Search results

  1. Pleasepast

    Mzazi mwenzangu anadai atabadili cheti cha mtoto cha kuzaliwa atoe jina langu kwa kuwa ananichukia

    Habarini za usiku wapendwa Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza nahitaji msaada wa Mawazo chanya iko hivi kuna mwanamke nilipata naye mtoto lakini kwa bahati mbaya sana tukaja kutengana na sasa kila mtu anaishi kivyake yeye yupo na mtoto. Kuna wakati mzazi mwenzangu anapata hasira za...
  2. Pleasepast

    Vijana wawe makini sana kwenye kuchagua wapenzi wa maisha yao

    Habarini za asubuhi wapendwa Kama kichwa cha habari kinavyoonekana leo napenda kuchukua nafasi hii kuwakumbusha vijana awe wa kike au wakiume kwamba wawe makini sana kwenye kuchagua wapenzi wa maisha yao ili kuepusha majuto kwa badaye Na cha muhimu zaidi hakikisha unatunza izo shaha....w...a...
  3. Pleasepast

    Tabia ya mke kusambaza habari kutoka ndani kwake, je ni sahihi?

    Habari za siku wapendwa. Kwenye maisha watu tunatofautiana sasa wapo watu wengine wana ile tabia ya kusambaza jambo mpaka kwa watu ambao hawahusiki kabisa je.? Ni njia gani itumike kuishi nao au kuwathibiti yani iko hivi tuseme unaishi na mke wako au mume wako lakini ikitokea mmepishana kauli...
  4. Pleasepast

    Mama mkwe kamtorosha Mke wangu, nifanye nini niko njia panda

    Habarini za usiku wapendwa Naomba kwa wenye ufahamu na mambo haya wanijuze nifanye nini kwasababu niko njia panda iko hivi mke wangu tulikosana kidogo akaenda kwao amekaa wiki mbili nimeenda kwa lengo la kuona mtoto lakini cha ajabu walipo pata taarifa kwamba naenda tu Mama mkwe amemtorosha mke...
  5. Pleasepast

    Vijana ambao hamjaoa, kama wewe sio kijana wa Kijita usije kujichanganya ukaoa binti wa Kijita

    Wajita tabia zao unakuta mama kalea watoto wake yeye mwenyewe lakini unakuta mume alipoteza maisha na sio kwamba anapoteza kwa muda sahihi, ila anapotezwa. Yaani wanawake wa kijita wako pamoja na mama zao yaani unakuta mama mmoja ana watoto watano kila mtoto na baba yake na familia zao kitendo...
  6. Pleasepast

    Je, inawezekana mzazi akawasaliana na afisa wa utumishi kazini kwa mtoto wake ili kusaidia ombi la uhamisho

    Habarini za asubuhi wapendwa Naomba kuuliza kwa mwenye uelewa na haya mambo anijuze, hivi inawezekana mzazi kusaidia kuongea na afisa wa utumishi kazini kwa mtoto wake ili mtoto apate uhamisho baada ya mtoto kupitia changamoto kubwa kazini kuhusu mwanamke aliyezaa na ye yani ndugu wa mke wakawa...
  7. Pleasepast

    Msaada wa kuandika wosia

    Habarini za usiku wependwa Naomba msaada kwa anaejua ni utaratibu gani wa kufuata ili mtu aweze kuandika wosia aweze kugawanya mali zake na je.? Inawezekana kumrithisha mtoto wa kuanzia umri gani na uo wosia ukisha andikwa unatuzwa wapi na ikitokea alie andika amefariki walengwa wataupataje...
Back
Top Bottom