john magufuli

  1. nyboma

    Huwenda hizi ndizo zama za mwisho kwa CCM kuiongoza Tanzania, nikitafakari kifo cha Rais John Magufuli na hili la Machinga nafsi yangu inaniambia kitu

    Kwa mambo hayo mawili naiona Tanzania mpya ikija kwa kasi ya ajabu, na tuelewe ya kwamba watu wa chini kama hawa machinga ndio wamekuwa chachu ya kuleta mabadiliko katika nchi za wengine. Tujaribu kukumbuka kilichotokea tunisia december 17/12/2020 baada ya machinga anayeitwa “Mohamed Bouazizi”...
  2. OKW BOBAN SUNZU

    Jinsi Serikali ya Hayati Magufuli ilivyoichezea Katiba ya Nchi, inatia uchungu

    Tukiwa katika kupigania katiba mpya nimejikuta natafakari jinsi serikali ya Magufuli ilivyoichezea katiba ya nchi. Hii ni sababu tosha tunahitaji katiba mpya ya kuweza kuchukua hatua kali dhidi ya mhujumu wa katiba. Katiba iliyopo imeweka kinga kwa Rais. Kwa nini ajiwekee kinga kama anafanya...
  3. BAK

    Big shame to those who made Magufuli believe he was immortal

    Whatever the sangomas in our midst would have us believe, I think that there was a lot of infection around John Magufuli’s work environment, in which wearing a face mask was not tolerated and crowding was a way of life. PHOTO | FILE | NMG By JENERALI ULIMWENGU THURSDAY JUNE 03 2021 The...
  4. Mung Chris

    Kinachokwamisha posho za askari zisilipwe kwa wakati ni nini?

    Kikwete enzi zake aliingia mkataba na mabenki ili walipe mishahara na posho kwa tarehe waliyopewa ili Serikali ikichelewa kukusanya mapato mabenki yanasaidia kutoa mishahara na posho, posho zilikuwa zinalipwa tarehe 15 ya kila mwezi. Mwendazake alipokuja akasema kuna wizi na gharama, akasema...
  5. Kiraka Kikuu

    Observation: Nyerere, Mkapa na Magufuli (RIP) wana mfanano wa ajabu

    Nime observe striking similarities baina ya Marais walio tangulia mbele za haki kwa Tanzania: 1. Wote ni Marais walio toka upande mmoja wa muungano, Tanzania Bara. 2. Wote walikua wasomi zaidi Kuliko walio baki. 3. Wote walikua dini moja, wakristo. 4.Wawili Kati yao walirekebisha uchumi kwa...
  6. Infantry Soldier

    Ubalozi wa Tanzania nchini Kenya usifumbie macho udhalilishaji huu dhidi ya viongozi waandamizi wa nchi yetu.

    Habari zenu ndugu zangu wa jamiiforums. Kitendo cha kusema Rais wa nchi amelala na mwanamke nje ya ndoa yake pasipo kuwa na "concrete evidence" hayo ni matusi mazito sana kwa yeye mwenyewe, familia yake pamoja na taifa kubwa la Tanzania. Hii ni nini kama sio "Cyberbullying"? Nimesikitishwa...
  7. Leslie Mbena

    MAGUFULISM: Falsafa ya Magufuli kwenye Siasa, Uchumi N.k

    MAGUFULISM Hii ni aina mpya ya Falsafa iliyoanzishwa katika Karne ya 21 haswa mwaka 2021 kutokana na falsafa za aliyekuwa rais wa awamu ya tano wa Tanzania Dr. John Pombe Joseph Magufuli aliyeishi kati ya 1959-2021. Katika Falsafa ya Magufulism tutaangazia mitizamo ya mwanafalsafa huyu katika...
  8. Leslie Mbena

    Hayati Magufuli tayari ameandika hadithi yake, si jambo rahisi kuifuta

    HAYATI RAIS JOHN MAGUFULI TAYARI AMEANDIKA HADITHI YAKE,SI JAMBO RAHISI KUIFUTA. Leo 11:45hrs 11/04/2021 Mzee wetu Mzee Ally Hassan Mwinyi,alisema "Maisha ni hadithi tu"ewe mwanadamu kuwa hadithi nzuri,Hayati John Pombe Magufuli yeye tayari ameshaandika hadithi yake si jambo rahisi kuifuta...
  9. Ng'wamapalala

    Je, Rais Magufuli alikuwa na Pacemaker au Defibrillator? Ilidukuliwa?

    Nimejiuliza na kufikiria sana sana kuhusu kifo cha Rais Magufuli kilichosababishwa na mfumo wa umeme wa moyo uliokuwa unaratibiwa na pacemaker/defibrillator. Kujiuliza na kufikilia kwangu kumetokana onyo la Wizara ya Mambo ya Ndani ya Marekani (Department of Homeland Security-DHS) lililotolewa...
  10. Leslie Mbena

    Malawi President Lazarus Chakwera's speech at the state funeral for President John Magufuli

    Here's the speech by President Lazarus Chakwera at the state funeral for John Magufuli. 166 days ago, President John Pombe Magufuli and I had dinner together at the State Residence in Dar es Salaam, but I did not know that it would be our last supper. The following day, he saw me off the apron...
  11. tikatika

    Nukuu toka kwa Rais Magufuli (QUOTES)

    Katika dunia ya sasa hakuna kitu kinaweza kupotea ili mradi kimewahi kutamkwa mbele ya jamii. Lakn pia tunaweza kupoteza vitu admu pale tu tutakaposhindwa kuweka kumbukumbu kwa vizazi vijavyo na vya sasa. Kwa kipindi kirefu tumekua na nukuu za Baba wa Taifa mwalimu nyerere. Ni wakati mwafaka...
  12. Roving Journalist

    Salamu za rambirambi kutoka kwa viongozi, ofisi na watu mashuhuri Kufuatia kifo cha Rais Magufuli

    WAZIRI MKUU WA UINGEREZA Boris Johnson ameandika kupitia ukurasa wake wa mtandao wa Twitter kusikitishwa na taarifa za kifo cha Dkt. John Magufuli RAIS WA BENKI YA MAENDELEO YA AFRIKA Dkt. Akinwumi "Akin" Adesina ametuma salamu za rambirambi kufuatia kifo cha Rais Magufuli kupitia ukurasa...
  13. Kurzweil

    Wanafunzi wa UDSM waliwahi kuchangia matibabu ya Dkt. John Magufuli

    Aliyekuwa Kaimu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Prof. P Mlama aliwahi kuchangisha fedha za matibabu ya Dkt. John Pombe Magufuli. Prof. Mlama alieleza kuwa Mwanafunzi wa Shahada ya Uzamili katika Sayansi, John Magufuli anasumbuliwa na Ugonjwa wa 'Hypertropic Cardiomyopathy'...
  14. V

    Kanisa la Baptist IFB: Heko Rais John Magufuli kwa msimamo wako juu ya corona na chanjo zake

    TAMKO LA KANISA KUUNGA MKONO MSIMAMO WA RAIS JOHN POMBE MAGUFULI KATIKA SUALA LA UGONJWA WA COVID-19 NA CHANJO ZAKE 1. UTANGULIZI: Tamko hii halina malengo ya kisiasa kwa maana sio jukumu la kanisa kuhubiri siasa (1 Kor. 5:12; 2 Tim. 4:2). Hii ni taarifa fupi ambayo haitaweza kugusia kwa...
  15. Replica

    Rais Magufuli: Sitegemei kutangaza hata siku moja kwamba tunajifungia ndani (Covid19), tutaendelea kuchukua tahadhari zingine za kiafya. Akemea Chanjo

    Kwa sasa kinachoendelea ni utambulisho wa viongozi ikiwemo wizara na idara za serikali. Waliokuwepo kwa uchache ni Dkt. Damass Ndumbaro, Medadi Kalemani ambae ni mbunge mwenyeji na waziri wa nishati, Dotto Biteko ambae ni waziri wa madini, Elias Kwandikwa waziri wa Ulinzi na Jeshi la kujenga...
  16. D

    Kumbukumbu (Legacy) ya Dkt. John Pombe Magufuli

    Kila awamu huacha kumbukumbu zake muhimu wengine hutumia neno "Legacy". Kwangu mimi ninaamini wananchi na Taifa litamkumbuka Rais Dr JPM kwa mambo yafuatayo baada ya muda wake kuisha: 1. Nidhamu maofisini haijawahi kutokea maadili na nidhamu kurejeshwa hivi hata kama bado kuna changamoto ya...
  17. Kabende Msakila

    Dkt. John Magufuli, nami namwombea radhi Mkurugenzi wa Geita - mengi mazuri ameyafanya

    Mhe Dkt. John Joseph Pombe Magufuli, mtoto wako kaunyea mkono "msamehe". Mkurugenzi kafanya mengi Kajenga Zahanati, Kadhibiti mianya ya rushwa, Kajenga shule za msingi Kaongeza mapato ya halmashauri, Kadhibiti nidhamu kwa watumishi wake, Kadhibiti makazi holela, Na mengine mengi mazuri jamani...
  18. Leslie Mbena

    Baraza jipya la Mawaziri: Geofrey Mwambe na Dkt. Philip Mpango turufu mpya za ukuaji wa uchumi katika awamu hii ya mwisho ya Rais John Magufuli

    BARAZA JIPYA LA MAWAZIRI:MH GEOFREY MWAMBE NA DKT PHILIP MPANGO TURUFU MPYA ZA UKUAJI WA UCHUMI KATIKA AWAMU HII YA MWISHO YA RAIS JOHN MAGUFULI. Leo 13:25hrs 06/12/2020 TIC ndio mzizi uliosimikwa chini kwa Maendeleo ya Taifa la Tanzania,TIC ina wajibu wa kuifanya Tanzania kuwa sehemu bora kwa...
  19. M

    Ushauri wa bure kwa TAMISEMI na Serikali kwa ujumla

    Baada ya Mchakato wa Ajira kukamilika na Majina kutoka Sasa kumekuwa na lawama nyingi Sana kwenda Kwa Tamisemi. Mimi nilikuwa na Ushauri Kama ufuatao.... 1. Kuna ulazima Gani wa watu kwenda Kuripoti ilhali lawama zimekuwa nyingi na Watu wamekosa Imani kabisa na Serikali yetu ya CCM Kupitia...
  20. Magazetini

    Uchaguzi 2020 Hafla ya kuapishwa Dkt. John Magufuli kuendelea na Awamu ya Pili ya Urais wa JMT uwanja wa Jamhuri, Dodoma 05 Oct 2020

    Leo November 5, 2020 anaapishwa Dkt. John Magufuli kumalizia Muhula wake wa mwisho kama Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania baada ya kutangazwa mshindi wa uchaguzi uliofanyika October 28 mwaka huu. Wageni kadhaa wameshafika akiwemo Rais wa Uganda, Yoweri Museveni. Kuwa nami kukujuza...
Back
Top Bottom