Music industry haiwabebi wasanii Wachanga

de Gunner

JF-Expert Member
Nov 2, 2021
1,091
2,271
Nimejaribu kufatilia kuna uchafu mwingi sana kwenye industry, na zama hizi mpaka msanii aonekane lazma labda adandie record label. Na ukidandia ndo hivyo tena unakua kama wakina rich mavoko, siku mambo yakienda kombo unapotea kwenye game.

Talent na uwezo sio kigezo cha msanii kutoka pamoja na influence ya mitandao ila bado uwezo wa ku compete kwenye game lazma uwe vizuri na popularity ya kutosha. Hivyo wasanii wamekosa masrahi kwenye muziki despite their talents. Wanadunda kwenye game ndo walewale kila siku.

Wasanii wakubwa wana ego, hawataki ku support undergrounds. Na hata wakifanya kazi pamoja ni kwa ajili ya manufaa yao tu. Kuna kitu twapaswa kujifunza kutoka kwa wenzetu hasa Nigeria they support each other and their music. Ila wabongo kazi michambo na Kiki zisizo na manufaa kama TID na katoto kale sjui ka Abby! Hii inadhihirisha how low we are in terms of supporting the industry.

Muziki bongo upo nyuma sana, mondi huyu ambaye watu wanamsifia anazidiwa recognition na wasanii wengi tu undergrounds pale Nigeria. Kazi kujitapa na vituzo vya East Africa ambavyo hata havina recognition yoyote. We need to take this to the whole of Africa. Kipindi Rayvanny anachukua tuzo ya bet nilianza kuona kama tutafika mbali ila ndo ivo mondi kumfungia vioo dogo asifanye collaboration na wasanii wakubwa. Ujinga tupu.

Record labels hasa wcb igeni jamaa wa mavin (Don jazzy) jamaa sio kwamba hajui kuimba, kashaona kuna undergrounds wapo vizuri aka tia hela ya kutosha leo matunda tunaona wakina Rema wanapeleka Grammy mjengoni. Mondi acha ujinga wakujiona legend huku tyr kashazeeka na talent imemtupa mkono. Wekezeni kwa nguvu kwa vijana wadogo.
 
Nimejaribu kufatilia kuna uchafu mwingi sana kwenye industry, na zama hizi mpk msanii aonekane lazma labda adandie record label. Na ukidandia ndo hivyo tena unakua kama wakina rich mavoko, siku mambo yakienda kombo unapotea kwenye game..
Mbona kama hii ipo pasono sana kwa Mondi. Kwani yeye pekee ndio Bongo fleva? Wapo wasanii wengi na lebo nyingi tu zenye wasanii wao na hawajafika popote bora yeye katutolea Harmo na Ray.
 
Nimemtolea mfano yeye kama icon mwenye record label kubwa, hao wasanii alotoa unahisi kwanini walitoka wcb? Na kwanini ni hao wawili tu ndo wame persist kwenye game.
 
Mkuu you need to think twice before commenting. Unataka nianzishe record label au? Mm nime pinpoint madhaifu yaliyopo wafanyie kazi.
Nani kasema uanzishe, badala ya kuwa whistle blower mtandaoni.

Usha wahi ku socialize na hao wenye hizo labels??, au una hisi ku invest hela kwa mtu ni rahisi ehh??.

Sasa kila mtu aki taka asaidiwe na label, una hisi ma manager wa kawaida wata kula wapi??.
Heshimu food chain kijana 🤓
 
Haluna kipindi rahisi kwa underground kutoboa kama hiki cha sasa cha social Media..

Msanii ukiwa mbunifu na kazi zako ni nzuri hakika utafanya vizuri pia kwenye soko

Kama kweli una kipaji..!

Sielewi unaposema “ku compete” una maana gani..?

Muziki hauna ushindani.. (sio mchezo wa ushindani) japo una ushabiki .. si kila chenye ushabiki kipo kiushindani…! Ni kama kupenda fanta mwingine akapenda coca

unashindania nini?
Una shindana na nani..? - je unashinda na wasanii wenzi bongo ?/ East Africa /west/ UK / US au wapi haswa..?

Unataka mziki wako ufoke wapi? Usikilizwe wapi na wakina nani? Ukiweza jobu hayo ni lazina utakuwa unajuwa nini cha kufanya na malengo pia unayo!!

Kutoboq ni rahsi zaidi ukilinganisha na kipindi cha msoto wa miaka ya nyuma before this information Age
 
Mbona kama hii ipo pasono sana kwa Mondi. Kwani yeye pekee ndio Bongo fleva? Wapo wasanii wengi na lebo nyingi tu zenye wasanii wao na hawajafika popote bora yeye katutolea Harmo na Ray.
Kwa nn watu wanapenda kutufananisha na nigeria
Wanajua history kweli
Wao wapo 200 million (2)wao wametapakaa uklimwenguni kote duniani
Huwezi kulinganisha na tz
Na kwa nn diamond pekee ndo afanye yote kwa nn na wengine wasijaribu
Tz ni kulaumu tu nonsense
 
Wivu tu
 
Nimejaribu kufatilia kuna uchafu mwingi sana kwenye industry, na zama hizi mpaka msanii aonekane lazma labda adandie record label. Na ukidandia ndo hivyo tena unakua kama wakina rich mavoko, siku mambo yakienda kombo unapotea kwenye game.

Talent na uwezo sio kigezo cha msanii kutoka pamoja na influence ya mitandao ila bado uwezo wa ku compete kwenye game lazma uwe vizuri na popularity ya kutosha. Hivyo wasanii wamekosa masrahi kwenye muziki despite their talents. Wanadunda kwenye game ndo walewale kila siku.

Wasanii wakubwa wana ego, hawataki ku support undergrounds. Na hata wakifanya kazi pamoja ni kwa ajili ya manufaa yao tu. Kuna kitu twapaswa kujifunza kutoka kwa wenzetu hasa Nigeria they support each other and their music. Ila wabongo kazi michambo na Kiki zisizo na manufaa kama TID na katoto kale sjui ka Abby! Hii inadhihirisha how low we are in terms of supporting the industry.

Muziki bongo upo nyuma sana, mondi huyu ambaye watu wanamsifia anazidiwa recognition na wasanii wengi tu undergrounds pale Nigeria. Kazi kujitapa na vituzo vya East Africa ambavyo hata havina recognition yoyote. We need to take this to the whole of Africa. Kipindi Rayvanny anachukua tuzo ya bet nilianza kuona kama tutafika mbali ila ndo ivo mondi kumfungia vioo dogo asifanye collaboration na wasanii wakubwa. Ujinga tupu.

Record labels hasa wcb igeni jamaa wa mavin (Don jazzy) jamaa sio kwamba hajui kuimba, kashaona kuna undergrounds wapo vizuri aka tia hela ya kutosha leo matunda tunaona wakina Rema wanapeleka Grammy mjengoni. Mondi acha ujinga wakujiona legend huku tyr kashazeeka na talent imemtupa mkono. Wekezeni kwa nguvu kwa vijana wadogo.
Huyu Mondi mnaweza kumtoa uhai, hivi rekodi label ngapi zinawatoa wasanii na kuwasimamisha wasanii zaidi hiyo label ya WCB?

Mbona Vanny alinya Kolabo, Maphorisa,Phyno, Mayorkun nk,mlitaka afanye na nani? Halafu unajua hawa wasanii wakubwa wa terms zao za kufanya mikataba hawajifanyii tuu. Juzi Davido kasema bila USD 300k hawafanyi collabo na ww,labda uwe na profile kubwa.

Tz ina wasanii wakubwa wana hela AY,FA,Ommy hawa wote walikuwa na Label baadae wakaamua kuachana nazo, hivi hushajiuliza kwa nini?

Unamuandama mtu mwenye label na anaye jitahidi kuwekeza kwa vijana wenzio. Hivi unajua kutoa hela yako na kuwekeza kwa mtu husiyemjua,yataka moyo na love ndio maana AY,FA,Ommy hela wanazo na hawana mpango na label. Hata leo hii ww ukiziotea hela hautokuwa na mpango wa Label.

