de Gunner
JF-Expert Member
- Nov 2, 2021
- 1,441
- 3,036
Nimejaribu kufatilia kuna uchafu mwingi sana kwenye industry, na zama hizi mpaka msanii aonekane lazma labda adandie record label. Na ukidandia ndo hivyo tena unakua kama wakina rich mavoko, siku mambo yakienda kombo unapotea kwenye game.
Talent na uwezo sio kigezo cha msanii kutoka pamoja na influence ya mitandao ila bado uwezo wa ku compete kwenye game lazma uwe vizuri na popularity ya kutosha. Hivyo wasanii wamekosa masrahi kwenye muziki despite their talents. Wanadunda kwenye game ndo walewale kila siku.
Wasanii wakubwa wana ego, hawataki ku support undergrounds. Na hata wakifanya kazi pamoja ni kwa ajili ya manufaa yao tu. Kuna kitu twapaswa kujifunza kutoka kwa wenzetu hasa Nigeria they support each other and their music. Ila wabongo kazi michambo na Kiki zisizo na manufaa kama TID na katoto kale sjui ka Abby! Hii inadhihirisha how low we are in terms of supporting the industry.
Muziki bongo upo nyuma sana, mondi huyu ambaye watu wanamsifia anazidiwa recognition na wasanii wengi tu undergrounds pale Nigeria. Kazi kujitapa na vituzo vya East Africa ambavyo hata havina recognition yoyote. We need to take this to the whole of Africa. Kipindi Rayvanny anachukua tuzo ya bet nilianza kuona kama tutafika mbali ila ndo ivo mondi kumfungia vioo dogo asifanye collaboration na wasanii wakubwa. Ujinga tupu.
Record labels hasa wcb igeni jamaa wa mavin (Don jazzy) jamaa sio kwamba hajui kuimba, kashaona kuna undergrounds wapo vizuri aka tia hela ya kutosha leo matunda tunaona wakina Rema wanapeleka Grammy mjengoni. Mondi acha ujinga wakujiona legend huku tyr kashazeeka na talent imemtupa mkono. Wekezeni kwa nguvu kwa vijana wadogo.