de Gunner
JF-Expert Member
- Nov 2, 2021
- 1,382
- 2,878
Trust me kama huna title lazma unyenyekee, bila hivyo watakupiga chini au kukufanyia vizabina mpk wakushushe...
Mm naexperience na hili swala, utathaminika sio kwamba unaujuzi au weledi. Utathaminika endapo utakidhi mahitaji na matakwa ya muajiri wako. Watu hawapendi changamoto, hawapendi maendeleo hasa ikiwa watagundua unakwenda kuwazidi.
Hii mindset yawezekana tumerithi mojakwamoja kutoka kwa mkoloni, na kutokana na kukosa maarifa. Ukiajiriwa ndo utajua na maanisha nini. Makazini kuna vitimbwili ambavyo waajiliwa huvijua ila inabidi wakaushie tu, wavizoee then nawao wakipandishwa wawafanyie walio chini yao.
Waafrika tunalaana kubwa sana. Unakuta jitu liko professional kabisa ila lina mindset za kujiona kama lilisoma lenyewe tu hio kada. Likichalenjiwa kidogo tu linaona kama huyo anaechalenji kalidharau. Mfumo wa uongozi makazini umekaa kunyenyekeana sana. Hii yote ni kutokana na siasa mbovu, utawala duni na ujinga ulio kithiri miongoni mwa waafrika.