Yaani unamuandama anaye jitahidi kuwekeza kwa vijana wenzake, mbona lawama hatuzioni kwa Konde na Kiba. Halafu kesho wakiondoka, kwenye label Mondi akianza kudai hela yake, mnadai anawanyonya. Wengine kuwasaidia ndugu zetu wa familia moja kazi, sasa jiulize kuwekeza kwa jitu husilo lijua inakuwaje.

Halafu sio kila msanii atolewe na WCB,kuna Kings,Konde wanaweza wakafanya hivyo hata hao Marvin hawatoi wasanii wote wanaija, kuna YBL, OBO nk.
 
Nani kasema uanzishe, badala ya kuwa whistle blower mtandaoni.

Usha wahi ku socialize na hao wenye hizo labels??, au una hisi ku invest hela kwa mtu ni rahisi ehh??.

Sasa kila mtu aki taka asaidiwe na label, una hisi ma manager wa kawaida wata kula wapi??.
Heshimu food chain kijana 🤓
Bado hujui muziki na soko Lake lilivyo...
Kingine sijabase kwenye muziki local nime base international wise.
Tatu mwanamuziki kuwa kwenye record label haimzuii kuwa na manager tofauti...
Buckle up and learn more about music. Isilete maoni bila kujua unaongea nini. Una lack mentality naona.
 
Haluna kipindi rahisi kwa underground kutoboa kama hiki cha sasa cha social Media..

Msanii ukiwa mbunifu na kazi zako ni nzuri hakika utafanya vizuri pia kwenye soko

Kama kweli una kipaji..!

Sielewi unaposema “ku compete” una maana gani..?

Muziki hauna ushindani.. (sio mchezo wa ushindani) japo una ushabiki .. si kila chenye ushabiki kipo kiushindani…! Ni kama kupenda fanta mwingine akapenda coca

unashindania nini?
Una shindana na nani..? - je unashinda na wasanii wenzi bongo ?/ East Africa /west/ UK / US au wapi haswa..?

Unataka mziki wako ufoke wapi? Usikilizwe wapi na wakina nani? Ukiweza jobu hayo ni lazina utakuwa unajuwa nini cha kufanya na malengo pia unayo!!

Kutoboq ni rahsi zaidi ukilinganisha na kipindi cha msoto wa miaka ya nyuma before this information Age
Hata mimi nilihisi hivyo lakini nikagundua tofauti, social media haimtoi msanii mwenye kipaji. Kama ni hivyo kuna wasanii wengi tu wanaimba vizuri na recognition zao ni kama upepo. Lazima kuwe na msingi bora na usimamizi wa kazi zake, promotion kubwa ili aweze kutoboa. Ndo maana kuna record labels zina msaada mkubwa kwa msanii.

Kingine muziki ni biashara, na kama biashara zingine lazima kuwe na ushindani. Unavyosema hakuna ushindani ni kama sikuelewi, na kati ya vitu vinavyo inua uchumi ni sekta ya entertainment muziki ukiwemo.

Kutoboa mziki bila management ni ngumu mkuu, muziki haupo hivyo. Social media haina mchango kiivyo kama uifikiriavyo.
 
Kipaji+nyota+management...kama huna hivyo vitu wew kalime tu mihogo itakusaidia hata kiiangazi kwa food
 
Huyu Mondi mnaweza kumtoa uhai, hivi rekodi label ngapi zinawatoa wasanii na kuwasimamisha wasanii zaidi hiyo label ya WCB?

Mbona Vanny alinya Kolabo, Maphorisa,Phyno, Mayorkun nk,mlitaka afanye na nani? Halafu unajua hawa wasanii wakubwa wa terms zao za kufanya mikataba hawajifanyii tuu. Juzi Davido kasema bila USD 300k hawafanyi collabo na ww,labda uwe na profile kubwa.

Tz ina wasanii wakubwa wana hela AY,FA,Ommy hawa wote walikuwa na Label baadae wakaamua kuachana nazo, hivi hushajiuliza kwa nini?

