Search results

  1. Makanyaga

    How to automatically remove dublicate words or paragraphs in MS Word

    To automatically remove duplicate words: Enter (<*>) (\1) in the “Find what” box. Then; enter \1 in the “Replace with” box. Then; Click the “Replace All” button. To automatically remove paragraphs: Enter (*^13)(\1)@ in the “Find what” box. Then; enter \1 in the “Replace with” box. Then...
  2. Makanyaga

    Askari wakiwa kwenye Ibada ya kumwabudu Mungu

    Very interesting worship, possibly jioni baada ya kazi https://www.youtube.com/watch?v=8AdTCDNyoBk
  3. Makanyaga

    Mwalimu Mtanzania miongoni mwa walimu 50 bora duniani

    James Kidiga David United Republic of Tanzania - Kiara secondary school James’ journey towards becoming a teacher started in primary school. Knowing the importance of learning, he saw that many children do not get a quality education due to scarcity of teachers, poverty, early marriage, and...
  4. Makanyaga

    Sayari ziliwahi kuwa Tisa; zimebaki 8. Kiroho vita inayoendelea Israel ina uhusiano na upungufu huu

    Sources: https://www.youtube.com/watch?v=a4aboTbQZ5Y&pp=ygUSbWNodW5nYWppIG1hZ2hlbWJl https://www.space.com/pluto-atmosphere-may-be-disappearing Pluto's atmosphere is starting to disappear, scientists find By Chelsea Gohd published October 08, 2021 A new study shows how Pluto's atmosphere...
  5. Makanyaga

    Wale tuliowahi kusoma kwenye hii shule

    Nilisoma kwenye shule hii kwenye miaka ya 1986-1989 https://www.youtube.com/watch?v=gBQ8OOy1LHs&pp=ygUcTnN1bWJhIFNlY29uZGFyeSBTY2hvb2wgMjAyMw%3D%3D Kama uliwahi kusoma kwenye shule hii, sema ni mwaka gani
  6. Makanyaga

    Names of large numbers

    1 MILLION 1 with 6 zeros 2 BILLION 1 with 9 zeros 3 TRILLION 1 with 12 zeros 4 QUADRILLION 1 with 15 zeros 5 QUINTILLION 1 with 18 zeros 6 SEXTILLION 1 with 21 zeros...
  7. Makanyaga

    Maneno na majina ya Kiswahili yenye herufi zinazofanana

    Haya hapa ni majina ya Kiswahili ambayo herufi zake zote zinaumda maneno ya Kiswahili pia NAOMI----MAONI AMINA----AMANI Tafadhalli ongeza maneno au majina mengine ya aina hii angalau mawili
  8. Makanyaga

    Soma vitabu au novels, download vitabu au novels kwenye website hii

    https://www.you-books.com/ Sample novel: TRUE COLOURS https://www.you-books.com/bookepub/D-Palmer/True-colors/truecolors_fm01.html https://www.you-books.com/bookepub/D-Palmer/True-colors/truecolors_ch01.html CHAPTER ONE MEREDITH STOOD by thewindow watching the rain beat down on Chicago...
  9. Makanyaga

    Kwa wale wapenzi wa Calculus: Kazi bado inaendelea

    Mnaweza kukuta mnapitia baadhi ya maswali ambayo yalishakamilika kwenye attachment hizo hapo chini Pia yapo majibu ya maswali yote yaliyowahi kutajwa kwenye post hii hapa chini https://www.jamiiforums.com/threads/kwa-yule-aliyewahi-kutoa-maswali-haya-ya-hesabu-calculus.1463245/#post-44686544...
  10. Makanyaga

    Hakuna mkataba wowote ambao umeshasainiwa kati ya TPA na DP WORLD

    Hadi muda huu, hakuna mkataba wowote ambao umeshasainiwa kati ya TPA na DP WORLD Vile vile hakuna mkataba uliosainiwa kati ya nchi yetu na Dubai, isipokuwa kilichosainiwa ni AGREEMENT kati ya Tanzania na Dubai; kwa Dubai kuwekeza kwenye sekta ya Bandari NOT ALL AGREEMENTS ARE CONTRACTS, BUT...
  11. Makanyaga

    Jengo refu kuliko yote Tanzania hadi mwaka 2022

    Opened in 2019 this is currently the tallest structure in Tanzania located along Sam Njuoma road in Dar es Salaam the building was constructed by Estim a Tanzanian company. The builiding is a complex with a 35flr tower and a 9 flr tower for office and commercial purposes with an ample parking...
  12. Makanyaga

    Kitendawili cha watu waliojenga mapiramidi ya Misri tayari kimeshateguliwa

    Sikilizeni ducumentary hii hapa kuhusua utafiri wa hivi karibuni yenye kichwa kinachosema "Solving the Mystery of the 3,000 year old Paracas Skulls… Evidence of Ancient Aliens" UPDATE: FRIDAY 04 NOVEMBER 2022 Nyongeza nyingine muhimu hii hapa:
  13. Makanyaga

    Scientists pinpoint how many planets in the Milky Way could host life

    Our galactic neighborhood may be bustling with other worlds, but a new study estimates that a mere 300 million of those 100 billion planets may have the right ingredients for life. The Milky Way contains at least 100 billion planets. And scientists are hell-bent on finding which ones might...
  14. Makanyaga

    Ture story! A very beautiful kid Wawa alinusurika kuuawa na ndugu zake akiwa na miaka 6 tu; sasa hivi ana kiama 22

    Sikiliza hiyo documentary hapo chini kutoka 7 NEWS Spotlight TV; kupitia kipindi chao kimoja ambacho huwa wanarusha Jumapili usiku kinachoitwa SUNDAY NIGHT TRUE STORIES
  15. Makanyaga

    Kilo moja ya Ruby inauzwa TZS billion 657

    Kilo moja ya rubby inauzwa TZS billion 657 CONVERSION OF CARAT TO GRAMS 1 carat = 0.20 grams Therefore 8400 carats -=420 grams= 0.42 kg Hii rubby haifiki hata nusu kilo, lakini bei yake ni billion 276. Kwa hiyo kilo moja ya rubby inauzwa billion 657 Source: Ruby yenye thamani ya bil 276...
  16. Makanyaga

    Wahusika: Tunaomba album ya nyimbo za ujio wa Baba Mtakatifu Yohanne II Septemba 1990 mtuwekee youtube

    Kwa watumishi wa Mungu wanaohusika kwa namna yoyote ile; Tunaomba Album hiyo iliyotoka mwaka 1990 baada ya ujio wa Baba Mtakatifu Yohanne Paul II, nyimbo zake mtuwekee kwenye youtube. We are terribly missing the album! Kwa kipindi hiki kwenye youtube kuna wimbo mmoja tu wa album hiyo, ambao...
  17. Makanyaga

    Tarehe ya leo (22.02.2022) ni "rare palindrome"

    Tarehe ya leo 22.02.2022 ni "rare palindrome", inasomeka sawa kote kote kutoka kulia kwenda kushoto, au kutoka kushoto kwenda kulia, na ni ya mwisho kwenye muongo huu wa 2020-2029. Nyingine itakayofuata ni ya mwaka 2030, ambayo itakuwa tarehe 03.02.2030 Soma pia hapa...
  18. Makanyaga

    Mimea sita yenye sifa za kushangaza zaidi duniani

    Mimea sita yenye sifa za kushangaza zaidi duniani 21 Machi 2018 Imeboreshwa 20 Disemba 2020 Chanzo cha picha, AFP/Getty Maelezo ya picha: Mmea huu hutoa harufu ya mzoga Duniani huwa kuna mimea ya aina nyingi, lakini kunayo baadhi ambayo inashangaza kwa sifa zake za kipekee. Hapa, tutaangazia...
Back
Top Bottom