Search results

  1. Kulupango

    SoC03 Benki waweke huduma ya vyoo kwa wateja

    Karibu Benki zote hazina huduma ya vyoo kwa wateja hapa nchini, tunafahamu Benk ni kwajili ya kuweka hela na kutoa hela lakini ofisi nyingi vyoo ni vya watumishi tuu, sasa kama mabenki wateja ndiyo washirika wao kwanini vyoo vinakuwa ni tatizo kwao? Je, wateja wao hawana mahitaji ya kwenda...
  2. Kulupango

    SoC03 Zumaridi ni kipimo kwa watu wenye akili na serikali kujirudi na kujitafakari upya

    Zumaridi ni msumari wa moto na chachu ya mabadiliko na wala hamuwezi kumpeleka popote. Mnamnanga kwa yeye kujiita ni mungu, hivi kweli ninyi mnaakili sawa? Je mnataka kumpeleka mahakamani, mahakama ipi inayo hukumu kwa kutumia sheria za MUNGU. ? Mnajifanya mna uchungu sana na MUNGU ilihali...
  3. Kulupango

    INAUZWA Beskeli ya gia inauzwa

    Done
  4. Kulupango

    INAUZWA Beskeli inauzwa 80000

    ,
  5. Kulupango

    Mtandao wa Quora unawezekana ukawa sababu ya wakristo wengi wa Ulaya kusilimu na kuwa Waislamu

    Ikiwa imeshapita mwaka mmoja sasa tangu Kanisa kubwa la Byzantine empire liitwalo HAGIA SOPHIA kubadili muelekeo na kuwa Msikiti huko Instanbul, Quora inawezekana ikawa ni mtandao unao tegemewa sana katika harakati za kiimani, Quora ni tovuti ya kijamii ya maswali na majibu iliyopo Mountain...
  6. Kulupango

    Kiboko ya mtoto anayelia lia hovyo kama zezeta au kulilia vitu vya watu

    Hawa ni wale watoto ambao hawana competition na watoto wenzao, ukiona mtoto wako analia kila mara au kulilia vitu vya watu kila wakati, jitahidi utafute mtoto mwenzake wa rika lake uishi nao pamoja utaona atavyo badilika na kuwa mtoto mzuri. Njia nyingine nzuri ya kumkanya huyu mtoto, siku...
  7. Kulupango

    Kwa mtoto mtundu ambaye hasikii fanya hichi kitu

    Piga kofi moja usawa wa shingo chini ya kisogo ili kurestore setting ya brain. Hakikisha unampiga kofi moja kubwa sana la kushtukiza apepesuke arukie mbali kabisa, nakuapia hatorudia tena. Msiwadekeze watoto na kuwafanya mayai, nyumba ambayo haina bakora iliyo ning'inizwa juu ni nyumba isiyo na...
  8. Kulupango

    Je, mtaji wa hisa Ulioidhinishwa huhesabiwaje wakati wa kufungua kampuni?

    Msaada ndugu Mtaji wa hisa Ulioidhinishwa huhesabiwaje wakati wa kufungua kampuni? How is Authorised share capital calculated?
  9. Kulupango

    Kwa uozo huu, hakuna budi tuchague lugha moja ya kufundishia

    Dogo yuko fm1 shule zetu za kata. Jana nikawa nambananisha maswali ya hapa na pale ya fm 1, kichwani hamna kitu. Basi nikamwambia anitajie majina ya Topics za hesabu, akataja topic 1 tu inaitwa Real number. Nikamwambia taja topics za History, akataja Chimpanzee, taja topics za chemi hajaweza...
  10. Kulupango

    Wapi nitapata Upinde na mishale ya kisasa kama hii

    Natafuta hizi zana, wapi nitazipata?
  11. Kulupango

    Wapi nitapata haya mapanga

    Mapanga marefu yenye makali pande zote, yanahifadhiwa kwenye pochi lake
  12. Kulupango

    Msijidanganye na Katiba mpya, Dikteta huwa haangalii Katiba, Nyote mtaufyata

    Jambo la msingi ni kutengeneza kwanza watu waadilifu na taaisis zilizo imara kabla ya hiyo katiba yenyewe, kwasababu hata Katiba iwe nzuri kiasi gani tukija kupata Rais Dikteta ataikanyaga na mtaufyata mkia. Rais Samia endelea kupiga kazi usiguse kabisa mambo ya Katiba hadi utapopata muhula wa...
  13. Kulupango

    Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Dkt. Magufuli amekubaliana na hoja yangu, sasa afute vitambulisho vya wajasiriamali

    Lissu - Kwa kuwa Mgombea Urais wa CCM ameshalegea, naomba sasa nimpe wazo lingine, alitekeleze haraka:- futa hizo sheria kandamizi zilizotungwa chini ya Waziri Mpango, ili kuibia wananchi wetu kwa vitambulisho vya Elfu 20!! ===== Maelfu ya wananchi wa Karagwe wamefurika kwenye viwanja vya...
Back
Top Bottom