Search results

  1. Heparin

    Serikali yasitisha Kibali cha Kuhesabu Wanafunzi na Walimu Waislamu shule za Msingi na Sekondari

    Wakuu, baada ya taharuki iliyotokea kuhusu Serikali kutoa idhini ya kuhesabiwa kwa Wanafunzi na Walimu waislamu Mashuleni naona imetoa zuio kwa kibali hicho. Hadi sasa bado haijajulikana kwanini iliruhusu jambo hili lifanyike. Barua ipo hapa chini. Tafadhali husika na mada tajwa hapo juu...
  2. Heparin

    ACT Wazalendo yasusa kushiriki Uchaguzi wa Ubunge Jimbo la Kwahani, Zanzibar

    Chama cha ACT Wazalendo kinapenda kuujulisha umma kuwa hakitashiriki kwenye uchaguzi wa marudio wa Ubunge katika Jimbo la Kwahani ambao unatarajiwa kufanyika tarehe 08 Juni 2024. Uamuzi huu umefikiwa na Kamati ya Uongozi Taifa kwenye kikao chake cha tarehe 15 Mei 2024 kwa kuzingatia madaraka...
  3. Heparin

    Wanawake mkoani Tanga wagoma kubeba Ujauzito kutokana na changamoto wakati wa kujifungua

    Wanawake wa Mwembeni, Kata ya Madanga Mkoani Tanga wamegoma kubeba ujauzito baada ya makubaliano na waume zao kwasababu wanapata shida wakati wa kujifungua kwani wanalazimika kutembea umbali mrefu kufuata huduma za afya huku wengine wakijifungulia njiani jambo linalohatarisha afya zao. Kufuatia...
  4. Heparin

    Saba wafariki kwenye Ajali Dumila, Morogoro

    Watu saba wamefariki na wengine sita kujeruhiwa katika ajali iliyohusisha gari la abiria aina ya Noah lililokuwa likitokea Dumila kuelekea Morogoro mjini na lori la mizigo lililokuwa likitokea Dar es salaam kwenda Dodoma. Kamanda wa polisi mkoa wa Morogoro, SACP Alex Mkama amesema chanzo cha...
  5. Heparin

    Tundu Lissu: Kuna ushirika wa ajabu unashambulia hotuba zangu, yupo Kinana, Nape na Halima Mdee

    Tundu Lissu ameendelea na Mikutano ya Hadhara na leo yupo wilaya ya Mpwapwa ambapo pamoja na mambo mengine amesema tangu atoe hoja zake siku ya Muungano, Aprili 26, 2024, wamekuwepo watu wengi wanaomshambulia akiwemo Abdulrahman Kinana, Nape Nnauye na Halima Mdee ambaye kwa maneno yake kamuita...
  6. Heparin

    KWELI Pele ni mchezaji pekee Duniani aliyeshinda Kombe la Dunia mara 3

    Habari JamiiCheck, Nimeona taarifa mtandaoni inayosema Pele ndiye mchezaji pekee duniani aliyeshinda Kombe la Dunia mara 3. Naona kama wanapotosha, inawezekana vipi asiwepo mchezaji mwingine zaidi yake?
  7. Heparin

    Tundu Lissu: Makazi ya Wamasai wa Sanya Station karibu na Airport ya KIA yamevunjwa, eneo lao imepewa Kampuni ya Oman Airports

    Ameandika Tundu Lissu kwenye Mtandao wa X Serikali ya SSH leo imevunja makazi ya Wamasai wa Sanya Station, karibu & airport ya KIA. Lengo ni kukabidhi eneo lao kwa kampuni ya Oman Airports ya Oman. Kauza bandari & misitu yetu; anafukuza Wamasai Ngorongoro; sasa anagawa & viwanja vya ndege. Bado...
  8. Heparin

    Ukuaji wa kasi wa Bandari ya Dar es Salaam wawavuruga wakenya

    Wakati Kenya imeendelea kutawala shehena za bandari katika ukanda wa Afrika Mashariki, kuna tishio kubwa kutoka Tanzania kutokana na Bandari yake ya Dar es Salaam kuongeza mizigo mara dufu katika muongo mmoja uliopita. Hili lilitiliwa mkazo wakati wa kongamano la mtandao la Baraza la Biashara...
  9. Heparin

    UZUSHI Damu yenye Maambukizi ya Magonjwa hutunzwa baada ya kukusanywa kutoka kwa wachangiaji ili wawekewe watu wenye Magonjwa husika

    Habari, Ninanukuu kutoka kwenye meseji iiyotummwa kwenye kundi moja la Telegram ambalo mimi pia nimo. Huku mitaani kuna taarifa kuwa kuwa uvunaji wa damu unaifanyika maeneo mbalimbali nchi huwa siku hizi hawatupi damu yoyote hata kama wataikuta ina ugonjwa wowote kwa kuwa damu hiyo wata...
  10. Heparin

    Mahakama yakubali ombi la DPP kuondoa rufaa dhidi ya Sabaya, sasa yupo huru na hana rekodi ya uhalifu

