bubu

  1. The Transporter

    Azam TV (Sinema zetu) itoeni hii tamthilia ya Nazi Bubu

    Niende kwenye moja kwa moj kwenye mada binafsi sio mpenzi sana wa kuangalia tamthilia kutokana na kuchelewa kurudi kutoka kwenye majukumu. Ila kutokana na hiki kipindi cha sikukuu toka pasaka mpk sasa tunasubiria Idd nimepata muda wa kukaa kidogo kwenye tv na familia aisee tamthilia ni moja ya...
  2. A

    DOKEZO DC Mbinga avunje Hostel Bubu kwenye Shule za Sekondari Mbinga DC na Mbinga TC

    Baadhi ya shule za sekondari wilaya Mbinga zimeanzisha hostel bubu ambazo hazifai kwa matumizi ya wanafunzi hususan wa kike hasa madarasa ya mitihani na hata zile shule zenye hostel za wasichana hazina hadhi ya kuwa hostel. Baadhi ya shule kama vile Kikolo, Mkwaya,Dr.Shein,Mkoha,Matiri...
  3. Roving Journalist

    Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba yabaini Kiwanda Bubu Arusha kinachotengeneza Dawa Bandia za mifugo

    Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) Kanda ya Kaskazini kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha iliendesha operesheni maalum ya kuwasaka watu wanaojihusisha na uzalishaji wa dawa bandia ambapo mamlaka hiyo imefanikiwa kubaini kiwanda bubu ambacho kinatengeneza dawa bandia za mifugo...
  4. GENTAMYCINE

    75% ya Madereva wanaopaki Gari zao kusubiria kubeba Wanafunzi Shule ya FEZA Kawe, huyageuza 'Gesti Bubu' Tanganyika Packers Grounds

    Niwaombe tu Wamiliki wa hizo Gari kisirisiri Kuzifunga Camera ili wawe Wanajionea Video X za bure pale wakitaka kutoka kwa Madereva Wao waliowakabidhi hizo Gari ili wabebe Watoto wenu. Madereva ambao GENTAMYCINE nawazungumzia hapa ni wale ambao Asubuhi hubeba Wanafunzi kutoka Majumbani kwa...
  5. GENTAMYCINE

    Kwanini 95% ya 'Mabrazameni' wa Dar Magari yao wanayaosha Kienyeji Vichochoroni na huyapeleka Gereji Bubu yakiharibika?

    Katika huu Uzi wangu Kazi yangu Kubwa hapa ni Kusoma tu Comments zenu tukuka juu ya Hoja Kuu niliyoianzisha
  6. T

    Tundu Lissu awa bubu, ashindwa kueleza msimamo wake

    Inasikitisha na kutia aibu sana! Msimamo wa Tundu Lissu na Chadema ni kutowatambua wabunge 19 wa kuteuliwa kutoka ndani ya chama hicho. Msimamo huo huo pia, ni kutokumtambua mbunge halali wa chama hicho Aidan Joseph Kenan tokea tu walipoapishwa, na chama chao kiliapa kutochukua kabisa ruzuku...
  7. mdukuzi

    Nilivyochomwa kisu tumboni na binti bubu baada ya kumtekenya hadharani

    Mtaani kuna mama alikuwa na mgahawa wake, hapo mgahawani kulikuwa na mabinti watatu. Mmoja kati ya hao mabinti alikuwa bubu na nilikuwa nampelekea moto kiaina, hakuna mtu mtaani alijua uhusiano wetu maana ulijengwa kwa usiri. Raha ya kudate na bubu ni kwamba siri hazitoki nje maana hawawezi...
  8. M

    DOKEZO Hiki ni Kituo Bubu cha Polisi?

    Ukiwa unatokea Masaki, kwenye makutano ya barabara za Haile Selassie na Ali Hassan Mwinyi, jirani na Kanisa la Mt. Petro, Oysterbay, Dar es Salaam, pana taa za kuongozea magari. Kwa pembeni, pana kibanda ambacho hutumiwa na askari wa usalama barabarani kujikinga na jua. Sasa, kwa muda mrefu...
  9. Pascal Mayalla

    Alichokifanya Gerson Msigwa, New York alipaswa akifanye Siku Zote Ikulu. Zuhura Yunus Asiwe Bubu!

    Wanabodi, leo nilikuwa naangalia TBC Ardhio. Nikashuhudia Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa akirudia kazi yake ya zamani ya utangazaji wa TV Reporting akiripotia TBC live mubashara moja kwa moja kutokea jijini New York, nchini Marekani kutuarifu maandalizi ya uzinduzi wa Filamu ya Royal...
  10. M

    Serikali ifanye operesheni ya mashine bubu za kamari mitaani, Wachina wanahujumu uchumi

    Jana nilipita maeneo ya Kigamboni, nikaingia uchochoroni sehemu moja karibu na msikiti wa Feri upande wa Kigamboni nikaona mashine moja ya Kamari uchochoroni kabisa, katika kibanda kisicho na hadhi hata kidogo, kimefichwa ndanindani. Mchina mmoja akaifungua, akatoa machenji kibao ya shilingi...
  11. B

