daktari

Daktari (Swahili for "doctor") is an American family drama series that aired on CBS between 1966 and 1969. The series is an Ivan Tors Films Production in association with MGM Television starring Marshall Thompson as Dr. Marsh Tracy, a veterinarian at the fictional Wameru Study Centre for Animal Behaviour in East Africa.

View More On Wikipedia.org
  1. Infantry Soldier

    Unaweza kufanya kazi ya kuihudumia jamii (Mwalimu, Polisi, Daktari) ndani ya eneo/kijiji ulichozaliwa?

    Habari za muda huu jamiiforums. Unawezaje kufanya kazi ya kuihudumia jamii (Mwalimu, Polisi, Daktari) ndani ya eneo/kijiji ulichozaliwa pasipo kupata lawama za ndugu, jamaa na marafiki? Jenga picha umemaliza chuo kikuu mwaka 2008 na kisha kuajiriwa mwaka 2009 na ilipofika mwaka 2020 umepanda...
  2. J

    Prof Mchembe: Wanaoruhusiwa kutoa taarifa za Afya ni Waganga wa Mikoa na Wilaya siyo Wanasiasa

    Katibu mkuu wa wizara ya afya Prof Mchembe amesema kuanzia sasa wasemaji wa maswala ya afya ni RMO kwa level ya mkoa na DMO kwa level ya wilaya. Prof Mchembe amesema waganga wa mikoa na wilaya wana timu za wataalamu na amewataka wanasiasa kutojiingiza kwenye maswala nyeti ya afya. Kadhalika...
  3. S

    Namshauri daktari aliyesimamishwa kazi na Waziri wa Afya huko Chunya, Mbeya, aingie sekta binafsi

    Nadhani kisa cha huyu doctor aliyesimamishwa kazi na Waziri Gwajima kwa sakata la ugonjwa ulioibuka huko Chunya, Mbeya kitampa jibu zuri sana kwa nini madaktari na wafanyakazi wengine wengi wanaamua kukimbia ajira za serikalini na kuingia private sector. Ukweli ni kwamba katika awamu ya uongozi...
  4. Mlenge

    Kada muhimu kuliko zote

    Mfalme mmoja alitaka kujua ni kada gani muhimu kuliko zote? 1. Maaskari wakamwambia ni sisi: Tunaulinda ufalme wako; bila sisi maadui wangekuja kutuvuruga hapa. 2. Walimu wakamwambia ni sisi: Bila sisi hakuna kada yoyote nyingine. 3. Madaktari wakamwambia ni sisi: Bila sisi hakuna mtu mwenye...
  5. The Sheriff

    Prof. Soccorsi, Daktari Binafsi wa Papa afariki dunia kwa Covid-19

    Baba Mtakatifu Francisko tarehe 26 Januari 2021 amehudhuria Ibada ya Misa Takatifu kwa ajili ya kumwombea Prof. Fabrizio Soccorsi aliyekuwa daktari wake binafsi kuanzia mwaka 2015-2021. Na Padre Richard A. Mjigwa, C.PP.S. – Vatican. Baba Mtakatifu Francisko tarehe 26 Januari 2021 ameshiriki...
  6. Miss Zomboko

    Hospitali ya Amana: Daktari abainika kutumia Vifaa Tiba vya Serikali kutibu Wagonjwa na kujilipa binafsi

    Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Dorothy Gwajima ameagiza Daktari aliyejimilikisha hospitali ya Amana kwa lengo la kujitajirisha achukuliwe hatua kali Daktari huyo mwenye jina kapuni amebainika kutumia Vifaa vya Hospitali hiyo ambavyo vinamilikiwa na Serikali ili...
  7. Analogia Malenga

    James Hamblin, daktari ambaye haoni sababu ya watu kuoga mara kwa mara

    Hamblin alifanya utafiri juu ya utakasaji wa mwili ambao hivi karibuni ulichapishwa katika kitabu. Hamblin alifanya utafiri juu ya utakasaji wa ngozi ambao hivi karibuni ulichapishwa katika kitabu. Daktari bingwa wa tiba ya uzuwiaji wa magonjwa James Hamblin alifanya utafiti kuhusu...
  8. Leslie Mbena

    Kwa sasa Tanzania baada ya John Magufuli, basi ni Profesa Palamagamba Kabudi

    PROFESA PALAMAGAMBA KABUDI, ANAKAA KWENYE MZANI MMOJA NA DAKTARI NAMDI AZIKIWE, KWAME NKRUMAH, JULIUS NYERERE, W.E.B.DUBOIS, GEORGE PADMORE, MARCUS GARVEY, PATRICE LUMUMBA NA JOHN MAGUFULI. Leo 14:35hrs 22/11/2020 Awa ni Viongozi Mashuhuri waliobeba wazo turufu la Pan Africanism mioyoni...
  9. Miss Zomboko

    Wamiliki wa Maduka ya Dawa wamekumbushwa kuacha kuuza dawa kwa Wananchi pasipo kuona cheti cha Daktari

    SERIKALI imewakumbusha wamiliki wa maduka ya dawa za binadamu kuacha kutoa dawa kwa mgonjwa ambaye ana cheti cha daktari/tabibu kwani kufanya hivyo ni kukiuka sheria zilizowekwa. Pia imewaomba wananchi kuhakikisha watumia dawa kwa uangalifu na umakini zaidi ili kuweza kuepuka usugu wa vimelea...
  10. safuher

    Serikali msijisahau katika hili la daktari kumtibia mtu wa jinsia tofauti na yeye

    Wakuu naomba niipongeze serikali kwa jitihada zake inazofanya katika kuhakikisha ile heshima ya jinsia zote inalindwa. Tukiangalia katika majeshi hasa jeshi la polisi utakuta kuna askari wa kike ambao kama itatokea muhalifu ni mwanamke basi askari yule hakuajiriwa kwa bahati mbaya bali hiyo...
  11. B

    Kama Daktari wa Binadamu anaumizwa na kifo cha mgonjwa. Je, ni maumivu gani aliyonayo mtekaji na muuaji?

