Music industry haiwabebi wasanii Wachanga

sipingi mawazo yako. mbona kama lawama zinaenda kwa mond . mbona wasanii wakubwa tz wapo wengi tu. si lazima afanye mond peke yake,
Tunamuandama maana yeye ndo icon au mwakilishi mkubwa wa muziki wetu.
 
Watu wakiwekeza kwenu mkishatoboa mnasahau mnaanza kiwavimbia, Harmonize alisahau kabisa kuwa watu waliwekeza kwake, Hakuna msaada kuna uwekezaji mlijue hilo kwanza.
Si ndo uwekezaji namaanisha.
Harmonize kalipiza alofanyiwa wcb, wewe unahisi kwanini walikimbia
 
Si ndo uwekezaji namaanisha.
Harmonize kalipiza alofanyiwa wcb, wewe unahisi kwanini walikimbia
Harmonize watu walifanya uwekezaji kwake, yeye alijua ni msaada tu. Watu waanza kuvuna kutoka kwake, yeye anaanza kiwavimbia.
 
Harmonize watu walifanya uwekezaji kwake, yeye alijua ni msaada tu. Watu waanza kuvuna kutoka kwake, yeye anaanza kiwavimbia.
Sijui mengi kuhusu kilicho jiri wasafi, ila nacho jua msanii hawezi kukimbia record label kama kuna manufaa anayapata. Kina nicki minaj mpk leo wapo young money ya lil Wayne kwanini? Kuna manufaiko both sides sio wcb wanaangalia matumbo yao na kunyonya wasanii
 
wcb wanaangalia matumbo yao na kunyonya wasanii
Hapa ndio shida ilipo, wakati watu wanakula matunda ya uwekezaji wao wengine ndio wanaona unyonyaji, wamesahau kua watu waliwekeza nadio maana wakajulikana.
 
Hapa ndio shida ilipo, wakati watu wanakula matunda ya uwekezaji wao wengine ndio wanaona unyonyaji, wamesahau kua watu waliwekeza nadio maana wakajulikana.
Mbona ume quote kipande hicho tu mkuu? Nimekueleza sababu za wasanii kukimbia, mimi sawala la sijui waliwekeza sijui vizuri nacho angalia ni kwanini wakimbie. Kwani nia ya kuwekeza ni nini? Si msanii atambulike? Haya akitambulika ndo mumbanie asiwazidi?
 
Nia ya kuwekeza ni kutegenea kurudisha hele yako na faida.
Basi mkuu tuishie hapo. Wewe unatoka kabisa kwenye point. Unaqoute vipande alafu unataka tuendelee kubishania vipande ambavyo umevi quote.
 
Mbona ume quote kipande hicho tu mkuu? Nimekueleza sababu za wasanii kukimbia, mimi sawala la sijui waliwekeza sijui vizuri nacho angalia ni kwanini wakimbie. Kwani nia ya kuwekeza ni nini? Si msanii atambulike? Haya akitambulika ndo mumbanie asiwazidi?
Wanambania vip ?,wakati mtu anategemea faida kutoka kwake.

kumbe na ww ni mswahili ina maana Ibrah Konde anabaniwa..... Ndio maana nilikuambia AY,Ommy na FA hawapendi haya maneno ya kwenu ndio maana hela zao wameamua kufanyia mengine. Sometimes bora ile hela ya Harmo angeenda kulia bata au hata kuizunguka dunia apate exposure kama mwenzake Ommy.

Halafu ndio unataka mwenzako aendelee kula hasara ukiuliza vipi game INAMTEGEMEA,utazani kuna sehemu anaokota hizo hela.Yaani unataka kufanya Game liwe sehemu ya familia yake utazani msanii yy peke yake.
 
Sijui mengi kuhusu kilicho jiri wasafi, ila nacho jua msanii hawezi kukimbia record label kama kuna manufaa anayapata. Kina nicki minaj mpk leo wapo young money ya lil Wayne kwanini? Kuna manufaiko both sides sio wcb wanaangalia matumbo yao na kunyonya wasanii
Yaani unafanaisha ulaya na bongo, ambapo huo mziki wenyewe still bado watu wanahangaika kuujenga ktk misingi ya kibiashara.
 
Yaani unafanaisha ulaya na bongo, ambapo huo mziki wenyewe still bado watu wanahangaika kuujenga ktk misingi ya kibiashara.
Sija fananisha nimetolea mfano, kingine umesema mziki bado unajengwa? Nakataa wasanii wengi bongo wanajulikana internationally so sikubakiani na wewe. Biashara ipo wazi ni hivyo tu kujiona kwingi.
 
Wanambania vip ?,wakati mtu anategemea faida kutoka kwake.

kumbe na ww ni mswahili ina maana Ibrah Konde anabaniwa..... Ndio maana nilikuambia AY,Ommy na FA hawapendi haya maneno ya kwenu ndio maana hela zao wameamua kufanyia mengine. Sometimes bora ile hela ya Harmo angeenda kulia bata au hata kuizunguka dunia apate exposure kama mwenzake Ommy.