    Mkurugenzi wa Mashtaka Nchini (DPP) Silvester Mwakitalu, Leo amewasilisha katika Mahakama kuu ya Tanzania masijala ya Arusha ombi la kuiondoa Rufaa No.155 ya Mwaka 2022 Aliyokua ameikata dhidi ya Aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya Na wenzake. Rufaa hiyo ilikatwa na Jamhuri baada...
  11. Heparin

    Tundu Lissu: Rais Samia anatumia picha zetu kujinufaisha kisiasa, tunamtaka ashushe mabango yote la sivyo tutamshtaki Mahakamani

    Akizungumza na wananchi wa Iringa, leo Mei 2, 2024, Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu amesema Rais Samia anatumia picha za viongozi waandamizi wa Chama chake akiwemo yeye kuweka mabango nchi nzima ili aoneshe kuwa wao na yeye wapo sawa, kitu ambacho mwanasiasa huyu amekikataa hadharani...
  12. Heparin

    UZUSHI Clatous Chama awaaga Mashabiki wa Simba SC Mtandaoni Aprili 29, 2024

    Nimeona Mwamba wa Lusaka amewaaga mashabiki wa Simba kuwa anaondoka. Nimesikitika sana, kwaheri Clatous Chama.
  13. Heparin

    Dkt. Mpango: Marufuku kwa wakala wa Ajira kujigeuza kuwa waajiri

    Akizungumza kwenye Sherehe za Mei Mosi Jijini Arusha, Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango amesema ni marufuku kwa wakala wa Ajira kujigeuza kuwa waajiri, jambo hili ni kinyume cha Sheria na halikubaliki. "Jukumu la msingi la mawakala kwa mujibu wa Sheria ya kukuza huduma za ajira linabaki kuwa ni...
  14. Heparin

    Mwanzilishi wa Binance ahukumiwa kifungo cha Miezi minne Jela kwa kukiuka Sheria inayozuia Utakatishaji Fedha

    Mwanzilishi wa Binance na aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni hiyo Changpeng Zhao alihukumiwa kifungo cha miezi minne jela Jumanne hii, Aprili 30, 2024 baada ya kukiri kosa mwaka jana la kukiuka sheria za serikali za utakatishaji fedha pamoja na kampuni yake ambayo pia ilikiri kukiuka...
  15. Heparin

    Tundu Lissu: Kuna biashara haramu ya utoaji wa vibali vya uagizaji wa Sukari nchini. Siku nikitaja majina mtashangaa

    Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu amesema kuna mchezo haramu unafanyika kwenye utoaji wa vibali vya kuagiza sukari nchini, na kama wahusika watabisha (watakanusha) tuhuma hizi basi atawataja hadharani. "Kuna biashara inafanyika na mimi nitataja majina mtashangaa, kuna siku nitataja...
  16. Heparin

    Tundu Lissu: Tuna Rais Mzanzibari anayeweza kwenda Ngorongoro na kutoa Amri kwa Wanajeshi wafukuze wamasai wote

    "Leo tuna miaka 60 tukiitwa Tanzania, ndiyo maana tuna rais ambaye ni mzanzibari, siyo mtanganyika. Anaweza kwenda ngorongoro akatoa amri kwa wanajeshi hawa, akasema fukuza wamasai wote ngorongoro wapeleke Msomera Handeni, 547Km kutoka ngorongoro." "Huyu rais Mzanzibari siyo Mtanganyika...
  17. Heparin

    Amos Makalla: Kauli zinazotolewa na Lissu ni hila, hazina Ukweli na zinaleta Ubaguzi

    “Nimesikitishwa na nimeshangaa kauli iliyotolewa na ndugu yangu msomi mwanasheria, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA , akiwahutubia wananchi na ametumia maneno ya ubaguzi huwezi kiongozi makini tena wa ngazi ya juu kashindwa kuelewa tafsiri ya katiba”- Makalla. Hayo yamesemwa Jumatatu April 29...
  18. Heparin

    Nape Nnauye: Nashangaa Watanzania wanaokwenda kusikiliza upuuzi wa Lissu. Tumkemee, tumtenge na tumlaani

    Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari wa Tanzania, Nape Nnauye amelaani vikali kauli iliyotolewa na Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu kuhusu madai ya Rais Samia kuwaondoa Wamasai wa Ngorongoro kisa yeye ni Mzanzibari. Waziri Nape amesema kauli hii inapaswa kupingwa na...
  19. Heparin

    SI KWELI Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi inapokea Maombi ya Wafanyakazi wa Kuboresha Daftari la Wapiga Kura Mtandaoni

    Habari, Nimeona tangazo Mtandaoni linadaiwa kutolewa na NEC, kwamba wametangaza nafasi za kazi ya uandishi wa daftari la kudumu la wapiga kura Mwaka 2024. Kinachonipa wasiwasi naona kama tovuti hii si rasmi. Ukweli wake upoje?
  20. Heparin

    Anthony Mavunde: Watu 34 wamehodhi eneo lenye ukubwa mara 12 ya Dar es Salaam

    "Kuna watu 34 wameweka maombi ambayo hayajalipiwa na hayana sifa ambapo kwa jumla wanashikilia eneo la ukubwa wa ekari 4,316,955 sawa na kuwa na mikoa ya Dar es Salaam 12, eneo lote hili limekaa bila kufanyiwa chochote.” Anthony Mavunde
Back
Top Bottom