    Mdogo wangu ni retired Dr. Juzi alikuwa anaangalia kumbukumbu ya kifo kwenye tv. Moja ya tangazo aliloliona ni tangazo la mgonjwa aliyefariki miaka 12 baada ya kumfanyia upasuaji, alishtuka na kuumia sana. Mdogo wangu aliumia si kwa sababu nyingine bali anaeleza kuwa wao madaktari ni walinzi wa...
  12. kyagata

    Nimemtafuna Daktari aliyenitibu gono

    Wakuu kwema? Aisee katika pita pita zangu, si nikakumbana na gono bana. Sasa nikajitibu kimya kimya mpaka nikapona, yule daktari aliyenitibu nimejikuta niko deep in love with her. Leo nimemtafuna tayari. Asanteni
  13. Chachu Ombara

    TANZIA Daktari Bingwa wa Mifupa MOI na Mwenyekiti wa Kamati ya Tiba TFF, Dkt. Paul Gasper Marealle afariki dunia

    Tanzia, Mkurugenzi Mtendaji wa MOI Dkt Respicious Boniface anasikitika kutangaza kifo cha Mtumishi wa MOI Dkt Paul Gasper Marealle (Daktari bingwa wa Mifupa) kilichotokea usiku wa kumakia tarehe 14/10/2020 katika Taasisi ya MOI. Apumzike kwa Amani Kwa masikitiko makubwa napenda kuwajulisha...
  14. Uzalendo wa Kitanzania

    Mfahamu Kwa Ufupi Daktari Bingwa Wetu Wa Leo Kutoka Taasisi ya MOI

    Tutakuwa tunawaletea kwa ufupi taarifa za Madaktari bingwa wa Taasisi mbalimbali nchiniza Tiba tukianza na MOI
  15. Miss Zomboko

    Daktari: Wapeleka watoto wanaokoroma hospitali kupata matibabu kwani kukoroma ni ugonjwa kama magonjwa mengine

    DAKTARI bingwa wa magonjwa ya pua, koo na mdomo kutoka Hospitali ya Taifa ya Muhimbili-Mloganzila, Perfect Godfrey, ameishauri jamii kuwapeleka watoto wanaokoroma hospitali kupata matibabu kwani kukoroma ni ugonjwa kama magonjwa mengine. Dk. Godfrey alisema zipo jamii zinazoamini kuwa kukoroma...
  16. denooJ

    Dodoma: Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe avamiwa, apigwa na kujeruhiwa na watu wasiojulikana

    Salaam, Taarifa nilizozipata hivi punde toka chanzo changu kinanihabarisha kuwa Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Freeman A. Mbowe amevamiwa na kikundi cha watu wasiojulikana akielekea nyumbani kwake usiku huu na kupigwa na wamemuumiza. Tukio hili limetokea majira ya...
  17. Danp36

    Naomba msaada wa kitabibu na kunijuza mtaalamu anaeshugulika na magonjwa ya akili 'Best Psychiatrist'

    Habari Zenu wandugu! Nina kijana wangu ni rafiki yangu sana! Amekumbwa na dalili zifuatazo. 1. Anaumwa na kichwa sana. 2. Anapoteza kumbukumbu. 3. Highly attract negative thoughts. 4. Anasikia ngumu kufanya maamuzi madogo tu. 5. Anashindwa kuongea kwa kunyoosha sentensi. 6. Anakosa...
  18. J

    Inakuwaje CCM yenye wabunge zaidi ya 250 inashindwa kujitosheleza kwa sifa za uwaziri hadi hadi wanateuliwa wapinzani na akina Mwigullu kurudi tena?

    Kwa idadi ya wabunge wa CCM ambao ni zaidi ya 259 inashangaza kwanini wanashindwa kujaza nafasi zisizozidi 50 kwenye baraza la mawaziri. Imefika wakati Rais Magufuli amelazimika kumteua Mwita Waitara aliyekuwa Chadema kabla ya kuhamia CCM na pia kuwarejesha barazani mh Simbachawene na Mwigullu...
  19. K

    Nitampata wapi Daktari na hospitali nzuri ya macho mzuri?

    Habari wakuu, Ninasumbuliwa na macho, ni hospital gani ya private naweza pata daktari mzuri wa macho siku ya leo? Msaada wenu kwa anayefahamu tafadhali.
  20. Pascal Mayalla

    Daktari wa Kanumba ni Imposter?

    Wana body, Naomba kutoa duku duku langu kuhusu huyu jamaa anayejiita Daktari wa Kanumba kama ni daktari kweli au he is just an imposter anaye pose kama daktari na luckly Kanumba akamuaminia na kumfanya ni daktari wake! Japo bado sijafanya search yoyote kuestablish authenticity ya udakitari...
Back
Top Bottom