya uchumba tukienda sawa awe mke. Awe anaishi dar Umri 20-36 usizidi zaidi ya hapa. Aelewe thamani ya mwanaume . Asiwe mtu wa vizinga. Mengine PM.
  2. S

    Ndoa inafungwa Disemba 2024 na yeyote atakayekubali kuwa mchumba wangu sasa

    Uwanja ukowazi. Karibuni wadada na wamama mliyotayari. Leteni wasifu wenu kwa kuni PM mmoja wenu atachaguliwa. Sifa zangu: Umri : 50 Elimu: shahada 1 &2 Kazi: Mfanya biashara Dini: Mkristo. Makazi: Dar. Sifa za mchumba. Umri: 30 +. Elimu: kuanzia sekondari. Kazi: aliyejiajiri au aliyeajiriwa...
  3. DeMostAdmired

    Daktari alifanya nikampoteza mchumba wangu Mercy

    Karibuni katika kisa hiki kilichoacha alama isiyofutika katika moyo na MAISHA yangu. Nitaanzia mwaka 2019 nilipojiunga na chuo x hapa nchini. Tukiwa first year nilipata mchuchu mmoja wa kuitwa Mercy mtoto wa Kilimanjaro. Mercy alikua mtoto wa kishua, alikua mwembamba mrefu sura nyembamba ndefu...
  4. Yisen

    Mchumba wangu huwa hataki nimpigie simu wala SmS bosi wake wa kiume akiwepo

    Mimi na mchumba wangu tuna mahusiano ya miezi 5, anafanya kazi katika familia ya watumishi wa selikali nikimaanisha baba na mama ni wafanyakazi serikalini. Shida ni kwamba bosi wake wa kike asipo kuwepo akawepo wa kiume huwa hataki tuchati wala kupigiana simu (Hasa usiku) , akidai hataki boss...
  5. Moronight walker

    WASIWASI: Ndugu wa mzazi mwenza wa mchumba wangu, mwanamuitaje mchumba wangu?

    Nina rafiki yangu anatarajia kuoa single mother. Ila anapata shida kuhusu Familia ya Jamaa aliyezaa nae. Kule jamaa ana dada na Kaka pia, sasa ndugu zake hao watamuitaje mchumba wake. Na wazazi wake jamaa watamuitaje mchumba wake. Na yeye pia ana Dada na kaka. Ushauri naamni jf wapo wazoefu...
  6. Bundakwetu

    Nimegombana na Madam (mchumba wangu) kisa To yeye wa JF

    Ikumbukwe huyu mwalimu alinitaka yeye na kunishawishi na hatimae tumezama penzini, Sasa alikuta namsimulia jamaa yangu kuwa kuna mwanamke JF anajiita To yeye kuwa nampenda sana na nimepanga kwa kila namna nionane nae na nimwambie yaliyo moyoni. Kumbe bila kujua Maongezi yale mchumba wangu...
  7. Chizi Maarifa

    Mimi na Mchumba wangu tumeamua kumchuna huyu Mbunge. Atakoma safari hii kaingia choo cha kike

    Nliwaambia mchumba wangu yupo Dodoma kahamia Dar. Kumbe kuna mbunge bwege alikuwa anamfukuzia. Sasa anaandika msg anasikitika kuwa yaani ndo amekosa K hivi hivi.. Mi nliona mchumba anachat nikamwambia anipe simu yake nione anachat na nani. Akataka kukataa maana alikuwa anaona naweza enda mpasua...
  8. Chizi Maarifa

    Mchumba wangu anaweza niua. Naona niachane naye tu nimeshindwa mimi

    Week ya 3 hii nakaa naye amehamishiwa kikazi Dar. Maana alikuwa Dodoma. Nikamsaidia arudishwe Dar ili tuwe karibu. Michakato yote nimeifanya mimi kwa pesa zangu. Hatimaye kahamishiwa Dar. Amekuja amefikia kwangu na tumeanza kufanya mazoezi ya Ndoa. Lakini nashindwa kuvumilia. Mambo kadhaa...
  9. S

    Aliyekaribia kuwa mchumba wangu nimemkuta na kiroba cha 'sex toys', niendelee na michakato ama nisuse?

    Alinisihi tusizini mpk tutakapo oana. Na hata nilipojaribu kumsihi nimtembelee anapoishi (amepanga chumba chake) alikataa katakata akidai kuwa tunaweza kufanya maovu. Nilipopeleka barua nikaendeleza shinikizo langu la kumtembelea kwake. Dhamira yangu kuu ni kutaka kuonja tunda kabla ya ndoa...
  10. dracular

    Yamenikuta mwenzenu, nimempa mimba mchepuko!

