Search results

  1. Rutunga M

    Kasi ya watu kuuza magari kwa bei ya chini, shida nini?

    Wanabodi. Kama upo katika mojawapo ya groups za madalali wauza magari utakubaliana nami kuwa kwa miezi miwili sasa kuna kasi ya wamiliki wa magari kuuza Kwa Bei za chini sana. Sijui shida Nini?. Magari tuliyozoea kuuzwa mpaka milioni 30 yanauzwa mkononi Kwa milioni 15. Tena hapo dalali kaweka...
  2. Rutunga M

    Kuna shida gani CRDB Bukoba?

    Wakuu. nipo huku mkoa wa BUKOBA hakika nimesikitika kupata taarifa kutoka kwa wajasiriamali wa hapa juu ya benki hiyo tawi la Bukoba kusitisha utoaji mikopo na kufunga matawi yake yote ndani ya mji. tawi la Zamzam limefungwa na yale yote yaliyoko pemmbezoni mwa mji. Wajasiriamali wanasema kuwa...
  3. Rutunga M

    Ayub Rioba aitisha mkutano na waandishi wa habari Februari 21, 2022 kuhusu madai ya rushwa

    Ameandika katika ukarasa wake wa fb usku huu. kuwa jumatatu ataweka wazi juu ya madai ya kufuatiliwa na TAKUKURU kwa madai ya rushwa. Ukumbi na eneo mtajuljshwa. Pia soma >Ayub Rioba adai kufuatiliwa na TAKUKURU
  4. Rutunga M

    Ayub Rioba adai kufuatiliwa na TAKUKURU

    Katika ukurasa wake wa Fb ambao amekuwa akiutumia mara kwa mara ameandikwa kufuatiliwa na Takukuru kwa tuhuma za rushwa. akidai kuwa atafunguka. Tetesi za ndani ni kuwa Rioba amefurushwa TBC na nafasi yake kuchukuliwa na Jafar Haniu aliyekuwa msemaji Ikulu
  5. Rutunga M

    Iringa-Halmashauri ya Iringa yaanzisha ushuru wa wanaonunua pumba ya kuku

    Halmashauri ya wilaya ya Iringa imeanza kutekeleza ushuru kwa mtu yeyote anayenunua pumba inayotokana ama na mahindi au mpunga kwa kuanzia kg 10 kwenda juu. mtu ambaye hatakuwa na kibali cha kusafirisha hiyo pumba faini yake ni tsh 200,000. Aidha watendaji wameanza kuitekeleza na inaelezwa kuwa...
  6. Rutunga M

    Dkt. Antony Dialo: Wizi na ukosefu auminifu chanzo cha biashara nyingi Tanzania kufa chini ya miaka 5 tangu kuanza

    Nimemsikiliza asubuhi. Mkurugenzi wa Saharama media wakati akitoa mada katika club house moja iitwayo Mindset transformation. Akidai kuwa kwa uzoefu wake katika biashara na ujasirimali amebaini kuwa biashara nyingi zinakufa kwa sababu watazania wengi siyo waaminifu. Amekwenda mbali na kusema...
  7. Rutunga M

    Nahitaji podcast

    Wakuu. nahitaji podcast ya kuingiza zaidi ya saa 1. sitaki zile za subdomain. aliye serious aje inbox tuyajenge. asante
  8. Rutunga M

    Wadau badilisheni mbinu ya kudai Katiba Mpya

    Habari zenu, Nimesikiliza na kufuatilia mijadala katika club house ya CHADEMA,mijadala ya humu JF na Twitter space hakika inaonesha wadau hasa wapinzani wamegotea katika mbinu za kudai katiba mpya na wanaona hakuna mbadala mwingine wa kufanya siasa na kuendesha maisha yao mpaka katiba mpya...
  9. Rutunga M

    Degree ni karatasi tu, haisaidii lolote kiuchumi?

    Ndg. Asubuhi nimesikiliza mjadala wa saa 2 katika ile platform ya Clubhouse ya mindset transformation. Katika mjadala huo watu watatu wenye degree zaidi ya nne na mmoja mwenye PhD kwa kudai kuwa kupata degree is just a paper na kwamba katika maisha yao hazijawahi kuwasaidia lolote. Wamekwenda...
  10. Rutunga M

    Bukoba: Mwanamke akatwa mguu na hawara yake(picha zinasikitisha)

    Wana bodi. Nimesikitishwa na kitendo cha huyu dada muelimishaji rika mkazi wa Izimbya kucharangwa mapanga na kibaya zaidi kukatwa mguu na kuondolewa kabisa na mtu anayedaiwa ni hawala yake wala si mume. Sitaki kusema kinachoendelea kuhusu hii kesi lakini naweka namba ya huyu dada (ILI ASAIDIWE...
  11. Rutunga M

    IGP Sirro: CHADEMA wanamuona Mbowe Malaika hawezi kosea, ushahidi tunao

    IGP Simon Sirro leo Agosti 2, 2021 akizungumza kukamatwa kwa Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe IGP Simon Sirro leo Agost 2,2021 amefanya mkutano na Waandishi wa Habari ambapo amezungumza mbalimbali kuhusu kukamatwa na Mwenyekiti wa Chadema pamoja na vuguvugu la kutaka kufanya maandamano...
  12. Rutunga M

    Website ya brella imepatwa na kwikwi gani?

