de Gunner
JF-Expert Member
- Nov 2, 2021
- 1,672
- 3,601
Katika safari yangu ya maisha, nimekutana na watu wengi, lakini ukweli sijabahatika kuina mtu mwenye roho nyeupe asilimia 💯 na mimi nikiwemo. Au angalau mtu anayeweza kumaintain ubinafsi wake na maslahi ya watu wengine. Ni kitu ambacho kila nikifikiria huwa nakosa majibu.
Wazazi wamekua wema kwangu, ila ukweli usemwe kuna mda walinifavour mimi, kwa sababu ni mimi. Hii sio kuwasemea vibaya ila hata mimi ningefanya kwa mwanangu. Sitaki kusema ni kitu kibaya ila tukija kwenye nature ya viumbe vingine ni sawa pia kiumbe kufavour uzawa wake. Basically makes sense.
Nimetolea mfano wa mzazi kwa mwanae, ila kuna scenario nyingi ambazo watu wenye uhusiano fulani au wamewatakia mabaya watu wengine wasio na uhusiano nao. Hoja yangu pia ina ambatana na chuki tuzijengazo kwa muhktadha wa kutofautiana kifikra, kiimani, kiuchumi, na mengineyo yanayofanana. Hata wazazi pia wanaweza kuwachukia watoto pia, inategemea kama mtoto hafuati yale wazazi wanaona yana mfaa. So haiwezi kubase kwenye uhusiano!🤣
Je ni sawa sisi wanadamu kuto takiana mema hasa kwa wale wasio upande wetu? Je unahisi kutokuwa na makubaliano ni kitu natural? Yaani lazima kiwepo? Na kama ni kweli, je chuki ni kitu kizuri? Wanasema bila malumbano hakuna maendeleo, je chuki pia ni kitu sahihi kwa muktadha huo?
Nakaribisha mawazo yenu.