Juliana Shonza aupamba ukurasa wa UDSM

leroy

JF-Expert Member
Dec 8, 2010
1,597
2,142
Kutana na Juliana Shonza kwenye website ya UDSM kama alumni of the month.

Hakika ana historia ndefu ya kiuweledi licha ya umri mdogo na wasifu unaoweza kuwa inspire vijana.

Hongera dada.

NB: Nimeambatanisha PDF ya wasifu.
 
Attachments

  • _UDSM_Juliana Daniel SHONZA_20211116110730.pdf
    348.8 KB · Views: 64
Kutana na Juliana Shonzaa kwenye website ya UDSM kama alumni of the month.

Hakika ana historia ndefu ya kiuweledi licha ya umri mdogo na wasifu unaoweza kuwa inspire vijana.

Hongera dada.

NB: Nimeambatanisha PDF ya wasifu.
Hongera kwake naona wanamtangaza sana huenda akala uteuzi
 
Kuna wimbo mtaani huwa wahuni wamebadili wanaimba, danga danga mpaka ufe, danga danga mpaka ufe....

Sijui kama una uhusiano na uzi:D

Everyday is Saturday................................:cool:
 
Kutana na Juliana Shonzaa kwenye website ya UDSM kama alumni of the month.

Hakika ana historia ndefu ya kiuweledi licha ya umri mdogo na wasifu unaoweza kuwa inspire vijana.

Hongera dada.

NB: Nimeambatanisha PDF ya wasifu.
Huyu aliwahi kuwa naibu waziri wa mwakyembe kwenye habari na aliishia kumkaba Koo amber r ila mengine alichemka! Hivi hakuupata ubunge Tena?
 
Huyu aliwahi kuwa naibu waziri wa mwakyembe kwenye habari na aliishia kumkaba Koo amber r ila mengine alichemka! Hivi hakuupata ubunge Tena?
Wizara ya habari kazi yake kubwa ni kujinga uhuru wa habari.... anayejua kazi nyingine anijuze.
Katika kuvimbiwa na madaraka mwakyembe alikataza magazeti yasisomwe kwa kina na tv na radio stations. Lengo lilikuwa kuwazuiya wananchi wasije wakala unga wa ndele na kustuka.
Mwakyembe ni wa hovyo sana
 
Km sio uanasiasa wala asingewekwa hapo
Bora hata wangempa chemical tu ili wapenda mziki tuzidi kuburudika
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom