Ndoa inafungwa Disemba 2024 na yeyote atakayekubali kuwa mchumba wangu sasa

supermwamba

Member
Mar 11, 2024
38
32
Uwanja ukowazi.

Karibuni wadada na wamama mliyotayari. Leteni wasifu wenu kwa kuni PM mmoja wenu atachaguliwa.

Sifa zangu:
Umri : 50
Elimu: shahada 1 &2
Kazi: Mfanya biashara
Dini: Mkristo.
Makazi: Dar.

Sifa za mchumba.
Umri: 30 +.
Elimu: kuanzia sekondari.
Kazi: aliyejiajiri au aliyeajiriwa.
Dini: mkristo.
Makazi: Mkoa wowote
Watoto: aliyenao na asiye nao.
Mzima wa viungo vyote.
Maendeleo: Mpenda maendeleo.
Mrefu wastani, asiwe bonge.

Jaribu bahati yako.

Nahitaji mchumba aliyedhamiria kweli kweli .(serious) Karibu uni PM .
 
Mungu akupe hitaji la moyo wako
 
Aisee ila umeshatembea kilometre za kutosha mkuu kwa umri wako binti yangu anakuita babu yan ww sa hv ni km no. A inayoishiaπŸ˜‚
 
Uwanja ukowazi.

Karibuni wadada na wamama mliyotayari. Leteni wasifu wenu kwa kuni PM mmoja wenu atachaguliwa.

Sifa zangu:
Umri : 50
Elimu: shahada 1 &2
Kazi: Mfanya biashara
Dini: Mkristo.
Makazi: Dar.

Sifa za mchumba.
Umri: 30 +.
Elimu: kuanzia sekondari.
Kazi: aliyejiajiri au aliyeajiriwa.
Dini: mkristo.
Makazi: Mkoa wowote
Watoto: aliyenao na asiye nao.
Mzima wa viungo vyote.
Maendeleo: Mpenda maendeleo.
Mrefu wastani, asiwe bonge.

Jaribu bahati yako.

Nahitaji mchumba aliyedhamiria kweli kweli .(serious) Karibu uni PM .
Hii nayo ni Dumpβœ…
 
Hatimae mashangazi wamefikiwa.
 
Single maza m'bichi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Nakueka kwa kundi la mshangazi hivi japo ni underground.....
Vipi kulea kijana si uaweza au..?
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom