Bila shaka miaka ya mapema ya 2000 kuanzia 2000 mpaka 2006 ilikuwa ni kipindi cha mapinduzi makubwa katika muziki wa Afrika Mashariki. Ilikuwa ni zama za ubunifu wa hali juu, ushirikiano wa kikanda, na umaarufu wa kimataifa, mara nyingi ikirejelewa kama "enzi ya dhahabu" ya muziki wa Afrika...
Usiharakishe kuingia kwenye mahusiano mpaka utakapokutana na mtu sahihi ambaye atakupenda bila masharti.
Jizawadie, pata mtoko wako mwenyewe, na ujijali. Huna haja ya kuwa kwenye mahusiano ili kufurahia maisha yako.
Jambo baya zaidi maishani si kuwa peke yako, bali ni kuishia kuwa na mwenzi...
Rigobert Bamundele (28 Agosti 1955 - 26 Oktoba 2023), maarufu kama Rigo Star, alikuwa mpiga gitaa na mtunzi wa soukous kutoka Kongo. Alicheza na makundi kadhaa maarufu ya soukous na muziki wa dunia, ikiwa ni pamoja na Viva La Musica ya Papa Wemba, Anti-Choc ya Bozi Boziana, Kanda Bongo Man...
Nina Bajeti ya 1.5M kwa ajili ya TV 55" na 1M kwa ajili ya Music system.
Lengo niviweke Master Bedroom.
Naomba pendekezo la options ambazo sitajutia.
Kwenye TV preference zangu ni true color quality (Ikiwezekana 8k) na kwenye sound system ni mtetemesho.
Natanguliza shukrani
Kuna wateja tumelipia tangu mwezi wa saba hatujaingiziwa umeme. Chanzo kikuu ni ukosekanaji wa nguzo kwa Mujibu wa Ofisi yao Bagamoyo.
Serikali tunaomba iingilie kati.
Kutana na Juliana Shonza kwenye website ya UDSM kama alumni of the month.
Hakika ana historia ndefu ya kiuweledi licha ya umri mdogo na wasifu unaoweza kuwa inspire vijana.
Hongera dada.
NB: Nimeambatanisha PDF ya wasifu.
Ndugu wadau naomba kujuzwa kwa mapana juu ya mada hii tukijikita katika
1. Wiring cost katika nyumba
2. Perfomance
3. Gharama za uvutaji umeme toka tanesco
Asanteni
A country like Botswana which is basically composed of a single ethnic group (the minorities in Botswana, including whites, Coloureds, Asians, and Khoisan, have zero political aspirations and are such a negligible percentage of the population they can be easily discounted) is the ideal setup in...
Ni siku ya tatu leo nimewanunulia ipad kwa ajili ya michezo na masomo imepasuka kioo.
Idadi ya vitu walivyoharibu ndani ya nyumba havihesabiki kuanzia kioo cha televisheni n.k.
Enyi wana jamvi nisaidieni ni mbinu ipi nzuri kuwafundisha watoto utunzaji wa vitu hususan vyenye thamani maana...
Hali halisi ni kama inavyoonekana kwenye picha, mawimbi upande wa chini. Bado sijajua chanzo ni nini ila nahisi watoto waliharibu.
Natanguliza shukran.
1. Kusomesha mchumba
2. Kujenga nyumba kwenye kiwanja cha mwanamke/mke wako.
3. Kuweka jina la mwanamke/mke wako kwenye umiliki wa mali.
4. Kutunza fedha kwenye akaunti ya mwanamke/mke wako.
5. Kumwamini mwanamke/mke wako kwa 100% (mwamini kwa mama yako tu kwa kiwango hicho au zaidi)
6. Kumwita...
Amani kwenu waungwana,
Kwa wenye mahusiano ya kinyumba kwa muda mrefu na umezaa nae Mtoto/watoto, Jambo lipi la msingi linaweza kumpa sababu mwanaume kukawia kumpeleka mwenzi wake madhabahuni?
Natanguliza shukrani
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.