Sioni haja ya kwenda chuo

de Gunner

JF-Expert Member
Nov 2, 2021
1,071
2,223
Ajira ngumu,

Kupoteza muda,

Kupoteza pesa ambayo kiuhalisia ungepata mtaji wa kuanzisha biashara.

Kuingia madeni yasio ya lazima, (mikopo)

Elimu haikidhi viwango vya mabadiliko ya kiuchumi na kisayansi.

Walio na vyeti mtaani hawahesabiki.

High school is a necessity, but collage is a choice.~Kanye West
 
Cha kwanza dogo usifuate nyayo za Kanye West uliyemquote utapotea, pili chagua elimu ya vitendo kwa dunia ya sasa hivi, elimu ni nguzo muhimu ambayo kwa vitendo itakusaidia dunia hii, nilipokuwa ulipo nikitoka high school niliwaza kama wewe ila mbeleni nilifunguka akili , nilisoma kwa mateso sana chuo cha sheria UDOM ila leo matunda yake nnayaona , walio kataa kuendelea na masomo hamna anayenifikia hata kwa upeo wa mbali .

Usiangalie jobless wenzio kila mtu na nyota na safari yake , pambania kikombe chako papo hapo katktk ya wenzio.

mwisho cheki course isiyojulikana au kuwa watu wengi , nenda bandari , benki , industry uliza waliopo kule fanya research yako kisha chukua hatua , tahadhari usijaribu kufanya uhasibu or business courses .... all the best
 
cha kwanza dogo usifuate nyayo za Kanye west uliyemquote utapotea , pili chagua elimu ya vitendo kwa dunia ya saizi , elimu ni nguzo muhimu ambayo kwa vitendo itakusaidia dunia hii, nilipokuwa ulipo nikitoka high school niliwaza kama ww ila mbeleni nilifunguka akili , nilisoma kwa mateso sana chuo cha sheria UDOM ila leo matunda yake nnayaona , walio kataa kuendelea na masomo hamna anayenifikia hata kwa upeo wa mbali . usiangalie jobless wenzio kila mtu na nyota na safari yake , pambania kikombe chako papo hapo katktk ya wenzio.

Ungemention hzo course zisizofahamika na wengi ingekua vzur sana. Sie wengne tupo kasulu huku, hatuna access ya kufika bandari wala bank!!
 
kwa kuwa waarabu wamepewa bandari nina uhakika kuna machinery inayoitwa guantry craneau ship to shore crane ,bongo waliosomea ni wachache sana hata 50 hawafiki na wengi ni wazee , ni course ya miezi mitatu tu , ila ukiipata hio post utanishkuru sana , mshahara kando ndo nitoe lorry pale bandari haraka wengitunawapa wale jamaa za macho, nenda kaiulizie nahisi inasomeshwa pale bandari college temeke hapa dar
 
cha kwanza dogo usifuate nyayo za Kanye west uliyemquote utapotea , pili chagua elimu ya vitendo kwa dunia ya saizi , elimu ni nguzo muhimu ambayo kwa vitendo itakusaidia dunia hii, nilipokuwa ulipo nikitoka high school niliwaza kama ww ila mbeleni nilifunguka akili , nilisoma kwa mateso sana chuo cha sheria UDOM ila leo matunda yake nnayaona , walio kataa kuendelea na masomo hamna anayenifikia hata kwa upeo wa mbali . usiangalie jobless wenzio kila mtu na nyota na safari yake , pambania kikombe chako papo hapo katktk ya wenzio.
mwisho cheki course isiyojulikana au kuwa watu wengi , nenda bandari , benki , industry uliza waliopo kule fanya research yako kisha chukua hatua , tahadhari usijaribu kufanya uhasibu or business courses .... all the best
Mm nimemaliza high school na kwenda chuo, ila nilijua elimu ya chuo haina manufaa. It depends na malengo ila kwangu it means nothing.
 
Ajira ngumu,

Kupoteza muda,

Kupoteza pesa ambayo kiuharisia ungepata mtaji wa kuanzisha biashara.

kuingia madeni yasio ya razima, (mikopo)

Elimu haikidhi viwango vya mabadiliko ya kiuchumi na kisayansi.

Walio na vyeti mtaani hawahesabiki.

High school is a necessity, but collage is a choice.~Kanye West
kama umesoma ni kama hujasoma. hujui kutofautisha R na L
 
kwa kuwa waarabu wamepewa bandari nina uhakika kuna machinery inayoitwa guantry craneau ship to shore crane ,bongo waliosomea ni wachache sana hata 50 hawafiki na wengi ni wazee , ni course ya miezi mitatu tu , ila ukiipata hio post utanishkuru sana , mshahara kando ndo nitoe lorry pale bandari haraka wengitunawapa wale jamaa za macho, nenda kaiulizie nahisi inasomeshwa pale bandari college temeke hapa dar
I appreciate!!
 
Back
Top Bottom