kujiamini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    Kukumbatia lugha yako ni hatua ya kwanza ya kujiamini kitamaduni

    Hivi karibuni, rais Xi Jinping wa China alifanya ziara ya ukaguzi katika magofu ya Yinxu mjini Anyang, katikati ya China na kusema โ€œMaandishi ya lugha ya Kichina yameshangaza sana, na kufanya kazi kubwa katika kuunda na kuendeleza taifa la China." Yakiwa magofu ya kwanza ya mji mkuu katika...
  2. youngsharo

    Kitakachoibeba Yanga tarehe 16 OKtoba ni uzoefu na kujiamini

    ๐˜ฝ๐˜ผ๐™๐™๐˜ผ ๐™”๐˜ผ ๐™’๐˜ผ๐™•๐™„ ๐™†๐™’๐˜ผ ๐™๐™Š๐™‰๐™‚๐™Š๐™•๐™„ ๐™’๐˜ผ ๐™๐™„๐™ˆ๐™ ๐™”๐˜ผ ๐™”๐™Š๐™๐™‰๐™‚ ๐˜ผ๐™๐™๐™„๐˜พ๐˜ผ๐™‰๐™Ž (๐˜๐€๐๐†๐€) 13/10/2022 Habari ndugu viongozi wa timu yangu pendwa ๐™™๐™–๐™ง ๐™š๐™จ ๐™จ๐™–๐™ก๐™–๐™–๐™ข ๐™”๐™ค๐™ช๐™ฃ๐™œ ๐˜ผ๐™›๐™ง๐™ž๐™˜๐™–๐—ป๐™จ, au kama mnavojiita kiswahili ๐—ฌ๐—ฎ๐—ป๐—ด๐—ฎ, au mnavotambulika ๐—ง๐—ถ๐—บ๐˜‚ ๐˜†๐—ฎ ๐˜„๐—ฎ๐—ป๐—ฎ๐—ป๐—ฐ๐—ต๐—ถ. Kwanza kabisa nitoe kongole kwenu viongozi na wote mlioiwezesha Yanga kufikia...
  3. Webabu

    Rais wa Ukraine aidharau Urusi kupita kiasi

    Baada ya kuona majeshi yake yamefanikiwa kuwarudisha wanajeshi wa Urusi kwenye baadhi ya maeneo yaliyotekwa, sasa Rais wa Ukraine, Zelensky ameanza kuidharau Urusi pakubwa na kutoa utabiri wa kushinda moja kwa moja kama kwamba anapigana na mtoto mdogo. Kwenye hotuba yake hapo jana alisema kwa...
  4. Robert Heriel Mtibeli

    Maisha ni kujiamini, utawezaje kujiamini?

    Anaandika, Robert Heriel Kujiamini hakuji hivihivi, upo mchakato na vigezo maalumu ambavyo mtu sharti atimize ili aweze kujiamini. Kuna kujiamini na kuvurugwa na maisha, wengine wanashindwa kutofautisha hayo mambo. Ili ujiamini itakupasa uwe na mambo haya; 1. Akili, maarifa, Ujuzi, ufahamu...
  5. M

    Kumbe kauli Mbiu ya 'Come Sunshine Come Rain' na Kujiamini Kuvuka imekuja baada ya Tajiri Komhonga Kocha Mkongo?

    Tajiri kamtumia Kocha wa zamani Mkongo anayehudumu sasa ndani ya Klabu pamoja na Wachezaji wetu wa Kikongo ndani ya Klabu ili Kumalizana na Mkongo Mwenzao aliye kwa Waarabu awape Mbinu zao na pia awapangie Kikosi dhaifu ili tuweze kufuzu Makundi na tuwaridhishe Wanachama, Wapenzi na Mashabiki...
  6. M

    Niliposema kwa kujiamini kabisa kuwa ndani ya Simba SC kuna matatizo makubwa nilikuwa namaanisha

    CEO Barbara alituletea Kocha Pablo akituaminisha ni Kocha bora hakukaa akamtimua. CEO Barbara akatuletea Kocha Zoran na kusema ni Kocha bora hakukaa juzi wamemtimua Kidiplomasia. CEO Barbara Msimu mpya wa Ligi ulipoanza akaja na Slogan kuwa Simba SC haishikiki na haizuiliki na kwamba itabeba...
  7. Mimmi Adams

    SoC02 Kuchochea hali ya kujiamini pamoja na elimu inayotolewa kwa vijana wa Kiafrika kama msingi wa kujenga ustawi wa taifa la kesho

    Kama ilivyo kwa sehemu kubwa duniani, Afrika pia ni sehemu ambayo inajengwa na nguvu kazi ya vijana kwa asilimia kubwa na kama inavyojulikana kwamba vijana ni watu wenye nguvu, akili na uwezo wa kutenda mambo mengi kwa sababu bado wapo imara. Lakini ni ukweli pia kwa miaka mingi sasa nchi nyingi...
  8. Mkemia Fred James

    Unawezaje kujiamini ikiwa una aibu iliyo pitiliza?