    Ndugu hii website ni siku ya pili haiko hewani. ni kwangu tu au wanafanya marekebisho. https://www.brela.go.tz/
  13. Rutunga M

    Kifo cha Tabibu Dkt. Buberwa wa Herbal Products utata mtupu

    Wadau. Nafikiri mnamkumbuka huyu tatibu aliyekuwa maarufu Jijijini Dar Es salaam hasa miaka ya 2010 hadi 2017 . Huyu mwamba amefariki dunia akiwa katika nyumba ya kulala wageni Jijijini Dodoma na tayari amezikwa Jijini Dar huku kukuiwa na utata wa familia ya mkewe aitwaye Riziki mwenyeji wa...
  14. Rutunga M

    Masomo ya sekondari kwa njia ya Mtandao kwa kila siku

    Kama mnavyojiua serikali inahimiza matumizi ya tehama katika kufundisha kwenye shule za msingi na serikali. Juzi nilipita katika shule moja ya sekondari nikakuta wao wamepata msaada wa vifaa vyote vya kuwawezesha kupata masomo hayo kwa njia ya mtandao lakini changamoto kubwa kwao ni akina nani...
  15. Rutunga M

    Bukoba: Walimu wa Kolping English Medium wagoma kwa kutolipwa mishahara kwa miezi nane (8)

    Walimu na wafanyakazi wa shule za msingi na sekondari ya kolping inayomilikiwa na kanisa katoriki jimbo la Bukoba wamegoma tangu wiki iliyopita wakishinikiza uongozi kuwalipa malimbikizo ya mishahara ya miezi 8. Hata hivyo kikao cha kuwaomba wafanyakazi hao kurudi kazini kimevunjika baada ya...
  16. Rutunga M

    Askofu Bagonza (Phd) juu ya anguko la Uchumi Tanzania leo kaandika haya

    UZOEFU TOKA ARGENTINA Wiki hii tumepokea ripoti tatu zinazofanana. Kwanza, iliyokuwa hotel maarufu ya Grudoto kubadilishiwa matumizi na kuwa bweni la chuo katikati ya kampeini za kitaifa kuboresha utalii. Kama tujuavyo, utalii unahitaji hotel nzuri. Pili, mgogoro kati ya kiwanda cha Dangote na...
  17. Rutunga M

    Hivi huyu Mkurugenzi aliyenunua gari la milioni 400 anajiamini nini?

    Nafikiri hili saga mnalijua. ukimtazama anavyoongea inaonesha kuna kitu kipo nyuma yake. https://www.jamiiforums.com/threads/rais-magufuli-amtumbua-mkurungenzi-wa-geita-kwa-kununua-gari-la-zaidi-ya-tsh-milioni-400.1818248/ Chanzo cha majibu hayo ni hoja hii ya Msukuma
  18. Rutunga M

    Video: Hatimaye chopa ya Tundu Lissu yatua salama Dar

    TCAA wamezuia chopper ya Tundu Lissu kuruka kutoka KIA kwenda Dar kwenye mkutano wa kufunga kampeni kwa madai ya hali mbaya ya hewa. Baada ya kusota zaidi ya masaa matano pale KIA hatimaye Lissu akaamua waruke kwa lazima bila kibali cha TCAA. Alikuwa tayari kwa lolote hata kama ni chopper yao...
  19. Rutunga M

    Naombeni kujua jina la huu wimbo

    Kuna wimbo mmoja wa dansi wa miaka ya 2000 kutoka kwa moja ya bendi za hapa hapa nchini. Naweka chini baadhi ya maneno maarufu yaliyomo katika wimbo huo ili mnisaidie kuujua jina ili niupate. Ndani una majigambo ya kujibizana kama hivi: Mtu no 1: Usiku nilisikia shemeji analia Mtu no 2: Ahaa...
  20. Rutunga M

    Uzi wa kutupia kazi za Fundi Maiko

    Wanabodi, Katika mitandao hivi sasa kuna treading ya picha na vituko vya mtu anayeitwa fundi maiko, inaonesha kila ujenzi wenye utata mhusika ni FUNDI MAIKO. Naomba kujua nini kilichhotokea mpaka fundi maiko akapewa kila aina ya kosa la usanifu katika ujenzi au ukarabati. Nitashukuru UPDATES...
Back
Top Bottom