de Gunner
JF-Expert Member
- Nov 2, 2021
- 1,442
- 3,036
- Thread starter
- #61
Mkuu tukisema tufuate hayo hata wasanii wa Nigeria wasingetoboa.. muziki hupaa kutokana na investments nzuri na zenye tija mbona mondi alianza vizuri mpk akapata recognition? Kina babu tale waliwekeza vya kutosha, kina zari walimbeba, lazima investment ifanyike. System haipo transparent ndio ila chanzo ndo hikihiki cha kukaziana kama wasanii wa ndani, kama wasanii wange ungana lazma wangesikilizwa, hakuna exposure because sisi wenyewe tuna majungu. Kufikia level za wenzetu inaweza isiwe leo wala kesho, ila kama tu record label zetu hazi wa favour wasanii unategemea tutafika? Hapa tutarudi kulekule tulipoishia.Ipo wazi wapi US mziki ukipigwa kwenye radio,TV na sehemu za Starehe unalipwa ,kwenu huku mnafanya hivyo ma je system ipo transparent?Unafananisha industry ambayo ina njia nyingi za kuingiza hela na hii ya kwenu ya kuungaunga.