Search results

  1. de Gunner

    Stop blaming others for your misfortunes

    In life everything that happens to you is because you allowed it to happen. Yes, some people may betray you and lie but at the end of the day you need to stop wasting your time blaming others, be it parents, neighbours, partners and friends. We need to be accountable for everything that...
  2. de Gunner

    Hasira hasara

    Wakuu nipo dilemma mwenzenu, kuna msichana week jana tu hapa nimekumbana nae mtaani she seemed so hot 🔥, na sikuweza jizuia kuomba namba, tulianza kama urafiki hivi, days went by na bond flani kama tunaendana kila kitu apendacho nami pia. Hana mapepe kama mademu wa siku hizi, she's humble and...
  3. de Gunner

    Life in this generation is B.S

    It saddens me living in this kind of generation. More stress than ever before. People are careless, unemployment is on it's rise. Religion has become a source of war. Education is business. Our culture and traditions are deteriorating. People of the same clan are waging wars against each...
  4. de Gunner

    Je, kuna ukweli kuhusu dunia kwenda kasi?

    Kadri miaka inavyozidi kwenda, pia speed ya muda unaongezeka. Siku hizi unashangaa tu kumekucha hujakaa sawa giza hilo. Je, kuna uwezekano dunia iinazunguka kwa kasi with time, I mean kadri decades na centuries zinavyo ongezeka na earth's rotation or revolution pia inaongezeka? Ma astrologists...
  5. de Gunner

    Tatizo la kuahirisha mambo

    Habari wanaJF, Niende kwenye point, nimekuwa na tatizo la kuahirisha vitu nivipangavyo. Siyo kwamba siwezi ila ukifika muda tu najikuta tu labda nafanya kitu then nasema nikimaliza nitafanya. Nitaendelea hivyo hivyo mwishoni nasema kesho. Kesho inafika narudia nilichofanya leo. Hili ni tatizo...
  6. de Gunner

    Music industry haiwabebi wasanii Wachanga

    Nimejaribu kufatilia kuna uchafu mwingi sana kwenye industry, na zama hizi mpaka msanii aonekane lazma labda adandie record label. Na ukidandia ndo hivyo tena unakua kama wakina rich mavoko, siku mambo yakienda kombo unapotea kwenye game. Talent na uwezo sio kigezo cha msanii kutoka pamoja na...
  7. de Gunner

    Sioni haja ya kwenda chuo

    Ajira ngumu, Kupoteza muda, Kupoteza pesa ambayo kiuhalisia ungepata mtaji wa kuanzisha biashara. Kuingia madeni yasio ya lazima, (mikopo) Elimu haikidhi viwango vya mabadiliko ya kiuchumi na kisayansi. Walio na vyeti mtaani hawahesabiki. High school is a necessity, but collage is a...
  8. de Gunner

    Barua kwa mpenzi wa kwanza

    Since tumeonana I never thought kama ingekua hivi leo, I was young I know and I knew nothing about love! I never believed love existed, I only saw it in TV shows and movies. You are the one that taught me, wewe ndo ulianza kuonesha affection kwangu, I was afraid coz moyo wangu ulikuwa mbichi na...
  9. de Gunner

    Mwanaume tambua thamani yako

    Kama huna kitu, huna thamani na huo ndo ukweli. Hasa kwa sisi wanaume thamani yetu inaambatana na mafanikio tuliyo yapata kwa juhudi na maarifa yetu. Vijana wengi tunapoteza valuable time kudiscuss vitu visivyo na manufaa, toka nje kapige kazi, hakuna kitu kitakuja kwa kukaa siku nzima uki...
  10. de Gunner

    Damu sio nzito kuliko maji

    Habarini wana JF! Katika makuzi kila mmoja wetu amekua akiambiwa waheshimu ndugu zako wa damu, maana damu ni nzito kuliko maji! na hakika huu msemo unamake some sense, mpk mtu utakapo kuwa na kuanza kujitambua. Ukweli usemwe kuna misemo mingine mababu zetu walikunywa gongo mbaya kabisa...
  11. de Gunner

    Mfumo wa nchi umekaa kunyenyekeana

    Trust me kama huna title lazma unyenyekee, bila hivyo watakupiga chini au kukufanyia vizabina mpk wakushushe... Mm naexperience na hili swala, utathaminika sio kwamba unaujuzi au weledi. Utathaminika endapo utakidhi mahitaji na matakwa ya muajiri wako. Watu hawapendi changamoto, hawapendi...
  12. de Gunner

    Hivi ni kweli mawazo huleta uhalisia?