    Kiwanda bubu cha Mawese ni sawa, ila viwanda bubu vya pombe ni haramu

    Nimeshangaa sana chapuo wanazopigiwa Mh. Bashe na Zito. Juzi tu hapa kaskazini kule jamaa ana kiwanda bubu cha pombe kali (Kabrand ka Konyagi) wamemsweka ndani na kumuanika kwenye media kama haramia hatari kisa pombe. Mbona hamjatoa tamko SIDO wamsaidie nae au tumpe share breweries apeleke...
  12. Elli

    Kukamatwa kwa kiwanda bubu cha mafuta ya mawese mkoani Pwani, nawapongeza Zitto na Bashe kwa hatua walizochukua

    Jana iliibuka story mitandaoni ya Jeshi la Polisi kumkamata Mtanzania Halali akikamua Mafuta bila kuwa na "usajili" yaani vibali, Mafuta ya mawese. Kama kawaida Jeshi letu (ambalo kwa mujibu wa Waziri wake, wengi wao ni failures) hawakumuumiza kichwa Wala kutumia busara, wakaitisha Press na...
  13. M

    'Ndoa' za Wanachuo hosteli 'bubu'

    Kumezuka utaratibu wa Wanachuo kuishi kinyumba katika hosteli 'bubu' hususan Msewe, Changanyikeni, Mabibo, Survey, Mlalakua, Makongo na Kigamboni. Vijana badala ya kusoma wanawaza kudinyana**a.k.a **kuloweka Pamoja na madawa, pombe daily na kuchoropoa vichanga. Hapo usiulize UKIMWI au STD's...
  14. Analogia Malenga

    Tanga: Kiwanda bubu cha silaha chabainishwa

    Msako wa polisi wanasa kiwanda bubu cha silaha KIWANDA cha kutengenezea bunduki za kienyeji aina ya gobore kimegundulika baada ya msako mkali kuendeshwa na Jeshi la Polisi mkoa wa Tanga na kufanikiwa kumkamata mtu mmoja anayehusika na kutengeneza vifaa hivyo pamoja na bastola aina ya Trurus...
  15. Corticopontine

    Arusha: Kiwanda ‘bubu’ kinachozalisha pombe kali chakamatwa

    Jeshi la Polisi mkoani Arusha linamshikilia mwanamke mmoja mkazi wa Sakina ambaye ni msimamizi wa kiwanda bubu kinachozalisha pombe kali na kumkuta akiwa na vitu mbalimbali ikiwemo stika 340 za TRA, chupa 483 za pombe kali, mtambo wa kutengenezea pombe hiyo pamoja na pipa lililojaa pombe kali...
  16. ryan riz

    Mbunge wako anawasilisha matatizo ya jimbo lenu Bungeni? Wa Dodoma ni bubu, miradi ya kuboresha jiji inamsitiri

    Mbunge wa Dodoma jiji Mheshimiwa Anthony Peter Mavunde ni garasa hata sijui bungeni huwa anaenda kufanya nini,bubu si bubu,sijui mkimya sijui ni mpole yaani haeleweki. Bila hii miradi ya kuboresha Makao Makuu sijui hata ingekuwaje? Barababa nyingi bado hazipitiki, sehemu inayohitiji hata...
  17. Kasie

    Uko wapi na hii lock down bubu....!?

    Piiiipooozzzzz.....!!!! Mie niko Calabash Napiga Savanna kama nanawa sanitaizaaaa 😜😜😜😅😅 Cheers everyone but take care, the shit is real 😉. Kasie Matata.
  18. M

    Ni kwanini Mabrazameni (Mabarobaro) wengi wenye Magari yao hupenda sana kuyapeleka Gereji Bubu Kutengenezwa?

    Na hawaishii tu kuyapeleka Gereji Bubu huko Kutengenezwa bali hata wakiwa huko hupenda Kujificha ili wasionekane. Ni kwanini wanakuwa hivi?
  19. Infantry Soldier

    Maisha yamekuwa magumu sana huku uswahilini kwetu. Ninatamani hata kuuza hii Taxi bubu yangu (Chase Avante GX-100) nifungue walau pub ndogo

    Maisha yamekuwa magumu sana huku uswahilini kwetu. Ninatamani hata kuuza hii Taxi bubu yangu (Chaser Avante GX-100) nifungue walau pub ndogo. Sasa ni karibia mwezi wa saba huu tangia nianze biashara hii ya kuendesha Taxi bubu. Nilianza mwezi wa tano (May) mwaka huu wa 2020. Biashara imekuwa...
  20. Chapa Nalo Jr

    Uchaguzi 2020 Mgombea wa CHADEMA bubu, Lissu amtembelee

    Nimeona mitandaoni mgombea Bubu wa CHADEMA anamwaga sera kupitia kwa mtafsiri. Nimevutiwa sana nae. Naombea ashinde. Hivyo naomba Lissu aende kumsaidia.
Back
Top Bottom