Unamuandama mtu mwenye label na anaye jitahidi kuwekeza kwa vijana wenzio. Hivi unajua kutoa hela yako na kuwekeza kwa mtu husiyemjua,yataka moyo na love ndio maana AY,FA,Ommy hela wanazo na hawana mpango na label. Hata leo hii ww ukiziotea hela hautokuwa na mpango wa Label.

Yaani unamuandama anaye jitahidi kuwekeza kwa vijana wenzake, mbona lawama hatuzioni kwa Konde na Kiba. Halafu kesho wakiondoka, kwenye label Mondi akianza kudai hela yake, mnadai anawanyonya. Wengine kuwasaidia ndugu zetu wa familia moja kazi, sasa jiulize kuwekeza kwa jitu husilo lijua inakuwaje.

Halafu sio kila msanii atolewe na WCB,kuna Kings,Konde wanaweza wakafanya hivyo hata hao Marvin hawatoi wasanii wote wanaija, kuna YBL, OBO nk.
Unajua kwanini watu walimu attack mondi kipindi kile cha nomination za BET? Anayumba sana, na kaliona hili ndo maana siku hizi anafanya collabo na wasanii wa ndani sana, anataka kusawazisha ujinga wake.

Kingine usiwapaishe kiivyo wasanii wa nje! Davido mwenyewe kabla hata toa ulbum iliyo hit majuzi hakuwa so expensive sana, ni vile tu yupo kwenye upepo saiv.... so hao wasanii wanaongeleka vizuri tu. Shida ni record labels. Wanashindwa kuwapa terms nzuri wasanii wetu kingine kujiona kwingi ndo kinawafanya wasiwafungulie milango.

We unahisi ni nini kilicho mpa tuzo harmonize kule USA? So wimbo wake wa single again.. na hakutoa collabo na ruger? Tatizo sio terms tatizo ni kubanwa kwa wasanii.

Huyo naemwandama yupo kwenye game saiz na record label yake ndo inatambulika zaidi duniani. Hao wengine hawakuwekeza kivile kulingana na target za muziki wao walipotaka ufike, so their time is gone. Yeye ndo kaishikiria industry kwa sana. Lazima tumuandame ajue anapozingua, kama akiipaisha game hao wengine pia wataguata, ni kama mo alivyo paisha simba leo tunaona matunda ya kupeleka timu mbili caf.
 
Hivi unajua why Mondi alikuwa hataki kufanya collabo na watu wa ndani? Hivi kipindi kile anahustle kabaniwa na Redio tatu zenye wasikilizaji wengi,msanii gani alitoka kumtetea zaidi ya kujipambania yy mwenyewe na ilikuwa wazi nyimbo za Mondi zilikuwa hazipigwi.Brother uliye okota nae kuni ndiye utakaye ota nae moto, hukuwa upande wake wakati akifight, husitegemee atakuwa upande wako wakati akivuna.

Sasa nisiwapaishe wasanii wanje wa naija wakati wanajaza kwenye venue za watu zaidi 20+k,Stream Sportfy zaidi ya bilion kwanini nisiwapaishe wakati namba zipo ubaoni, Wizkid,Burna,Davido wale jamaa bila 200k hawafanyi Collabo na ww kabisa, wewe unazani USD 200k kitu kidogo.Husiwe unaongea hebu jiweke nafasi ya Mondi ww then utoe USD 200k kwa ajili ya Collabo moja sio swala dogo.

Hivi ile tuzo alisho shinda Harmonize nani ambaye hakushinda akiwa ndani ya WCB, halafu tuzo zenyewe hata kuzirank hazipo kwenye rank kubwa kabisa ya kusema unajenga profile yako. Ingekuwa BET,MTV au Headies,Trace sawa.

"Hao wengine hawakuwekeza kivile kulingana na target za muziki wao walipotaka ufike, so their time is gone. "

Ushajiuliza kwa nini hao ambao wanahela,kwanini hawajawekeza? Hivi unajua kuwekeza hela kwenye mziki ni sawa na kucheza kamari na inaweza isirudi so.Dr Dre,Jaz Z wale mpaka sasa wana label,vip time yao wao haijagone. Msiwe na lawama za kipuuzi hii ni hela na ndio maana hawataki kwekeza huku wanajua watapoteza hela zao.

"Yeye ndo kaishikiria industry kwa sana. Lazima tumuandame ajue anapozingua, kama akiipaisha game hao wengine pia wataguata, ni kama mo alivyo paisha simba leo tunaona matunda ya kupeleka timu mbili caf."

WEWE UNACHUKI ZAKO BINAFSI,WEWE UNAZANI DIAMOND HELA ANAOKOTA?kwa hiyo sababu kaishikilia game ndio hela yake atumie hovyo hovyo? So kwa hiyo Mondi leo akiwa hayupo au akasema ajikite kwenye biashara zake binafsi,achane na mziki,inamaana Bongo Fleva ndio basi itapotea?

Mimi kwanza naona mpaka alipoishia panatosha sana,kawasaidia wengi watu wamemtukana,shukrani hawana,kama ikiwezekana sasa hivi hela yake awekeze kwenye radio yake na kununua frequency mpya kutoka TCRA aongeze Coverage,kuliko kuwekeza kwa jitu husilo lijua. Huyo Mo mwenye kaipaisha Simba kila siku analia hasara na utajiri wake ni zaidi ya Tilioni au humsikii.

Hebu be realistic wewe mwenyewe ukipewa hela hapa sasa break ya kwanza,unaenda kutafuta mademu Wavuvi, Kidimbwi, Tips hata habari za label utazisahau.

Ommy yule alikuwa na label kaona anapata hasara kaachana nao sasa hivi anakula bata zile sehemu kubwa kubwa mara yupo Ibiza,NBA all Star Dubai,wewe unazani Diamond hataki. FA kaachana na Maua Sama hela yake kaiweka kwenye Siasa leo Waziri unazani Diamond hapendi, AY ana nyumba US huko unazani Diamond hataki kuwa nyumba.Hao wote wanamzigo wa kutosha.

Eti yy kaishikiria mziki, Burna boy kaishikiria mziki wa Naija kwa sasa na hana label,husimpangie mtu cha kufanya kwani aliyo yafanya Diomond hamna mtu aliye yafanya hata nusu.Diamond ni Baba,Kaka,Mjomba,Ba mdogo,Ba Mkkubwa,Mkurugenzi, CEO ana lundo la watu kibao kawabeba na wanamtegemea so alipofanya mpaka hapo inatosha waje wengine na kama IKIWEZEKANA UWE WEWE UANZE KUWABEBA WENZIO na uache lawama za kijinga kama last born.
 
Hivi unajua why Mondi alikuwa hataki kufanya collabo na watu wa ndani? Hivi kipindi kile anahustle kabaniwa na Redio tatu zenye wasikilizaji wengi,msanii gani alitoka kumtetea zaidi ya kujipambania yy mwenyewe na ilikuwa wazi nyimbo za Mondi zilikuwa hazipigwi.Brother uliye okota nae kuni ndiye utakaye ota nae moto, hukuwa upande wake wakati akifight, husitegemee atakuwa upande wako wakati akivuna.

Sasa nisiwapaishe wasanii wanje wa naija wakati wanajaza kwenye venue za watu zaidi 20+k,Stream Sportfy zaidi ya bilion kwanini nisiwapaishe wakati namba zipo ubaoni, Wizkid,Burna,Davido wale jamaa bila 200k hawafanyi Collabo na ww kabisa, wewe unazani 200k kitu kidogo.Husiwe unaongea hebu jiweke nafasi ya Mondi ww then utoe 200k kwa ajili ya Collabo moja sio swala dogo.

Hivi ile tuzo alisho shinda Harmonize nani ambaye hakushinda akiwa ndani ya WCB, halafu tuzo zenyewe hata kuzirank hazipo kwenye rank kubwa kabisa ya kusema unajenga profile yako. Ingekuwa BET,MTV au Headies,Trace sawa.

"Hao wengine hawakuwekeza kivile kulingana na target za muziki wao walipotaka ufike, so their time is gone. "

Ushajiuliza kwa nini hao ambao wanahela,kwanini hawajawekeza? Hivi unajua kuwekeza hela kwenye mziki ni sawa na kucheza kamari na inaweza isirudi so.Dr Dre,Jaz Z wale mpaka sasa wana label,vip time yao wao haijagone. Msiwe na lawama za kipuuzi hii ni hela na ndio maana hawataki kwekeza huku wanajua watapoteza hela zao.

"Yeye ndo kaishikiria industry kwa sana. Lazima tumuandame ajue anapozingua, kama akiipaisha game hao wengine pia wataguata, ni kama mo alivyo paisha simba leo tunaona matunda ya kupeleka timu mbili caf."

WEWE UNACHUKI ZAKO BINAFSI,WEWE UNAZANI DIAMOND HELA ANAOKOTA?kwa hiyo sababu kaishikilia game ndio hela yake atumie hovyo hovyo? So kwa hiyo Mondi leo akiwa hayupo au akasema ajikite kwenye biashara zake binafsi,achane na mziki,inamaana Bongo Fleva ndio basi itapotea?

Mimi kwanza naona mpaka alipoishia panatosha sana,kawasaidia wengi watu wamemtukana,shukrani hawana,kama ikiwezekana sasa hivi hela yake awekeze kwenye radio yake na kununua frequency mpya kutoka TCRA aongeze Coverage,kuliko kuwekeza kwa jitu husilo lijua. Huyo Mo mwenye kaipaisha Simba kila siku analia hasara na utajiri wake ni zaidi ya Tilioni au humsikii.

Hebu be realistic wewe mwenyewe ukipewa hela hapa sasa break ya kwanza,unaenda kutafuta mademu Wavuvi, Kidimbwi, Tips hata habari za label utazisahau.

Ommy yule alikuwa na label kaona anapata hasara kaachana nao sasa hivi anakula bata zile sehemu kubwa kubwa mara yupo Ibiza,NBA all Star Dubai,wewe unazani Diamond hataki. FA kaachana na Maua Sama hela yake kaiweka kwenye Siasa leo Waziri unazani Diamond hapendi, AY ana nyumba US huko unazani Diamond hataki kuwa nyumba.Hao wote wanamzigo wa kutosha.

Eti yy kaishikiria mziki, Burna boy kaishikiria mziki wa Naija kwa sasa na hana label,husimpangie mtu cha kufanya kwani aliyo yafanya Diomond hamna mtu aliye yafanya hata nusu.Diamond ni Baba,Kaka,Mjomba,Ba mdogo,Ba Mkkubwa,Mkurugenzi, CEO ana lundo la watu kibao kawabeba na wanamtegemea so alipofanya mpaka hapo inatosha waje wengine na kama IKIWEZEKANA UWE WEWE UANZE KUWABEBA WENZIO na uache lawama za kijinga kama last born.
Naona unamtetea sana mondi 🤣🤣, mkuu ndo maana watu wanamwandama there's a reason behind! Hivi umefatilia vizuri game ya Nigeria? Sawa wana wafuasi wengi nje, ila kuna mshikamano amongst them. Kumbuka wakina p square! Tulitegemea wawe kwenye game mpk leo wako wapi? Wana ego na kujiona kama mpuuzi huyu mondi, sasa wamepotea kwenye game. Burna boy unajua kafanya collabo ngap mpk kufikia hapo? Despite bado recognition na cooperation ya wanigeria wenzake? Mwamba kazunguka marekani kafanya kazi na wasanii wengi kipindi kile on the low inatoka kakaza mno na hakuchoka kushirikiana na wasanii wengine wa ndani. So jitihada zake zilimbeba.

hatukatai mondi kufanya makubwa ila, anadhorotesha muziki bongo kwa kuvimba na kufungia milango wenzake. Usiangalie yaliyopita ndo maana nili include industry kwa ujumla bongo nzima tume kaa kichawa na kujiona sana huku bado hatujafikia level za kufanya hivyo. Mondi anaweza kuwa legend kibongo, East and Central Afrika. Ila nakuhakikishia akiendelea hivi there's hata fanya makubwa kimataifa mpk career yake inaisha.
 
Back
Top Bottom