Halafu ndio unataka mwenzako aendelee kula hasara ukiuliza vipi game INAMTEGEMEA,utazani kuna sehemu anaokota hizo hela.Yaani unataka kufanya Game liwe sehemu ya familia yake utazani msanii yy peke yake.
Skia mkuu, piont yako ya kusema kwamba sijui mtu anaona kuwekeza hakuto mletea faida imetokana na kile toulodiscuss mwanzo wivu wa maendeleo ndo hicho nilicho mwambia jamaa hapo juu, sasa yeye akaleta inshu za kuwekeza ma mrejesho wa uwekezaji, hiyo sio point, point ni jinsi msanii anavyopushiwa na record label.
 
Sija fananisha nimetolea mfano, kingine umesema mziki bado unajengwa? Nakataa wasanii wengi bongo wanajulikana internationally so sikubakiani na wewe. Biashara ipo wazi ni hivyo tu kujiona kwingi.
Ipo wazi wapi US mziki ukipigwa kwenye radio,TV na sehemu za Starehe unalipwa ,kwenu huku mnafanya hivyo ma je system ipo transparent?Unafananisha industry ambayo ina njia nyingi za kuingiza hela na hii ya kwenu ya kuungaunga.
 
Unajua kwanini watu walimu attack mondi kipindi kile cha nomination za BET? Anayumba sana, na kaliona hili ndo maana siku hizi anafanya collabo na wasanii wa ndani sana, anataka kusawazisha ujinga wake.

Kingine usiwapaishe kiivyo wasanii wa nje! Davido mwenyewe kabla hata toa ulbum iliyo hit majuzi hakuwa so expensive sana, ni vile tu yupo kwenye upepo saiv.... so hao wasanii wanaongeleka vizuri tu. Shida ni record labels. Wanashindwa kuwapa terms nzuri wasanii wetu kingine kujiona kwingi ndo kinawafanya wasiwafungulie milango.

We unahisi ni nini kilicho mpa tuzo harmonize kule USA? So wimbo wake wa single again.. na hakutoa collabo na ruger? Tatizo sio terms tatizo ni kubanwa kwa wasanii.

Huyo naemwandama yupo kwenye game saiz na record label yake ndo inatambulika zaidi duniani. Hao wengine hawakuwekeza kivile kulingana na target za muziki wao walipotaka ufike, so their time is gone. Yeye ndo kaishikiria industry kwa sana. Lazima tumuandame ajue anapozingua, kama akiipaisha game hao wengine pia wataguata, ni kama mo alivyo paisha simba leo tunaona matunda ya kupeleka timu mbili caf.
We jamaa inaonekana una chuki tu binafsi kwa mtu anaetulia na kusoma maelezo yako vizur
 
Skia mkuu, piont yako ya kusema kwamba sijui mtu anaona kuwekeza hakuto mletea faida imetokana na kile toulodiscuss mwanzo wivu wa maendeleo ndo hicho nilicho mwambia jamaa hapo juu, sasa yeye akaleta inshu za kuwekeza ma mrejesho wa uwekezaji, hiyo sio point, point ni jinsi msanii anavyopushiwa na record label.
Hamna label inayofanya hivyo duniani hamna sio Charity label zote zinaangalia faida.

Hamna mwekezaji atamuonea wivu mtu anaye ingimuingizia hela hayupo.Sema hivi vimaneno vya waswahili,msanii akishaanza kung'aa ndivyo vinawafanya wengi wanye mioyo ya kuanzisha label kuachana nayo.
 
Hata mimi nilihisi hivyo lakini nikagundua tofauti, social media haimtoi msanii mwenye kipaji. Kama ni hivyo kuna wasanii wengi tu wanaimba vizuri na recognition zao ni kama upepo. Lazima kuwe na msingi bora na usimamizi wa kazi zake, promotion kubwa ili aweze kutoboa. Ndo maana kuna record labels zina msaada mkubwa kwa msanii.

Kingine muziki ni biashara, na kama biashara zingine lazima kuwe na ushindani. Unavyosema hakuna ushindani ni kama sikuelewi, na kati ya vitu vinavyo inua uchumi ni sekta ya entertainment muziki ukiwemo.

Kutoboa mziki bila management ni ngumu mkuu, muziki haupo hivyo. Social media haina mchango kiivyo kama uifikiriavyo.
Kuhusu “ ushindani” Mkuu nikuulize
Tuchukulie mfano wa biashara ya mtandao wa simu…
Unaona kuna ushindani..? Yaani unaamini tigo anashindana na voda, artel, halotel na ttcl ..? Au voda anashindana na hao wengine …?

Ukifikira the way soko lilivyokaa kuna ushindani kweli..? Nani ana vifurushi na huduma zake ni bora kuliko mwenzake…?

Bila shaka maoni yyte utakoyatoa ni base on preference zako
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom