Search results

  1. Raia Fulani

    Ni yeye! Ni nani?

    LITANIA YA USHINDI Ee Mungu Baba kwa namna ya pekee utuvushie mtu huyu kwa salama ili naye atuvushe kutokea sasa na hata baadae ili akiingia kuwa kiongozi wa nchi, basi aiweke misingi ya kiutawala kwa namna ambayo hata akija kiongozi mwingine isiwe tabu kwake kuongoza. Baba ujue tunahitaji...
  2. Raia Fulani

    Kuna changamoto ipo

    Habari za wakati huu Kwa mujibu wa mwenendo wa maisha ya leo, ambapo athari nyingi hasa za kimfumo wa uzazi zinamwangukia mwanamke, ni vyema kuona anapata watoto mapema. Ni nadra kwa mwanamke wa miaka 35 ambaye hajawahi kuzaa, apate ujauzito kirahisi. "Kuzaa ni afya" kwa mujibu wa daktari...
  3. Raia Fulani

    Wafumba macho kumsogeza fulani

    Mungu hakika jabali Muumba, Allah, Jalali Kamuumbia mja akili Yake pekee si ya wawili Uko na wako mwandani Mwanyegezana kitandani Watazama ute ute kidoleni Naye mwali aupepea ukuni Wote mwatazamana usoni Kwa mahaba wakisi kinywani Wajua huyo wako maishani Umemjaza mwilini na rohoni Kumbe hapo...
  4. Raia Fulani

    John Dilinga Matlow, mrithi halali wa Gardner Habash

    Wakati naendelea kufuatilia marudio ya msiba wa Garder, namuona DJ JD akiwa katulia msibani. Mara kwa mara kamera zinamuonyesha akiwa katulia, na miwani yake myeusi juu ya paa la uso. Ndipo ninapovuta kumbukumbu miaka ya 2005 kama sikosei, akiwa East Africa Radio. Kipindi chake cha usiku...
  5. Raia Fulani

    Walimu wa leo wana kipi cha kujivunia?

    Mada inazungumzia kwa upekee uandishi na matamshi ya lugha ya kiswahili. Kingereza si lugha yetu hivyo sitalaumu sana huko. Ukiwasikiliza vijana wengi sasa unagundua hawajui hata hicho kiswahili kinachoongewa kila siku. Nakumbuka shule ya msingi tulisoma "imla". Kwa kingereza ni dictation...
  6. Raia Fulani

    Confession

    For this matter, this language is appropriate. This confession comes from someone, somewhere. It's about a side mama (not a chick). As a married man, sometimes the urge to give up the addiction engulfs, but then Iam overpowered by the lust of flesh, that leads to give in. I sit down and...
  7. Raia Fulani

    Haya machungwa vipi?

    Ukweli ni kwamba tangu nizaliwe hadi sasa naelekea utu uzima wenyewe sijawahi ona haya machungwa. Nachojua machungwa aidha yawe matamu au machachu, ila hayakosi maji. Sasa haya sijui ya wapi. Na ni mwaka jana na huu tu ndio nimeanza kuyaona. Chungwa kwanza kubwa, halafu gumu, kuonyesha kabisa...
  8. Raia Fulani

    Kuna vitu navidhania

    Yah, navidhania na sidhani kama ndio havijakuwepo. Vipo. Mfano; 1. Nimetokea tu kuwaza kwa nini watu wanakufa. Napata jibu kuwa hakuna kifo cha bahati mbaya. Unaweza pia kuepuka vifo. Vifo kwa maana majaribio ya uhai wako kukutoka sio mara moja. Pengine tungeoneshwa tungeshangaa. 2. Tunaishi...
  9. Raia Fulani

    Wakatoliki mnakwama wapi kwenye media?

    Ukweli ni kwamba nipo home naperuzi stesheni za TV. Ukija clouds unakutana na chomoza, ukurudi chanel ten yupo Mwamposa. TVE yupo kuhani Musa. Wasafi yupo tena Mwamposa. Naperuzi zaidi nakutana na Upendo TV ya walutheri. Sasa Jumapili natoka kanisani kazi yangu ni kutazama maudhui ya madhehebu...
  10. Raia Fulani

    Jioni moja nyumbani tulipokutana na nguvu za giza

    Yani ikabidi tuweke kambi nje maana ndani hakukaliki. Hakuna kilichoharibika maana pilau iliondoa sonona
  11. Raia Fulani

    Nimeotesha mnyanya, naona unarefuka tu

    Mnyanya ndio unapaswa kuwa hivi kweli?
  12. Raia Fulani

    Kuna watumishi wa Serikali wasio na viwango kabisa

    Kuna changamoto kwenye sekta hii ya utumishi wa umma. Kubwa sana ni kukosa viwango (standards) na muendelezo (continuity). Hii continuity watu wa filamu wanaijua sana, la sivyo kazi zao zingekuwa vioja. Sasa vioja hivyo wanafanya hawa watumishi wa serikali. Tukianza na standards nikiangazia...
  13. Raia Fulani

    Mifumo ya kulipia maegesho inasumbua

    Wakuu za asubuhi. Napata changamoto hapa kwa mifumo hii ya kiserikali hasa uoande wa tozo mbalimbali. Hapa nazungumzia maegesho hapa Dar. Awali palikuwa na termis. Sasa GEPG, ila naona kote huko mifumo inajichanganya tu. Kwa anayejua usahihi wa hii mifumo aninulishe tafadhali
  14. Raia Fulani

    Jinsi ya kujitoa Mange Kimambi app

    Wakuu za asubuhi Nimejaribu bila mafanikio kujitoa kwenye hii app. Nimewasiliana na wao sipati msaada. Hawana majibu. Benki niliyojisajilia wanasema solution ni.kubadili kadi ya benki. Hivi kweli hadi nibadili kadi? Kila mwezi nakatwa tsh 2300/- automatically. Sijui nilifanyaje. Nikitaka kufuta...
  15. Raia Fulani

    Yani tuna import hadi chumvi?

    Ndio naona hapa nashangaa. Hadi chumvi? Wakati kuna sehemu hadi tunaita uvinza? Mtwara, pwani yote chumvi ipo. Ununio huko naona chumvi. Nani katuloga? Ifike sehemu hawa vuingozi wetu watuheshimu na wajiheshimu. Ifike wakati aje kiongozi apige marufuku imports za yafuatayo: 1. Maji 2. Chumvi...
  16. Raia Fulani

    Nimeambiwa jirani yetu yupo mbunge wa viti maalum anaishi hapo

    Habari wana jf Ndio hivyo. Huwa naona Landcruiser moja (v8 bila shaka) inapita sehemu na inaingia mjengo fulani hivi. Sasa juzi hapa katika stori za mtaani ndio nikathibitishiwa anaishi mbunge wa viti maalum. Huwa pia namsikia akitajwa kwenye masuala ya jumuiya (dini) ila sijawahi kumwona...
  17. Raia Fulani

    Wanafunzi (watoto) kupakiwa mbele kwenye bodaboda wakati wa kwenda na kurudi shule ni hatari kwa afya. Mamlaka na wazazi hamuoni hili?

    Habari za alasiri hii ndugu wana JF, naandika kwa kughadhabika kinamna kutokana na upuuzi unaofanywa na baadhi ya wazazi huku mamlaka husika (Jeshi la Polisi) likiwa doro tu. Kuna huu utaratibu wa kuwapeleka watoto wadogo shule kwa kutumia usafiri wa boda boda. Mzazi anamkabidhi mtoto kwa...
  18. Raia Fulani

    Bora niinjoi: Shetani yupo kazini

    Huu wimbo mzuri sana kusikiliza. Tatizo ukija kwenye ujumbe ndio tatizo. Unapinga mahusiano. Tujiunge na Jux na Diamond kwenye upweke na ukapela tukanywe na tucheze juu ya meza. Nawashauri wasanii wetu hawa wazuri kwamba watengeneze version nyingine ya huu wimbo kwa ajili ya kupalilia mapenzi...
  19. Raia Fulani

    Suala la elimu na likizo za watoto

    Nasoma gazeti la Mwananchi hapa kuhusiana na mvutano aidha watoto waende likizo au wabaki shuleni kujisomea. Mjadala huu ulikuwa Bungeni. Kuna hoja kuwa baadhi ya mikoa kupitia wakuu wa mikoa imepanga utaratibu wa kuongeza "ufaulu". UFAULU kwenye maeneo yao. Sehemu nyingine Mbunge na mmiliki wa...
Back
Top Bottom