    Habarini za majukumu ndugu zangu. Naandika uzi huu nikiwa na huzuni kubwa sana na sijui la kufanya ni nini. Nina mchumba wangu ambae tunapendana sana ila kutokana na nature ya majukumu yangu hatukuweza kuonana nae kwa almost miezi 9, so katika harakati zangu za kupunguza genye nikapata demu...
  11. Komeo Lachuma

    Nashukuru Mchumba wangu Amenisamehe baada ya Kumfumania

    Kiukweli kama week mbili sasa sikuwa na amani kabisa wala furaha. Huyu dada nampenda sana na ni mwaka sasa. Nimeamua nimuoe. Of course nlimkuta ana mtu so nikatumia nguvu nyingi kumpata. Sasa last week nlienda kufanya sapraiz kwake. Bahati mbaya nikamkuta na mwanaume wake wa zamani wananyonyana...
  12. Jolvin J Lug

    Mchumba wangu anashida pindi anapokutana na jambo gumu katika mawazo(stress) huzimia

    Habari za majukumu na JF. Nina mpenzi wangu ambae nampenda pia nae ananipenda. Na tumekua na mahusiano yaliyodumi kwa muda wa mwaka mmoja Mara kadhaa ameniomba nimpelekee moto nimekua nikimzungusha kwa sababu mi nimuathithika wa Virus vya Ukimwi na yeye anajua. Hatimae siku moja nikafanya...
  13. D

    Mchumba wangu hataki hata kumgusa

    Habari za mchana wana Jf, Iko hivi..nimekuwa kwenye mahusiano na mdada flani hivi huu mwaka wa pili sasa ila sasa pale napotaka kumkumbatia ananiwekea kizuizi hataki hata nimguse nikimuuliza kwanini anajibu ana mashetani kichwani yanamsumbua Sasa mimi baada ya kuona vituko vyake vinazidi...
  14. Mtu Asiyejulikana

    Kukoroma Dawa yake nini? Nafikiria kumuacha mchumba wangu sababu hii

    Huyu dada ni mzuri na nina enjoy sana kuwa naye. Shida kuu ni moja. ANAKOROMA USIKU. Silali kwa kweli. Mimi mtu akikoroma siwezi pata usingizi hata iweje. Nmeshalala naye zaidi ya mara 20. Usiku anakoroma vibaya sana. Hata nimwamshe nimlaze vipi haipiti dk anakoroma. Sometime naweza msemesha...
  15. KAGAMEE

    Mpenzi wangu kaniuliza swali, nimeshindwa kumjibu

    Tupo wilaya moja ila tunaonana weekend tu kwa sababu ya majukumu ya kazi. Leo wakati tunapiga story kaniuliza, Hivi unavyonipenda hivo na SIJAKUROGA siku NIKIKUROGA itakuwaje? Ukimya ulitawala sikujua nini nijibu, mpaka sasa najiuliza maswali yafuatayo: 1. Huyu kweli anaweza kuniroga? 2. Hili...
  16. JambaziSugu

    Kisa kazi, mchumba wangu amenisaliti

    Poleni na majumukumu. Mimi ni kijana wa miaka 29. Miaka kadhaa yuma nilipata nafasi ya kwenda kusoma nchi fulani. Huko nikakutana na binti mmoja tukaanzisha mahusiano. Binti huyu ni yeye ndiye aliyenitafuta na kuonesha kuvutiwa na mimi. Hakuwa mrembo, ila alionekana ni mwenye imani ya dini...
  17. Zaburi 23

    Mchumba wangu ananipa masharti magumu ninapotaka kufanya naye mapenzi

    Nina mwanamke hapa ninaishi nae ana kitu kimoja, kwenye swala la kunyanduana ana masharti kibao ikiwa tiari nimemtolea mahari. In short kile cha asubuhi mwenzenu sipewi na nikitaka basi ntalazimisha sana, ntakuja kupewa mchana na akila ndo balaa anakwambia subiri chakula kishuke unaweza...
  18. T

    Nilivyomuambukiza mchumba wangu gonjwa la zinaa, funzo kubwa la madhara ya kukosa uaminifu

    Habari wakuu. Nimeonelea niandike kuhusu kisa hiki cha aibu ambacho sijawahi kumsimulia mtu ili wana Jamiiforums wote tuweze kujifunza madhara ya kukosa uaminifu na ku-cheat kwa mke/mume au mpenzi wako. Kutokana na changamoto ya kuwa mbali na mchumba wangu wa muda mrefu sababu ya kuwa mikoa...
  19. Money Penny

    Nimegundua mchumba wangu ni shoga, nifanyaje?

    Jana, nilisheherekea siku ya kuzaliwa ya Baba yangu Mzazi, tukaalika ndugu, jamaa na familia wa karibu kuja kumpongeza Mzee wetu Katika kupika pika kule jikoni Akina mama sie, msichana mmoja akafunguka Kwa machozi mengi tukabakia na mshangao kwasababu NI Bibi harusi mtarajiwa, Bibi Harusi...
Back
Top Bottom