SoC03 Zumaridi ni kipimo kwa watu wenye akili na serikali kujirudi na kujitafakari upya

Stories of Change - 2023 Competition

Kulupango

JF-Expert Member
Mar 19, 2020
288
535
Zumaridi ni msumari wa moto na chachu ya mabadiliko na wala hamuwezi kumpeleka popote.

Mnamnanga kwa yeye kujiita ni mungu, hivi kweli ninyi mnaakili sawa?

Je mnataka kumpeleka mahakamani, mahakama ipi inayo hukumu kwa kutumia sheria za MUNGU. ?

Mnajifanya mna uchungu sana na MUNGU ilihali sheria zake mmeziacha na mnahukumiana kwa sheria zenu mlizozitunga kichwani kwenu. Kama kweli nyinyi mnampenda MUNGU acheni sheria zote za kishetani mlizojitungia vichwani kwenu fuateni sheria zake katika Qur'an na Biblia. Pia serikali itupilie mbali sheria zake ifuate sheria za MUNGU ndani ya Qur'an na Biblia. Hapo ndipo mtakua na uchungu na mtakua wazalendo katika kumtetea na kutangaza uwepo wa MUNGU nasio kubwabwaja na kumnanga zumaridi, mimi huyu naona kama ni kipimo kwa watu wenye akili kujirudi na kujitafakari upya.

Matapeli wengi wamejiita Manabii na Mitume na hamuwafanyi kitu chochote na wanatapeli watu hadi leo, yeye kaamua kuvaa nguvu zote na kujiita mungu mnataka kumfanya nini sasa?

Hivi mnajua cheo cha Unabii? mnafahamu sifa za unabii? au kila mtu anapewa unabiii? mnafahamu cheo cha mtume? mnadhani utume unapatikana tu kwa kukaa chini na kufanya tahajudi sijiui kupatwa na roho mtakatifu kisha unakuja kudanganya watu wewe ni mtume eti nabii na watu wanakukubali, lakini mnasahau kwamba hivyo ni vyeo vya kiungu, hakuna anayeweza kuvipata kwa namna yoyote ile ispokuwa kwa dalili bayana toka kwa MUNGU mwenyewe, na milango hiyo tayari imeshafungwa.

Kwanini msianze na hao wanaojiita Manabii na Mitume muwashughulikie kwanza mjue wameupataje huo utume na unabii, na je sheria zenu za nchi mlizojitungia vichwani kwenu zinatambua uwepo wa manabii? zinatambua uwepo wa mitume? zinatambua uwepo wa miungu watu? kama hazitambui mtawezaje kuwawajibisha watu hao.

Lakini mmeacha sheria za MUNGU kwenye Qur'an na Biblia ambazo sheria zake zinatambua uwepo wa manabii feki, mitume feki na uwepo wa miungu watu na imeeelekeza namna wanavyotakiwa kushughulikiwa hao watu.

Sasa hii ni changamoto kwenu wakereketwa, lijitu linaumia zumaridi kujiita mungu lakini lenyewe ni lishirikina likubwa, lijambazi, litapeli, lizinifu, libakaji, linaingilia watu kinyume na maumbile, lidanganyifu, lilevi, lifitini, lichonganyishi, lidhulumati, limalaya, liuaji, lina roho mbaya, libaguzi, limungu mtu la kimyakimya halafu linaumia eti mwingine mwenzake mjinga kama yeye kujiita mungu hadharani.

Mnajifanya mnampenda MUNGU na kumtetea ilihali sheria zake hamzitaki eti zinawakandamiza, zinawanyima uhuru mnaunda sheria za kishetani eti ndio sheria huru na za haki ambazo zinakubali ushoga na udhulumati, ambazo kila siku zinaleta migogoro na mauaji kwenye familia za watu. Ni wanaume wangapi wanapitia magumu kwenye ndoa zao kutokana na sheria hizi mlizojitungia za kumtetea na kumuinua mwanamke? Ni wanaume wangapi hawapewi nafasi ya kusikilizwa pale magomvi yanapotokea katika ndoa yake?. Takwimu zinaonesha idadi ya wafungwa wakiume ni wengi kuliko wafungwa wakike. Ni kwasababu gani?

Sasa ni MUNGU gani huyo mnataka kumtetea ilihali alioyaagiza hamuyataki? ilihali sheria zake zinatumika tu pale kwenye kula kiapo cha ulaji, na kupata dua ya maombi kabla ya ubadhirifu wenu.

Mnakosea sana ninyi wanaadamu wasasa. Hamuwezi kudhibiti matawi mkaacha mizizi na kisiki. Ondoeni kwanza mizizi na visiki vya matatizo haya ndipo mtawezi kuuwangusha mti huu wa zumaridi. Na kadiri mambo yanavyokwenda watakuja miungu watu wengi achilia mbali aliyejiita Yesu huko kenya, hawa manabii feki na mitume feki wakiona hawana soko tena nao taratibu mtaona tu wanajiita ndio miungu, ni swala la muda tu.

Nini kinachotakiwa kufanyika?

Kwanza serekali Katika katiba ya Tanzania inasema Tanzania yenyewe haina dini ila wanataka kumuhukumu mtu aliyejiita mungu ilihali wanajua kabisa mambo ya uungu ni mambo ya dini na imani na wala hayapo katika katiba.

Kwa hiyo, katiba lazima ieleze wazi kwamba inatambua uwepo wa dini, na dini hizo ziorodheshwe na watu wake watambulike kwa idadi. Ili itapokuja dini isiyo tambulika ishughulikiwe kulingana na sheria na sio kwa mambo ya hisia.

Kuficha tofauti zetu za kiimani kwa lengo la kuleta umoja ni Ujinga. Kudhihirisha tofauti zetu za kiimani kwa lengo la kuleta mifarakano ni Unyama. Kudhihrisha tofauti zetu za kiimani kwa lengo la kujenga, kuvumiliana bila kufanana ni hekima: Kwa vile haitatokea binaadamu wote tufanane wala hakuna tofauti itakayo jificha milele. Ni wakati sasa katiba itaje wazi kunako uwepo wa dini na imani mbalimbali na idadi ya watu wake husika.

Leo hii Ukristo duniani unawafuasi Bilioni 2.3, uislamu una wafuasi bilioni 1.9, wasio na dini wana wafuasi Bilioni 1.1, Wahindu wana wafuasi Bilioni 1.1, Wabudha wana wafuasi Milioni 500, dini ya wachina ina wafuasi Milioni 394, dini ya asili ya wafrika inawafuasi Milioni 100.

Kumbe kuna umuhimu sasa kuweka mambo wazi kwenye katiba na sheria zetu kunako imani mbalimbali, tunafahamu kwamba mambo ya imani huleta ukakasi sana lakini mnaweza kurekebisha na kudhibiti baadhi ya nyendo za wafuasi husika, lakini hao wenye vurugu ni wachache kuliko werevu.

Tofauti na hapo tusubiri anguko kubwa na kufru kubwakubwa tena za waziwazi kutoka kwa mashetani wanaojinasibisha na dini.
 
Well said,Mungu chini ya jua mfalme zumaridi.
 
Umekuwa msemaji wa mungu wako Zumaridi ??
 
Uliongea vyema sna
 
Mmh ahaah..sidhani kama serikali ina mhukumu zumaridi kwa Yeye kujiita Mungu..ila kuna sababu ndani yake kama kuwafanya wanafunzi wasiende shule n.k na pia hongera kwa ujuzi wako wa uandishi ila kama kweli Zumaridi ni Mungu basi acha ajitetee mwenyewe maana umesema nafasi za utume n.k milango ilisha fungwa hakika ni point ya udanganyifu mkubwa sana nakushauri usiweke imani wakati wa kuutafuta Ukweli changamoto yetu tunaanza na imani na sio akili ya Kutafuta ..kwa kufanya hivyo twajikuta tunajihisi kuwa tumepata wakati tumepatikana kwenye upotevu..
 
Zumaridi ni msumari wa moto na chachu ya mabadiliko na wala hamuwezi kumpeleka popote.

Mnamnanga kwa yeye kujiita ni mungu, hivi kweli ninyi mnaakili sawa?

Je mnataka kumpeleka mahakamani, mahakama ipi inayo hukumu kwa kutumia sheria za MUNGU. ?

Mnajifanya mna uchungu sana na MUNGU ilihali sheria zake mmeziacha na mnahukumiana kwa sheria zenu mlizozitunga kichwani kwenu. Kama kweli nyinyi mnampenda MUNGU acheni sheria zote za kishetani mlizojitungia vichwani kwenu fuateni sheria zake katika Qur'an na Biblia. Pia serikali itupilie mbali sheria zake ifuate sheria za MUNGU ndani ya Qur'an na Biblia. Hapo ndipo mtakua na uchungu na mtakua wazalendo katika kumtetea na kutangaza uwepo wa MUNGU nasio kubwabwaja na kumnanga zumaridi, mimi huyu naona kama ni kipimo kwa watu wenye akili kujirudi na kujitafakari upya.

Matapeli wengi wamejiita Manabii na Mitume na hamuwafanyi kitu chochote na wanatapeli watu hadi leo, yeye kaamua kuvaa nguvu zote na kujiita mungu mnataka kumfanya nini sasa?

Hivi mnajua cheo cha Unabii? mnafahamu sifa za unabii? au kila mtu anapewa unabiii? mnafahamu cheo cha mtume? mnadhani utume unapatikana tu kwa kukaa chini na kufanya tahajudi sijiui kupatwa na roho mtakatifu kisha unakuja kudanganya watu wewe ni mtume eti nabii na watu wanakukubali, lakini mnasahau kwamba hivyo ni vyeo vya kiungu, hakuna anayeweza kuvipata kwa namna yoyote ile ispokuwa kwa dalili bayana toka kwa MUNGU mwenyewe, na milango hiyo tayari imeshafungwa.

Kwanini msianze na hao wanaojiita Manabii na Mitume muwashughulikie kwanza mjue wameupataje huo utume na unabii, na je sheria zenu za nchi mlizojitungia vichwani kwenu zinatambua uwepo wa manabii? zinatambua uwepo wa mitume? zinatambua uwepo wa miungu watu? kama hazitambui mtawezaje kuwawajibisha watu hao.

Lakini mmeacha sheria za MUNGU kwenye Qur'an na Biblia ambazo sheria zake zinatambua uwepo wa manabii feki, mitume feki na uwepo wa miungu watu na imeeelekeza namna wanavyotakiwa kushughulikiwa hao watu.

Sasa hii ni changamoto kwenu wakereketwa, lijitu linaumia zumaridi kujiita mungu lakini lenyewe ni lishirikina likubwa, lijambazi, litapeli, lizinifu, libakaji, linaingilia watu kinyume na maumbile, lidanganyifu, lilevi, lifitini, lichonganyishi, lidhulumati, limalaya, liuaji, lina roho mbaya, libaguzi, limungu mtu la kimyakimya halafu linaumia eti mwingine mwenzake mjinga kama yeye kujiita mungu hadharani.

Mnajifanya mnampenda MUNGU na kumtetea ilihali sheria zake hamzitaki eti zinawakandamiza, zinawanyima uhuru mnaunda sheria za kishetani eti ndio sheria huru na za haki ambazo zinakubali ushoga na udhulumati, ambazo kila siku zinaleta migogoro na mauaji kwenye familia za watu. Ni wanaume wangapi wanapitia magumu kwenye ndoa zao kutokana na sheria hizi mlizojitungia za kumtetea na kumuinua mwanamke? Ni wanaume wangapi hawapewi nafasi ya kusikilizwa pale magomvi yanapotokea katika ndoa yake?. Takwimu zinaonesha idadi ya wafungwa wakiume ni wengi kuliko wafungwa wakike. Ni kwasababu gani?

Sasa ni MUNGU gani huyo mnataka kumtetea ilihali alioyaagiza hamuyataki? ilihali sheria zake zinatumika tu pale kwenye kula kiapo cha ulaji, na kupata dua ya maombi kabla ya ubadhirifu wenu.

Mnakosea sana ninyi wanaadamu wasasa. Hamuwezi kudhibiti matawi mkaacha mizizi na kisiki. Ondoeni kwanza mizizi na visiki vya matatizo haya ndipo mtawezi kuuwangusha mti huu wa zumaridi. Na kadiri mambo yanavyokwenda watakuja miungu watu wengi achilia mbali aliyejiita Yesu huko kenya, hawa manabii feki na mitume feki wakiona hawana soko tena nao taratibu mtaona tu wanajiita ndio miungu, ni swala la muda tu.

Nini kinachotakiwa kufanyika?

Kwanza serekali Katika katiba ya Tanzania inasema Tanzania yenyewe haina dini ila wanataka kumuhukumu mtu aliyejiita mungu ilihali wanajua kabisa mambo ya uungu ni mambo ya dini na imani na wala hayapo katika katiba.

Kwa hiyo, katiba lazima ieleze wazi kwamba inatambua uwepo wa dini, na dini hizo ziorodheshwe na watu wake watambulike kwa idadi. Ili itapokuja dini isiyo tambulika ishughulikiwe kulingana na sheria na sio kwa mambo ya hisia.

Kuficha tofauti zetu za kiimani kwa lengo la kuleta umoja ni Ujinga. Kudhihirisha tofauti zetu za kiimani kwa lengo la kuleta mifarakano ni Unyama. Kudhihrisha tofauti zetu za kiimani kwa lengo la kujenga, kuvumiliana bila kufanana ni hekima: Kwa vile haitatokea binaadamu wote tufanane wala hakuna tofauti itakayo jificha milele. Ni wakati sasa katiba itaje wazi kunako uwepo wa dini na imani mbalimbali na idadi ya watu wake husika.

Leo hii Ukristo duniani unawafuasi Bilioni 2.3, uislamu una wafuasi bilioni 1.9, wasio na dini wana wafuasi Bilioni 1.1, Wahindu wana wafuasi Bilioni 1.1, Wabudha wana wafuasi Milioni 500, dini ya wachina ina wafuasi Milioni 394, dini ya asili ya wafrika inawafuasi Milioni 100.

Kumbe kuna umuhimu sasa kuweka mambo wazi kwenye katiba na sheria zetu kunako imani mbalimbali, tunafahamu kwamba mambo ya imani huleta ukakasi sana lakini mnaweza kurekebisha na kudhibiti baadhi ya nyendo za wafuasi husika, lakini hao wenye vurugu ni wachache kuliko werevu.

Tofauti na hapo tusubiri anguko kubwa na kufru kubwakubwa tena za waziwazi kutoka kwa mashetani wanaojinasibisha na dini.

Wasukuma wakiwa na jambo lao bwana....na wanyantuzu 😂 😂 😂 😂 😂
 
Back
Top Bottom