    Kuna msichana mmoja tulisoma wote nursery na primary! Nilikua nime crush kwake ila sikuwahi mwambia niliogopa itakua noma. Skuli za mission na mapenzi ni vitu viwili tofauti. Bahati mbaya wakahamia mkoa mwingine. So fast forward miaka imeenda ila mm nilikua kuna siku nashangaa namuwaza from no...
  13. de Gunner

    Washikilie wanaokujali

    Kuna watu, ambao wapo na wewe wakati wa raha na huwamkaribu nawe kwa manufaa yao, Kuna watu wapo na wewe, wakati wa shida na huja tu endapo utakua katika wakati mgumu, Kuna watu wapo na wewe sababu tu kuna vitu mnafanya pamoja, yaweza kuwa kazini, masomoni, au kwenye shughuli mbalimbali za...
  14. de Gunner

    Breakup ya kwanza ilikuaje?

    Mwaka jana mwishoni niliexperience hio kitu, asikwambie mtu. Acheni mapenzi yawe kitu chenye nguvu kubwa duniani. Mimi nimekua nikiona watu wanalizwa na mapenzi, ila niliwachukulia wanyonge wa hisia na kuwaona wajinga kulilia mtu mwingine. Nilikua nasema huku nikijihisi ushupavu kua kamwe...
  15. de Gunner

    Wazazi mnapaswa kutambua vipaji vya wanenu

    Katika dunia tuishiyo leo, ni bora kuwa vizuri katika jambo fulani(kuwa expert) kuliko kuwa na ma vyeti mengi lkn uko shallow! Yaani unatakiwa kuwa mjuzi katika filed husika. Mfumo wa elimu hauna specifications kwamba wewe una kipaji gani bali ni one fits all. Hivyo basi wazazi wanapaswa...
  16. de Gunner

    Kwanini watu tuna chuki na hatutakiani mema? Je kunasuluhisho?

    Katika safari yangu ya maisha, nimekutana na watu wengi, lakini ukweli sijabahatika kuina mtu mwenye roho nyeupe asilimia 💯 na mimi nikiwemo. Au angalau mtu anayeweza kumaintain ubinafsi wake na maslahi ya watu wengine. Ni kitu ambacho kila nikifikiria huwa nakosa majibu. Wazazi wamekua wema...
  17. de Gunner

    Mapenzi hayafai ikiwa ni mtu moja anajuhudi zaidi ya mwengine

    Hii mada ni complex kidogo. Hivi kama mapenzi ni kati ya watu wawili me na ke, how come kwenye jamii ionekane kama mwanaume ndo kampenda mwanamke? kuna utaratibu kwamba mwanaume ndo anatakiwa achumbie which is true manaume ndo anatakiwa a make first move.... ila hii ni kama vile tunawapa nguvu...
  18. de Gunner

    Mayele kuja Simba, wenye wivu wajinyonge

    Aliyekuwa mchezaji wa Yanga SC, Fiston Mayele ambaye kwa sasa anakipiga na Klabu ya Pyramid ya Misri, leo Aprili 4, 2024 ametembelea kambi ya Klabu ya Simba ambayo kesho inapambana na Al-Ahly ya hukohuko Misri katika mchezo wa marudiano wa robo fainali ya mashindano ya Klabu Bingwa Afrika.
  19. de Gunner

    Intuition inaniambia simba inatinga nusu

    Sijui ni nini hiki ila kila mda thoughts zinakuja eti simba ameshinda kuingia nusu. Wametoka 1-0 then matuta akashinda ayoub katoa mikwaju miwili..... Huu mpira addictive sana! #nguvu_moja
  20. de Gunner

    No body cares: Watu tupo bize mtandaoni, tume-lose touch na human connection

    Katika hii generation, ambayo watu wapo bize mitandaoni tume loose touch na human connection. Hakuna health relationship na watu wa karibu. Watu tumegeuka maroboti na mazombie. Hatuna mawazo chanya. Kutwa kuilaumu serikali, maisha magumu, sijui mmomonyoko wa maadili, kumbe wachawi ni sisi...
Back
Top Bottom