    Watu wengi mara nyingi huuliza swali jinsi ya kushinda kutojiamini. Ikiwa unaweza kujiambia moja ya maneno haya: aibu, kutengwa, aibu, kujiamini, na zaidi ya hayo, unafikiria kila wakati juu ya kile watu watafikiria juu yako na mara nyingi una wasiwasi juu ya kuwa karibu na watu, basi utambuzi...
  9. sepema

    Ni kujiamini au ni uchawi? Wauaji walizurura na maiti kwenye gari hadi walipoamua kuitupa porini

    Heshima yenu wakuu. Miaka mingi nyuma mtu wangu wakaribu alinieleza kitu ambacho kiliniacha mdomo wazi. Ni hivi, yeye nawenzake walitoka safari flani ambayo ilibidi wapande gari. Wakati wapo barabarani wakajaribu kusimamisha pickup flani ambayo ilikubali kuwachukua kwani walikua wanelekea...
  10. M

    Tafadhali yule JamiiForums Member maarufu aliyesema mapema kwa Kujiamini kuwa Simba SC anatolewa leo na akatukanwa sana aombwe Radhi upesi

    ID yake nimeisahau ila nikiikumbuka nitaitaja hapa au wale wanaoijua wataitaja muda si mrefu kwani ni Maarufu mno. Nakumbuka alianza kwa kusema ( tena kwa Kujiamini kabisa ) kama ilivyo kawaida yake kuwa Yanga SC ndiyo watakuwa Mabingwa wa NBC Premier League huku akitoa sababu zake za Kiufundi...
  11. nover

    Naomba ushauri wa namna ya kutatua tatizo la kushindwa kujiamini

    Habari wana JF, mimi ni kijana umri miaka 30. nina familia mtoto mmoja na nimeajiriwa kazi nzuri tu. Kwa haraka haraka naweza kusema maisha yangu ni mazuri kwa hilo nashukuru Mungu. Kilichonifanya kuandika uzi huu ni tatizo langu ambalo nimekua nalo muda mrefu naweza kusema toka nimezaliwa...
  12. U

    Ni kweli mwanaume ukiwa huna pesa unakosa kujiamini?

    Kaka yangu Mzabzab unalionaje hili? Mshana je? Hivi unaweza kuongeza confidence kwa ke kwa kutumia ndumba? Aisee kuna kiasi naamini, mtoto wa kiume usipokuwa na hela unapoteza kujiamini kabisa, hata kutongoza pisi kali unakuwa unaogopa kabisa. Aisee tutafute hela ili tuwe na ma confidence!
  13. lorahshop

    Kujiamini katika biashara ndio nguzo kuu

    Mimi nauza vitu mbalimbli ziko specific nilianza kuagiza agents wakibongo wanaoishi china now naagiza mwenyewe, nauza socks sana tu pea tano(20000) mara nyingi nauzia insta ila nikapenda kutangaza na huku pia!! Nilichogundua watu wanakatisha tamaa sana iko hivi wewe unavaa socks za 1000 ni wewe...
  14. Altae04

    Maendeleo ya teknolojia kwa kizazi kipya ulimwenguni kote

    Teknologia ni moja ya mandeleo makubwa yalioweza kuinua mataifa mengi kiuchumi kwa kuanzisha miradi mbali mbali inayoweza kuimarisha hali ya nchi kwa mfano teknologia imetumika kuvumbua kama ndege na meli ambazo zimesaidia sana kuinua uchumi wa nchi moja hadi nyengine, watu husafirisha bidhaa...
  15. DustBin

    SoC01 Hakuna Mwanafunzi asiye na uwezo wa kitaaluma ni mipango tu na kujiamini

    Kama mwanafunzi hana utindio wa ubongo huyo anafundishika na akafanya vizuri kabisa katika masomo yake. Wanafunzi wamegawanyika katika makundi makuu matatu;- Ni wanafunzi ambao wana uwezo mkubwa wa uelewa na kutafakari; hawa wakifundishwa kidogo tu inawatosha. Na wengine wapo wenye uwezo wa...
  16. J

    SoC01 Saikolojia ya kujiamini na faida zake kwa binadamu

    Kila mwanadamu ana nafsi (self) ya kipekee ambayo inahitaji mazingira chanya na msukumo wa ndani (internal will) ili kukuwa. Wengi wetu hatuthamini msukumo wa ndani kwenye ukuaji wa nafsi zetu bali tunathamini sana mazingira yetu kama kichocheo namba moja cha ukuwaji wa nafsi zetu. Kwa mtizamo...
  17. DeepPond

    Wanawake: Mambo yanayopelekea mwanaume apoteze kujiamini, na kuamua kuvunja mahusiano

    Kwenye mahusiano,Kuna wanawake wengi ambao wanaumia kwakua wanaume wao wamepoteza kujiamini. Mwanaume anapopoteza kujiamini mara nyingi anakua na Gubu, anakasirika vitu vidogo vidogo, anakua na wivu sana kwani hujiona kama vile hatoshi hivyo kuogopa kusalitiwa au kuachwa. Hii humuumiza mwanaume...
Back
Top Bottom